Kweli asee ila dah mechi kama hii kumuingiza Milner huku umeweka benchi watu wa bei mbaya sio poaLiverpool ya msimu huu,slow but sure
😀😀Unachokoza Nyuki ikisha waniume Mimi si ndiyo? 😀
😀😀
We Si Hautaumia Sana... Tofauti Namie.
Then We Unawaweza.
he panicked n being a CP wt yellow on his hand he should have done better....Henderson red Card 😀😀😀
Best fucking Card ever in football History! 😀
Well done ref.
Man lets discuss this in Jan 30th 2019...after few tyt games will see...CL if we do cruise n we have no major injuries then th boys deserv both n the FA to come...Timu imemaintain Consistency vizuri tu lakini Je Man City atazuilika?
He kuna haja ya Kugive up CL tubaki na EPL pekee?
Kuna wapenzi wa Liverpool, mioyo yao siyo ya kijogoo.
Hao ni pamoja na Manga ML,@ bardizbah@ King Ngwaba.
Kabla ya mechi humponda sana Klop.
Team ikishinda wanasema" watalala usingizi mololoo"
Klop ni mwl mzuri kupitiliza.
Usiogope.Kuna sehemu tuliyosema Klopp Ni Mwalimu Mbaya/Mbovu?
Kukosoa baadhi ya Falsafa za Kocha ndiyo Kumponda Kocha?
Hivi unajua tofauti ya Kuponda na Kukosoa?
Kama nawewe unaamini kuwa Klopp hawezi kukosea basi nitakuwa nafanya kosa kubwa sana Kukuquote.
plus Les Blus losing so far kaka aaa usingizi mnono unakuja...Leo nitalala kwa Amani kabisa nikiwa nimeshikilia 3 points mkononi 😀😀
King,unapozungumzia falsafa ya mty hicho ndicho anachoamini. Na falsafa ya Klop huwezi kuitabiri. Ndio maana sometimes anawaweka bench wachezaji tunaodhani tunawapenda( jinsi wanavyocheza)Kuna sehemu tuliyosema Klopp Ni Mwalimu Mbaya/Mbovu?
Kukosoa baadhi ya Falsafa za Kocha ndiyo Kumponda Kocha?
Hivi unajua tofauti ya Kuponda na Kukosoa?
Kama nawewe unaamini kuwa Klopp hawezi kukosea basi nitakuwa nafanya kosa kubwa sana Kukuquote.
Keita should be given his role n see if t can click...And i think this forward line shape is working.Salah as 9...Bobby as 10...Mane and Shaqir on wide..
Just this midfield paradox has to be sorted out.
plus Les Blus losing so far kaka aaa usingizi mnono unakuja...
me too this kid is real gem to wear red...wen on gear he never fail to impress so humble,swaga n patient..Am never wrong..
thats what you get for playing Bobby upfront.
leo Sari boys r being shown the EPL way...come on Spurs...To be honest sijawahi kuwawaza Chelsea msimu huu kwa chochote kile Coz nilijuwa tokea mapema kuwa hawana safari!!
Mimi kabla ya Ligi kuanza nilijua kuwa Guardiola kwa usanili anaofanya na ufundishaji wake ndiye kikwazo pekee kwa timu yetu