Tayari mimi nishafanya yangu.

The Best FIFA Football Awards™ - FIFA.com
IMG_20180903_211211_976.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The highlight of the match on saturday was that Allison school-boy mistake, but mzizi wa ile mistake ulianzia kwenye midfield.

angalia hii picha vizuri...(couldnt get a good clip), but nilizipata hizi diagrams sehemu zikiwa zimeshawekwa good marks, so it should be very easy to explain.

The problem starts here..
View attachment 855430
Henderson receives a short pass from Milner who was man marked by Maddison, picha inaonyesha wazi kuwa henderson was not under pressure kabisa wakati anapokea mpira, na pia picha inaonesha kuwa upande wake wa kushoto Mane was free and open, lakini pia angeweza kurelease mpira upande wake wa kulia (a foward line pass) ili Trent aliyekuwa open aufukuzie because Maguire asingeufikia, so he had really good 2 options (Mane kushoto and Trent kulia), but pia he could have forced an offside kwa kucheza a long ball to Salah ambaye alikuwa alone, na ukimuangalia Salah utagundua kuwa he was reading the move.

Now, Henderson decided to pass the ball kwa Gomez ambaye alikuwa nusu hatua tu kutoka kwake, and hiyo picha hapo juu, kwa wataalamu wa mpira wataelewa kuwa Gomez tayari alikuwa anakaribia kuwa closed down na two leicester players,

angalia hii second picha vizuri..
View attachment 855433
here henderson tried to opt for option rahisi, pass the ball to Gomez ambaye tayari alishakuwa closed down, now you can see, there are 3 LC players chasing the ball, mwangalie vizuri Maddison kishamuacha kabisa Milner na anafukuzia mpira, so Gomez tayari alikuwa kishakuwa pinned down and he had no option at all...

Angalia hii picha ya tatu vizuri...
View attachment 855435
in a matter of seconds Iheanacho alikuwa kishamfikia Gomez, Gomez akafanikiwa kumkwepa, but again Maddison alikuwa kishafika, and the Leiceister number 8 alikuwa kishacover angle ya Trent na Milner (alikuwa ametegea kuangalia gomez atapiga wapi mpira), na kama Gomez angethubutu kuturn again, kuna mawili, iheanacho au Maddison wangechukua mpira, na kama angerturn kutoa pass kwa trent, LC number 8 angeupata alikuwa yuko free because Trent was not marking him, so here angetoa a foward line pass ambayo Maddison angefungua juupale. you can see henderson crying for a ball, and its very clear kuwa he was not under any pressure, Gomez managed to pass the ball to henderson, here, any MIDFIELDER in the world, and thats includes our very own Jonas Mkude angekuwa na uwezo wa kuturn na kumake a very good progressive pass, but here the Captain wa one of the 8 biggest clubs in the world alishindwa kuturn, akiwa katika no pressure at all.

Angalia picha ya 4 vizuri...
View attachment 855444
this diagram inaonesha kuwa. baada ya Gomez kutoa pass kwa henderson, he failed to turn na kutoa pass yenye nguvu kwa VVD ambaye you can see cleary he was chased down by that LC fullback, wakati henderson alikuwa na uwezo wa kuturn na kutoa pass nzuri kwa Trent, amd before that, wakati Gomez anampa pass, Ndidi alikuwa mbali kidogo na Henderson, and hata ndidi alivyomfikia hemderson, alikuwa hategemei kuwa atapata mpira, na alikuwa amecover kidogo upande wa kushoto wa henderson ambayo ungemruhusu henderson kuturn kulia na kuachia mpira kwa Mane ambaye hakuwa marked at all. (Gini who is not a number six huwa anamake a lot of turn kwenye angle kama hizi but Hendo ambaye amecheza kwenye hiyo role kwa miaka 8 at LFC na one of the highest paid Mids in europe anashindwa kumake a simple turn there), kwenye game ya Crystal palace, tuliona jinsi Keita alivyomake a simple turn wakati akiwa man marked na a pacey winger kama Townsend, na hata baada ya kumake ile turn alitoa a very long ball pass to Salah, and thats a sign of a top midfielder ambaye anaweza kukupa makombe.

Pass ya henderson kwa VVD, ilikuwa mbovu na any midfielder mwenye awareness asingetoa pass ya namna ile na especially kwa the last CB ambaye alikuwa tayari closed down, VVD was forced to pass to Allison ambapo at this time iheanacho alikuwa kishasoma moves nzima, and tunatakiwa tukumbuke kuwa iheanacho alikuwepo wakati build up yote inafanyika, so when hendo alivyompasia mpira henderson, na kuona kabisa kuwa VVD was totally closed down, alijua ni lazima VVD angetoa pass ya nyuma kwa Allison ili kupunguza presha, so he was reading Allison moves na as soon as Allison alivyopokea mpira tayari alikuwa yupo mbele ya Allison.

