Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Aiseeee
Itakuwa tarehe 18 September Anfield, tutawapa kichapo cha mbwa koko...
The guy is complete jelous of Firmihno and Allison. Neymar should leave us alone, he better continue with his diving and crying like baby.Neymar Jr atabiri Liverpool kutomaliza ndani ya top four msimu huu.
According to the Daily Express, he was asked who he thinks will win the Premier League.
“Who will win it? Woah that's difficult,” said Neymar. “It's very hard, very difficult, but Manchester City will win it.
“Second will be United, third is Chelsea. Fourth is Tottenham.”
When pressed on the matter, Neymar confirmed “no Liverpool”
Sent using Jamii Forums mobile app
Why leave us alone? Yeye kaulizwa swali, amerespond kwa mtazamo wake.The guy is complete jelous of Firmihno and Allison. Neymar should leave us alone, he better continue with his diving and crying like baby.
I told him to leave us alone simply he wants to play minded game on us. He's just saying so that Liverpool would come in pressure while playing PSG; against Him. Just a casual word's battle.Why leave us alone? Yeye kaulizwa swali, amerespond kwa mtazamo wake.
Hatuwezi kuwa timu ambayo kila mmoja anaitabiria ushindi, na mara nyingi ukisifiwa na kila mmoja utaharibu, wapinzani lazima wawepo ili ikupe hamasa ya kuwa-prove tofauti.
Ni kazi yetu kufight ili mwisho wa siku tumkumbushe.
Na kwa sababu in 2 weeks atakuwa Anfield, tukomae kumkumbusha kwamba sisi ni timu ngumu kwa kumfunga.
Ila hapa pananipa mashaka kanaweza kufanya maajabu mkuuUtabiri tu ata wewe unaweza kutabiri Watford bingwa
Hapa umechemkaThe guy is complete jelous of Firmihno and Allison. Neymar should leave us alone, he better continue with his diving and crying like baby.
Siyo kwa zama hizi mkuu ni kazi sanaIla hapa pananipa mashaka kanaweza kufanya maajabu mkuu
Hapana mkuu mzaha mzaha hutumbua usaha kamkalisha burnley kwake chuma tatu kisha spurs kafa si jambo dogo.Siyo kwa zama hizi mkuu ni kazi sana
I told him to leave us alone simply he wants to play minded game on us. He's just saying so that Liverpool would come in pressure while playing PSG; against Him. Just a casual word's battle.
YNWA
Ni utabiri wake tu, huu unawza pia kuendana na mapenzi yake binafsi na baadhi ya factors ambazo hatuzijui, hakuna ulazima wa utabiri wake kuwa ni wa kweli, ukute hapendani na Firmino akaamua kuichukia timu nzima ya Liver😎
Unamkosoa vipi wkt hujui lolote kuhusu soka management?Kwa hiyo kwa sababu anajua kuliko sote:
- Tuache kumkosoa?
- Tuache kutoa maoni yetu juu ya timu?
Unamkosoa vipi wkt hujui lolote kuhusu soka management?
Ni sawa na ww sio medical doctor unamkosa Doctor kwa operation anazofanya
UNARUHUSIWA kutoa maoni kama shabiki tu
Mambo ya utawala wa soka ni mambo ya kitaalam ya kusomea darasani sio ushabiki,Klopp anayemkubali Hendo ni mtaalam
Maoni yako huweai pingwaMaoni, kama mshabiki wa soka nina uhuru wa kutoa maoni yangu kwa chochote kile ninachoona kiko sawa au hakiko sawa kwa jinsi ninavyoona mimi.
Swala la Hendo kuwa mbovu limeongelewa sana, with Facts, na si humu JF tu, forums kibao ambazo zina baadhi ya pro football analysts wanaongea.
Hii ni open forum, na ina watu wenye different minds, unapokuja na eti Klopp hatuwezi kumkosoa ni wewe na hatukuzuii kutomkosoa, vile vile hata wewe huwezi kutuzuia kumkosoa, mimi naangalia game natoa opinion zangu objectively, unaweza kukosoa nilichokosoa lakini hutakuwa fair kusema eti ninayemkosoa kasoma zaidi yangu.
Umeleta mfano wa Doctor na operations; kuna kipindi (back 2009 au 2010) kuna Doctor alimpasua kichwa mgonjwa wa mguu na yule wa kichwa akapasuliwa mguu, hutakiwi kukosoa?
Maoni yako huweai pingwa
Lkn maoni hayawezi yazidi mambo ya kitaalam
Kupewa mkataba mrefu Hendo ni suala la evaluation ya kitaalam
Maoni, kama mshabiki wa soka nina uhuru wa kutoa maoni yangu kwa chochote kile ninachoona kiko sawa au hakiko sawa kwa jinsi ninavyoona mimi.
Swala la Hendo kuwa mbovu limeongelewa sana, with Facts, na si humu JF tu, forums kibao ambazo zina baadhi ya pro football analysts wanaongea.
Hii ni open forum, na ina watu wenye different minds, unapokuja na eti Klopp hatuwezi kumkosoa ni wewe na hatukuzuii kutomkosoa, vile vile hata wewe huwezi kutuzuia kumkosoa, mimi naangalia game natoa opinion zangu objectively, unaweza kukosoa nilichokosoa lakini hutakuwa fair kusema eti ninayemkosoa kasoma zaidi yangu.
Umeleta mfano wa Doctor na operations; kuna kipindi (back 2009 au 2010) kuna Doctor alimpasua kichwa mgonjwa wa mguu na yule wa kichwa akapasuliwa mguu, hutakiwi kukosoa?
Napenda mnavyobishana bila kutukanana...Maoni yako huweai pingwa
Lkn maoni hayawezi yazidi mambo ya kitaalam
Kupewa mkataba mrefu Hendo ni suala la evaluation ya kitaalam
LIVERPOOL ace Simon Mignolet has been ruled out of international duty with Belgium and returned to Merseyside.