Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Kama huwezi English grammar bora uache kutumia lugha ya watu. Unajiaibisha kutumia lugha ya watu.......”the next is you???????”
Unajidhalilisha
😉
Ongezea na hii hapa chini kwenye red
Kama huwezi English grammar bora uache kutumia lugha ya watu. Unajiaibisha kutumia lugha ya watu.......”the next is you???????”
Unajidhalilisha
Mkuu nimefanya kazi ambayo nazunguka mavijijini huko, EPL na DSTV iko sana, ukikosa kijiji kimoja kuna cha jirani ambacho wanaonesha game.
Unakuta watu wanaenda na pikipiki au mnakodi gari.
Mkuu Nimetoka Dar Jana tu Nimehamia Leo Singida Jirani na Shinyanga Bado Simjui Yoyote Na Wala Sijawa Mwenyeji Wa Kuweza Kuiangalia Game Ya Leo.
Yani Hii Government Bhana! Kuna Wasukuma Huku Wanalia na Ajira then Wananitoa Dar Wananileta huku!! 😡😡
Celtic ni moja ya timu ngumu sana ngoja tuone itakavyokuwaKesho ana game na Celtic (ya Brendan Rodgers).
😀😀it's early doors yes...but our legend looks a real deal as a manager.
miaka 5 ijayo baada ya Klopp kutuletea 3 EPL & 1 UCL trophies, SG8 aje achukue mikoba yake na kui "Zinedine Zidane" UCL!!
Uzuri ni kwamba siku hizi mashabiki wa timu
pinzani wanaumia Liverpool ikishinda kwa
kupata clean sheet lakini wanafurahia ikishinda
kwa kuruhusu goli..Washajua kufungwa ni
ngumu😀😀
Mkuu Nimetoka Dar Jana tu Nimehamia Leo Singida Jirani na Shinyanga Bado Simjui Yoyote Na Wala Sijawa Mwenyeji Wa Kuweza Kuiangalia Game Ya Leo.
Yani Hii Government Bhana! Kuna Wasukuma Huku Wanalia na Ajira then Wananitoa Dar Wananileta huku!! 😡😡
na ndio maana Mimi niliachana na mambo ya kuajiliwa.yaani unakua mtumwa wa ajira.Mkuu Nimetoka Dar Jana tu Nimehamia Leo Singida Jirani na Shinyanga Bado Simjui Yoyote Na Wala Sijawa Mwenyeji Wa Kuweza Kuiangalia Game Ya Leo.
Yani Hii Government Bhana! Kuna Wasukuma Huku Wanalia na Ajira then Wananitoa Dar Wananileta huku!! 😡😡
Umegundua kitu. Salah anamyima Mane pass nzuri.Kitu kizuri ni kuwa Mane yupo on fire msimu huu...
Goals scored since the start of the 2017/18 season:
️ Salah, Mane & Firmino: 104
️ Manchester United: 104
Wow. Goals scored since the start of the 2017/18 season:
️ Salah, Mane & Firmino: 104
️ Manchester United: 104
Wow.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kweli AKE anakosa bao yy na kipa hayupo
Waache wandelee kuota. Huwezi kuifananisha Liverpool na hizo takataka nyingine. Yani wamebaki kushangilia tukifungwa goli na sio tukipoteza mechi. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya FirauniSasa kweli AKE anakosa bao yy na kipa hayupo
Wilson anakosa bao la wazi kama lile ndiyo ile beki icheze na Liverpool?
Salah na Mane watakos abao kama zile
4-0 ww usipojiangalia,ukija vyema unachukua bao 3
Roberto Firmino A.K.A (Bobby) ameshindaKinacho nifurahisha kwenye hii liverpool ni kua tunaweza kushinda tukiwa vibaya ani we are winning "ugly".msimu uliopita mechi kma ya jana au ile ya brighton ilikua ni suluhu au tunafungwa. So the ability of winning the way we are winning ni nzuri na ndo ubingwa unachukuliwa hivyo.
I also think kwa ss hvi hatuchezi ile free flowing football kwa vile wachezaji wengi hawakupata pre season vizuri kwa ajili ya worldcup na ndo mana hata pep alisema "the season starts after international break" kua mpka wakirudi ndo msimu utaanza rasmi kwa sababu wachezaji watakua na match sharpness yakutosha.mfano mzuri ni bobby firmino amekua anafanya kazi nzuri tukiwa tuna defend lakini ule udambwi udambwi wake bado hatujauona vizuri na its because of the lack ya pre season.
Nimalizie kwa kusema THIS LIVERPOOL TEAM IS CAPABLE OF ANYTHING. yajayo yanafurahisa
Sent using Jamii Forums mobile app