i mean hakuna excuses kwa Allison blunder, because naye pia alikuwa na option ya kuclear the ball na kutojaribu kuact so clever, but angekuwa Keita au Gini kwenye eneo alilokuwepo henderson, tungetoka na clean sheet na Allison asingepokea ule mpira in the first place. huwa nasema kila siku kuwa Henderson inability to turn when needed na kupiga progressive pass huwa zinaleta presha kubwa sana kwenye team hasa katika upande wa Midfield na kwenye back-4, been saying here kuwa i dont hate Henderson as a person, but he's not a LFC standard player. role ya number 6 aliyocheza jmosi, ndiyo aliyokuwa anacheza Gini tangu mwanzo wa msimu, na game zote tatu tumetoka na Clean sheet, but baada ya Henderson kuwa introduced kwenye hiyo role everything changed kabisa, the entire midfield was sloppy and his lack of awareness caused huge tension at the back ambayo ilipelekea goal la LC, na kama Klopp asingemuingiza Keita (ambaye alibadilisha kabisa presha ya game) tungetoa draw, na tayari ilikuwa dhahiri kabisa.

Mzeebaba

Mwenzio ndo kwanza leo wamempa mkataba mpya with a huge pay-rise!

Personally sijamuelewa Klopp,sema ni vile tu huwa sipendi kujishughulisha na issues ambazo zipo out of my control!

🤣🤣🤣
 
Ina maana Hendo wamemuongezea mshahara hadi pauni ngapi maana alikuwa around kwenye pauni laki moja kwa wiki zamani
 
Klopp anajua soccer management kuliko sisi wote hapa tena hatupo hata close kumfikia!
Kuna kitu anakipata kwaCaptan sisi hatuwezi kukiona kwa macho!
Ndiyo haya haya Felain kule upande wa pili,kila kocha anampa nafasi lkn hatujiulizi why
Nina imani kubwa sana kwa Klopp,nina imani kubwa sana kwa Le Capitane wetu Hendo
 
Goli la LC hata tuzungushe vipi maneno lkn kosa ni la kipa!
Mpira katuliza na Ihenacho alikuwa mbali sana hata angeubutua vile vile au angeuacha iwe kona
Lkn kufungwa kwa bao hili ni saafi sana kwa Liverpool sababu sasa kipa atajirekebisha!
 
Inferiority complex hizi, we are Liverpool, sisi kama washabiki we have all rights kuzungumzia mapungufu ya timu yetu na there is no one person to tell us kwamba he knows better.

Klopp most likely atakuwa amekuwa forced kukubali hiyo kitu kutoka kwa Waingereza, sote tunajua jinsi wanavyowapigania wachezaji wao.

Henderson ni mzigo kama Makonda.
 
British trash....

It Trent was African, angeshapelekwa Loan Sheffield
 
Inferiority complex hizi, we are Liverpool, sisi kama washabiki we have all rights kuzungumzia mapungufu ya timu yetu na there is no one person to tell us kwamba he knows better.

Klopp most likely atakuwa amekuwa forced kukubali hiyo kitu kutoka kwa Waingereza, sote tunajua jinsi wanavyowapigania wachezaji wao.

Henderson ni mzigo kama Makonda.
Dan sio muingereza?Ana command yyt kwenye team?
Klopp au mmiliki wa Liverpool ni waingereza?
Hendo anavyo pewa kikosi cha kwanza hadi team ya Taifa kuwaweka nje akina Dier napo anapendelewa?
Kuna kitu SISI tusio wataalam hatukijui juu ya Hendo lkn akina Southgate wataalam wanakiona
Huwezi pendelewa kila mahali kwa watu tofauti tofauti
Go Hendo our Le capitane
 
Klopp anajua soccer management kuliko sisi wote hapa tena hatupo hata close kumfikia!
Kuna kitu anakipata kwaCaptan sisi hatuwezi kukiona kwa macho!
Ndiyo haya haya Felain kule upande wa pili,kila kocha anampa nafasi lkn hatujiulizi why
Nina imani kubwa sana kwa Klopp,nina imani kubwa sana kwa Le Capitane wetu Hendo
Sure.... Anamkaribia prezoo wetu

Story ya Henderson na klopp inashabihiana na story ya makonda na JPM

Tuwaache Wale bata
 
Dan sio muingereza?Ana command yyt kwenye team?
Klopp au mmiliki wa Liverpool ni waingereza?
Hendo anavyo pewa kikosi cha kwanza hadi team ya Taifa kuwaweka nje akina Dier napo anapendelewa?
Kuna kitu SISI tusio wataalam hatukijui juu ya Hendo lkn akina Southgate wataalam wanakiona
Huwezi pendelewa kila mahali kwa watu tofauti tofauti
Go Hendo our Le capitane

Sawa mkuu...
 
Harry Kewell akizungumzia Utatu wa Salah, Mane na Firmino

"They’re exciting. And you look at the players he has on the bench to come on. Look at their front three – it’s frightening,” he told Sky Sports.

“We always talked about Liverpool needing a 30-goal striker; for me, Firmino has been excellent. I can’t fault him. He works so hard in positions on and off the ball, which is fantastic.

“And then you have Mane and Salah driving at you – and both of them seem to have a competition to see who can score the most goals – it’s just excellent.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom