Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
if the boys keep grinding result kama jana even wen we aint playin our usual heavy metal futbol then Pep is a worried man...Hata guadiola yeye mwenyewe anajua Liverpool ni kikwazo yeye kuchukua ubingwa,alipoulizwa kuhusu next season aliwataja Liverpool watasumbua sana kwenye ligi msimu ujao,maana msimu uliopita kaaibishwa licha ya watu kumsifia kocha bora kwenye mechi 4 kafungwa 3 ,kwenye mechi alizofungwa zote kazidiwa kila kitu.
a champion to be is wen th boys r playin below usual stuff n yet they get th 3 points..this is what makes great teams..
next ni PSG t not an easy game but then t UCL where we belong to prosper...Klopp get th right squad for that night n come the derby sunday ni mwendo wa pop corn n some chocolate ice cream..