Anyway naona km unaona team yako ndo ilikua na shida...

Lkn Klopp mwenyewe amekiri kuwadhibiti Chelsea ilikua kazi kubwa. Hazard mpk watu watatu ndo ilikua wanaweza kumzuia. Morata pia na Kante. Pia kupenya kwa Chelsea ilikua kz maana walikua wanalinda goli watu wanane.

Timu yangu ni kweli ilikuwa Ndiyo mwanzo wa Matatizo... Kwani Kutoka Sare si Kwasababu ya Ubora wa Timu Yenu Bali ni Kwasababu ya Uzembe wa Klopp.
 
Mkuu Kama uliangalia mpira Kwa umakini utaona wazi Kuwa Mechi ya juzi ni Watu Watatu tu Ndiyo waliokuwa na athari zaidi Katika Pande zote mbili ambao Ninawarate 9/10....

Kwahiyo Morata mtoe kabisa Hakua na athari Kwani Unajua wazi Kuwa Morata si Mzuri wa Kutumia Mguu wake! Na Matip alimdhibiti Miguuni!
Bali ni Mzuri wa Kutumia Kichwa Chake Kwa Cross..

Na Conte alitumia Zaidi Winga Yenu Ya Kulia Kwa Kuchukulia advantage ya ubovu wa Moreno lakini Winga yenu Zappacosta Hakuwa na Cross za Kueleweka Ndomana Alimpa wakati mgumu Morata wa Kutotumia Mipira ya Kichwa...

Waliokuwa na athari ni:

Hazard (Chelsea)
Kante (Chelsea)
Salah (Liverpool)

Unapomsifia Hazard basi Usiache Kumsifia na Salah Kwani Ukabwaji wao Haukutofautiana...

Hazard akiwa na Mpira huzungukwa na Wachezaji Watatu...
Na Salah akiwa na Mpira Huzungukwa na Wachezaji Watatu...

Bali Salah alikuwa na Shots Nyingi Zaidi Kuliko Harzard pamoja na One goal.. Ikimaanisha Kuwa Mabeki wa Liverpool walifanikiwa Kwa Harzad lakini wa Chelsea Hawakufanikiwa Kwa Salah.
Salah si km alikua anakabwa na watu watatu ila ule mfumo wa Chelsea unawafanya walinzi kua ni wengi maana kadri unavyoenda ndani ya Chelsea unazidi kukutana nao.

Maana wakiwa ktk 5+3+2 maana yake ni kwamba km Salah atakwenda upande wa Alonso basi Cahill atakua karibu kufanya marking na Bakayoko pia atakua karibu na Kante atakua amesongea kuziba nafasi iliyoacha na Bakayoko maana atakua amesongea pembeni kumsaidia Alonso. So inakua hivo kila Mara mpira unavoenda kila upande lkn hii ilikua ni Tofauti kabisa kwa upande wa mabeki na viungo wa Lfc wao walimfata kabisa kwa Mara moja Hazard, kina Milner, Henderson na full back ya pembeni huku Coutinho akisaidia.

Well, Salah alipiga mashuti mengi golini mwa Chelsea lkn ni goli moja tu na shuti mbili zilizokua za hatari moja ikitoka nje na nyingine Courtois akaokoa.
Timu yangu ni kweli ilikuwa Ndiyo mwanzo wa Matatizo... Kwani Kutoka Sare si Kwasababu ya Ubora wa Timu Yenu Bali ni Kwasababu ya Uzembe wa Klopp.
Chelsea walikua ni bora, tena ndio waliofanya hatari nyingi kwenu kuliko nyinyi.

Usibeze ubora wa Chelsea ata kidogo
 
Salah si km alikua anakabwa na watu watatu ila ule mfumo wa Chelsea unawafanya walinzi kua ni wengi maana kadri unavyoenda ndani ya Chelsea unazidi kukutana nao.

Maana wakiwa ktk 5+3+2 maana yake ni kwamba km Salah atakwenda upande wa Alonso basi Cahill atakua karibu kufanya marking na Bakayoko pia atakua karibu na Kante atakua amesongea kuziba nafasi iliyoacha na Bakayoko maana atakua amesongea pembeni kumsaidia Alonso. So inakua hivo kila Mara mpira unavoenda kila upande lkn hii ilikua ni Tofauti kabisa kwa upande wa mabeki na viungo wa Lfc wao walimfata kabisa kwa Mara moja Hazard, kina Milner, Henderson na full back ya pembeni huku Coutinho akisaidia.

