Jorginho getting bossed and finessed with 2 spurs holding mids in a pivot.

but Fabinho got called a flop kwa kuwa bossed na 2 holding mids in a pivot against Arsenal.

Football is a beautiful thing.
 
Jorginho getting bossed and finessed with Spurs 2 holding mids in a pivot.

but Fabinho got called a flop kwa kuwa bossed na 2 holding mids in a pivot against Arsenal.

Football is a beautiful thing.
total beauty esp wen t EPL...leo th pass master anacheza rafu..
 
Kuna wapenzi wa Liverpool, mioyo yao siyo ya kijogoo.
Hao ni pamoja na Manga ML,@ bardizbah@ King Ngwaba.
Kabla ya mechi humponda sana Klop.
Team ikishinda wanasema" watalala usingizi mololoo"
Klop ni mwl mzuri kupitiliza.
Ha ha haaa mkuu mimi napata hofu na kocha anasajili wachezaji hafu hawaamini hafu tunapiga mbele tuu tofauti na msimu uliopita.
Jambo jema tunashinda leo hii mechi nili iogopa sana.
 
Sijaangalia game ya leo....nilikuwa napata notification za simu tu na kuchungulia live blogs tu....

But nilipoona Notification kuwa Liverpool tumepigwa umeme (Red card) nilipiga goti kuomba iwe ni Henderson ndo kala huo umeme tena uwe ule umeme wa straight RED CARD

Ili watu wanaojua kucheza mpira wa miguu wapate nafasi ya kucheza

Shwainnnnnn
 
Hahahahahahahaha

The box head was incredibly useless as always.
 
Started off the day na La Liga, and now finishing off the day na La Liga.

#SaturdaySoccerMarathon
 
Firmino on top as always japo haonekani. Leo ame drop deep zaidi ya hendo kuchukua mipira chini na kupandisha team.

Captain ni shit kama siku zingine. Hakuna chenye analeta kwenye team zaidi ya negative effects tu..

Robbo and Trent on top once again.

Leo TAA amerudia katika Form Yake halisi aliyoipoteza takriban Michezo 6 iliyopita.
 
Back
Top Bottom