Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I just don't get it why people are so skeptical about our team.

am not sure kama mlikuwa mnaifuatilia Manure ya Fergie ilivyokuwa wakati mwingine ikicheza before January. it was a lot worse than how our team is currently playing only to turn on the screw February onwards.

today's fixture was one of the trickiest but look... we have seamlessly negotiated past it champion-like.

believe!
 
Kuna Some Fans ambao wanamponda Salah msimu huu ingawa siwabishii kwasababu wana haki ya kutoa Mawazo yao..

Lakini Mimi Sizingumzii chochote kuhusu Performance ya Salah msimu Hata kama watu watakuwa Wanamjadili..

Nadhani sasa watu watafahamu kwanini simpondi Salah Hata kama Watu anaona anacheza vibaya.

Leo nasema tu kiukweli kuwa Slah is our Man Main.
 
Timu imemaintain Consistency vizuri tu lakini Je Man City atazuilika?

He kuna haja ya Kugive up CL tubaki na EPL pekee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom