eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Mwezi September utakuwa mgumu sana kwenu ndugu zanguni
E&K
E&K
I agree Brother ............ Sioni ugumu wa Hilo Group kabisa kwa Liverpool
Uchambuzi mwanana kabisa huuThe highlight of the match on saturday was that Allison school-boy mistake, but mzizi wa ile mistake ulianzia kwenye midfield.
angalia hii picha vizuri...(couldnt get a good clip), but nilizipata hizi diagrams sehemu zikiwa zimeshawekwa good marks, so it should be very easy to explain.
The problem starts here..
View attachment 855430
Henderson receives a short pass from Milner who was man marked by Maddison, picha inaonyesha wazi kuwa henderson was not under pressure kabisa wakati anapokea mpira, na pia picha inaonesha kuwa upande wake wa kushoto Mane was free and open, lakini pia angeweza kurelease mpira upande wake wa kulia (a foward line pass) ili Trent aliyekuwa open aufukuzie because Maguire asingeufikia, so he had really good 2 options (Mane kushoto and Trent kulia), but pia he could have forced an offside kwa kucheza a long ball to Salah ambaye alikuwa alone, na ukimuangalia Salah utagundua kuwa he was reading the move.
Now, Henderson decided to pass the ball kwa Gomez ambaye alikuwa nusu hatua tu kutoka kwake, and hiyo picha hapo juu, kwa wataalamu wa mpira wataelewa kuwa Gomez tayari alikuwa anakaribia kuwa closed down na two leicester players,
angalia hii second picha vizuri..
View attachment 855433
here henderson tried to opt for option rahisi, pass the ball to Gomez ambaye tayari alishakuwa closed down, now you can see, there are 3 LC players chasing the ball, mwangalie vizuri Maddison kishamuacha kabisa Milner na anafukuzia mpira, so Gomez tayari alikuwa kishakuwa pinned down and he had no option at all...
Angalia hii picha ya tatu vizuri...
View attachment 855435
in a matter of seconds Iheanacho alikuwa kishamfikia Gomez, Gomez akafanikiwa kumkwepa, but again Maddison alikuwa kishafika, and the Leiceister number 8 alikuwa kishacover angle ya Trent na Milner (alikuwa ametegea kuangalia gomez atapiga wapi mpira), na kama Gomez angethubutu kuturn again, kuna mawili, iheanacho au Maddison wangechukua mpira, na kama angerturn kutoa pass kwa trent, LC number 8 angeupata alikuwa yuko free because Trent was not marking him, so here angetoa a foward line pass ambayo Maddison angefungua juupale. you can see henderson crying for a ball, and its very clear kuwa he was not under any pressure, Gomez managed to pass the ball to henderson, here, any MIDFIELDER in the world, and thats includes our very own Jonas Mkude angekuwa na uwezo wa kuturn na kumake a very good progressive pass, but here the Captain wa one of the 8 biggest clubs in the world alishindwa kuturn, akiwa katika no pressure at all.
Angalia picha ya 4 vizuri...
View attachment 855444
this diagram inaonesha kuwa. baada ya Gomez kutoa pass kwa henderson, he failed to turn na kutoa pass yenye nguvu kwa VVD ambaye you can see cleary he was chased down by that LC fullback, wakati henderson alikuwa na uwezo wa kuturn na kutoa pass nzuri kwa Trent, amd before that, wakati Gomez anampa pass, Ndidi alikuwa mbali kidogo na Henderson, and hata ndidi alivyomfikia hemderson, alikuwa hategemei kuwa atapata mpira, na alikuwa amecover kidogo upande wa kushoto wa henderson ambayo ungemruhusu henderson kuturn kulia na kuachia mpira kwa Mane ambaye hakuwa marked at all. (Gini who is not a number six huwa anamake a lot of turn kwenye angle kama hizi but Hendo ambaye amecheza kwenye hiyo role kwa miaka 8 at LFC na one of the highest paid Mids in europe anashindwa kumake a simple turn there), kwenye game ya Crystal palace, tuliona jinsi Keita alivyomake a simple turn wakati akiwa man marked na a pacey winger kama Townsend, na hata baada ya kumake ile turn alitoa a very long ball pass to Salah, and thats a sign of a top midfielder ambaye anaweza kukupa makombe.