Well, Salah alipiga mashuti mengi golini mwa Chelsea lkn ni goli moja tu na shuti mbili zilizokua za hatari moja ikitoka nje na nyingine Courtois akaokoa.

Chelsea walikua ni bora, tena ndio waliofanya hatari nyingi kwenu kuliko nyinyi.

Usibeze ubora wa Chelsea ata kidogo

Mkuu Chelsea Mumefanya Hatari Tatu tu za Uhakika.... Kati ya Hizo Tatu, 2 za Mashuti Mawili ya Harzad, Na Moja ni Ya Goli la Willian...

Liverpool Wamefanya Hatari NNE za maana.... Kati ya Hizo NNE, 3 ni za Harzad Peke Yake, na 1 ni ya Sturridge....
Sasa hapo nani alikuwa na Hatari Zaidi kati ya Liverpool na Chelsea?

Na Ukiangalia BOX-TO-BOX basi sisi Tumeingia Mara Nyingi Zaidi Katika BOX lenu na tumetengeneza nafasi Nyingi Zaidi Kuliko Nyingi....
Na hata Possession ukiangalia basi sisi Tumepossess Zaidi Kuliko Nyingi...

Na hata Probability ya Ushindi sisi tulikuwa na Percentage Kubwa Zaidi Kuliko Nyinyi....

Sasa hapo nani alikuwa Katika Hatari Zaidi?....
Hata Mashuti Yaliyokuwa Hayakulenga Lango Basi Sisi Tumepiga Mengi...

Screenshot_20171127-125046.png
..
 
View attachment 638798 ..
db72665425febeeefd871bf936dcc67c.jpg

Mkuu km lilikua shoot moja mbona hapo kuna save 2 alizofanya kipa wenu na kuna takle 2 na last man mbili.

Cahill alikua na uwezo wa kutupia, Drinkwater na yeye Mara mbili na Morata Mara moja.

Tunapochambua mpira wakati mwingine tuchambue kwa uhalisia.

Kiwango cha Chelsea kilikua kizuri na hatari mno kweni.

Na ndani ya box la Chelsea mlishimdwa kuingia Mara kwa Mara Klopp mwenyewe ktk interview yake baada ya mpira alisema it's hard to break through in Chelsea because they were defending with 8 people.
 
Hapana! Umeniquote Vibaya!!! Rajea Comment [HASHTAG]#36726[/HASHTAG] nimesema wazi Kuwa Mumefanya Hatari TATU.....
Nikimaanisha Mashuti Mawili Ya Harzad (SAVED) na Shuti Moja la Willian (GOAL).... Kwahiyo hapo nipo Sahihi sijaeka Unazi mbele...

Na kuhusu Liverpool Kucheza Kwenye Box lenu hapo unabisha tu lakini Sitakucritisize Wakati Ndiyo mtazamo Wako...

Na la mwisho Kuhusu Interview ya Klopp ya Pre-Match na Post-Match Press Conferences sisi Tumeshaachana Nazo Kwani Haongei Tena Cha Maana Bali Huongea Pumba tu Na Kuwalinda
Wachezaji Wabovu...

Wacha Nikupe Mfano Kuhusu Kauli Yake Ya Kuwa "Ni Vigumu Kuingia Katika Box la Chelsea Kwasababu Walikuwa Wakikaa Walinzi 8 nyuma ya Mpira"!!!!

Hiyo ni Kauli ya Uongo!! Kwanza Utakubaliana na Mimi Kuwa Chelsea Hawakupaki Basi Hata Kidogo! Bali walicheza Mfumo Kwa kitaalamu tunaita "Deep Defending "...