Pass ya henderson kwa VVD, ilikuwa mbovu na any midfielder mwenye awareness asingetoa pass ya namna ile na especially kwa the last CB ambaye alikuwa tayari closed down, VVD was forced to pass to Allison ambapo at this time iheanacho alikuwa kishasoma moves nzima, and tunatakiwa tukumbuke kuwa iheanacho alikuwepo wakati build up yote inafanyika, so when hendo alivyompasia mpira henderson, na kuona kabisa kuwa VVD was totally closed down, alijua ni lazima VVD angetoa pass ya nyuma kwa Allison ili kupunguza presha, so he was reading Allison moves na as soon as Allison alivyopokea mpira tayari alikuwa yupo mbele ya Allison.
i mean hakuna excuses kwa Allison blunder, because naye pia alikuwa na option ya kuclear the ball na kutojaribu kuact so clever, but angekuwa Keita au Gini kwenye eneo alilokuwepo henderson, tungetoka na clean sheet na Allison asingepokea ule mpira in the first place. huwa nasema kila siku kuwa Henderson inability to turn when needed na kupiga progressive pass huwa zinaleta presha kubwa sana kwenye team hasa katika upande wa Midfield na kwenye back-4, been saying here kuwa i dont hate Henderson as a person, but he's not a LFC standard player. role ya number 6 aliyocheza jmosi, ndiyo aliyokuwa anacheza Gini tangu mwanzo wa msimu, na game zote tatu tumetoka na Clean sheet, but baada ya Henderson kuwa introduced kwenye hiyo role everything changed kabisa, the entire midfield was sloppy and his lack of awareness caused huge tension at the back ambayo ilipelekea goal la LC, na kama Klopp asingemuingiza Keita (ambaye alibadilisha kabisa presha ya game) tungetoa draw, na tayari ilikuwa dhahiri kabisa.
fine, but Alisson needed to do the basics first and foremost.The highlight of the match on saturday was that Allison school-boy mistake, but mzizi wa ile mistake ulianzia kwenye midfield.

fine, but Alisson needed to do the basics first and foremost.
he's supposed to prevent the balls past the people in front of him going into the net, that's what he gets paid for.
he's paid to stop the shots and make clearance from the box when in danger, not those ridiculous Johan Cruffy's turns.
in this case he should just have hoofed the f...g ball out of play, basi!
anyways, the lad has learnt his lesson, albeit the hard way and nearly causing us some heart damage!
i still think that we were very solid vs Leicester and i would like us to continue playing more like that across the entire season than our traditional gung ho.it was a right call from Klopp to rest Keita, he's still new kwenye League and we have got tough fixtures this september, but its quite evident kuwa we got away with murder at LC,
we cant afford to repeat the same mistakes. tukiwa bado tunajaribu kumu-ease Faby kwenye team, ni bora Gini aendelee kucheza as a 6, i mean we should stick na the same Mid, (Gini/Keita/Milner).
mathematically, our next four league fixtures, ni very decisive for our title charge, we need to have maximum points mpaka kufikia December, so we need to beat Spurs/chelsea/Man city ili kujirahisishia kazi kwenye 2nd round ya msimu, kama mpaka december tutakuwa firm kwenye title chase, then tunaweza kufanya chochote MAY, we just need to handle these next four fixtures with care and ikiwezekana ku-collect maximum points ili kutenengeza a slight gape na hao wenzetu ambayo inaweza kutusaidia league ikiwa imeshachanganya huko mbeleni.
Spurs will be tough na ukichukulia wamefungwa jana, but kama tukishinda against them, tuta-send a huge message kwenye league.
Notedits very clear kuwa Allison made a huge mistake and should be accountable.
was just discussing root ya mistake yenyewe and how a top midfielder ange-act kwenye situation kama hiyo.
The Best FIFA Football Awards™ - FIFA.com