Na Ndiyomana Kante Hakucheza Kama "DEEP-LYING DEFENSIVE MIDFIELDWE".. Bali Alicheza Style mbili Kwa Pamoja.. 1) BOX-TO-BOX MIDFIELDER na 2) HOLDING MIDFIELDER...
At the Same time Harzad na yeye alivunja Akawa anacheza WIDE AND CENTRE CENTRAL ATTACKING MIDFIELDER akiwa MORE OFFENSIVE THAN
PLAYMAKER yaani Tunamwita FALSE-ATTACKING MIDFIELDER...
Bakayoko Na yeye Ni wazi Kuwa Alipewa Jukumu la Kuwa HOLDING
MIDFIELDER with UPPER AND CENTRE ROLE and PLAYMAKER lakini Uwezo Wake Haukumruhusu Kufanya Hivyo akaishia Kuwa IRREGULAR POSITIONS...

Sasa Kwa Mfumo Huo Si Mfumo wa Kulinda Watu Nane
Nyuma Ya Mpira (Kupaki Basi) Bali Ni Deep defending tu...

Sasa Kuhusu Uongo wa Klopp hapo Ni Kukwepa lawama Za Waandishi na Wadau Wa Soccer (Pundits) Kuhusu Timu Kuwa Butu Kimashambulizi Baada Ya Kumueka Juu Firmino na Sturridge...
Sasa Baada ya Kuona Yeye Klopp na Sturridge Wanakosolewa Sana Ndiyo Anaamua Kumtetea Kwa Kusema Hawezi Kuingia Kwenye Box wakati kuna Watu 8 nyuma ya Mpira... Na pia amesema hivyo kuonesha Kuwa Uwamuzi Wake si Mbovu Bali Mfumo Wa Chelsea Ndiyo Mbovu...

Kwahiyo Kusikiliza Interviews za Klopp ni Kujipotezea Muda tu Kwani Huishia Kuongea Kauli za Kisiasa ya Mpira na wala si Tactics.
 
Salah si km alikua anakabwa na watu watatu ila ule mfumo wa Chelsea unawafanya walinzi kua ni wengi maana kadri unavyoenda ndani ya Chelsea unazidi kukutana nao.

Maana wakiwa ktk 5+3+2 maana yake ni kwamba km Salah atakwenda upande wa Alonso basi Cahill atakua karibu kufanya marking na Bakayoko pia atakua karibu na Kante atakua amesongea kuziba nafasi iliyoacha na Bakayoko maana atakua amesongea pembeni kumsaidia Alonso. So inakua hivo kila Mara mpira unavoenda kila upande lkn hii ilikua ni Tofauti kabisa kwa upande wa mabeki na viungo wa Lfc wao walimfata kabisa kwa Mara moja Hazard, kina Milner, Henderson na full back ya pembeni huku Coutinho akisaidia.

552c69908ad13eca32413f78f9addb60.jpg
 
Klopp bottled another game in the last minutes. are you suprised?

4 transfer windows and bums like Mignolet, Lovren,Henderson, Milner still starting for this team, na bado watu wanawaza makombe?

shit results, late subs and poor game management from Klopp, have costed LFC another game.
Isingekuwa klop nahis ingetoka 1-3 chelsea winning
Probably usingecomment apa
 
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi, ambaye yuko Wolfsburg kwa mkopo hajui hatma yake katika klabu ya Anfield, huku mchezaji huyo wa Ubelgiji akiendelea kuvutia katika ligi ya Ujerumani ya Bundesliga. (Liverpool Echo)
 
Liverpool na Leicester wanaangazia kumsajili beki wa West Brom na Misri Ahmed Hegazi, 26, ambaye yuko katika mkopo kutoka klabu ya Al Ahly. (ESPN)
 
Liverpool na Juventus wote wanataka kumsajili winga wa klabu ya Sporting Lisbon mwenye umri wa miaka 22 raia wa Ureno Gelson Martins. (A Bola, via Talksport)
 
Line-Up:
Mignolet, Gomez, Matip, Lovren, Moreno, Wijnaldum, Can, Oxlade-Chamberlain, Mane, Solanke, Firmino.

Subs:
Karius, Milner, Coutinho, Salah, Henderson, Sturridge, Alexander-Arnold.

IMG_20171129_222548.jpg
 
Huyu klop anachokitafuta ni kutokusajili Jan

Na kwa Kikosi Hichi iwapo Mpira utamaliza Tukiwa Tunaoongoza Kwa Goli Hili hili moja au Zaidi! Basi nakuhakikishia Klopp Hasajili January...
Hapa atajisifia:
1) Performance...
2) 3 points....
3) Clean sheet.....
4) Depth....
 
Back
Top Bottom