Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yan goli liliniuma lile...ikabidi nikimbilie fiesta kupoza machungu...anyway tumejitahid lakin...tujipange na stoke..
 
Huu ndiyo Ugonjwa Wa Klopp! Yani Wachezaji Wanatucost yeye anawatete na anawasifia!!!

Jürgen Klopp has revealed he spoke to Alberto Moreno following Wednesday’s 3-3 draw with Sevilla and admitted: "I told him I still trust him 100 per cent".

Yani Kwa Kiburi tu anasema Kuwa Henderson ni "proper captain."

Klopp defends Henderson after
criticism

Screenshot_20171126-123808.png
 
Mbrazili aliyeingia akitokea benchi alihitaji sekunde 144 tu dimbani kufanya mambo ambayo Antonio Conte alikuwa akiyahitaji, baada ya krosi yake kuelea juu ya kichwa cha kipa wa Liverpool Simon Mignolet na kuzama wavuni mnamo dakika ya 85.

Salah, ambaye anaongoza kwenye ubao wa wapachika mabao Ligi Kuu Uingereza aliendeleza mwendo wake mzuri akiweka kimiani bao lake la 10 la kampeni za msimu huu dhidi ya kipa wa Chelsea Thibaut Courtois dakika ya 65. Na alikaribia kuwa shujaa wa klabu yake katika mechi hiyo kwani dakika za mwisho alitaka kufunga lakini Courtois alikuwa thabiti langoni na kuokoa hatari hiyo.

Lakini Liverpool waliondoka wakijilaumu kwa kupoteza nafasi ambazo zingewawezesha kuchukua pointi zote tatu kupanda kwenye msimamo wa ligi, na sasa wanabaki nafasi ya tano baada ya sare.

Chelsea walikuwa na kiwango safi kipindi cha kwanza, Mignolet akiwa katika ubora wake alimdhibiti Eden Hazard na Davide Zappacosta kadhalika akiruka kwa umahiri kuzuia shuti la Danny Drinkwater, na Liverpool walikuwa na bahati nyavu zao kutotikiswa nakika ya 24, pale Gary Cahill alipopiga shuti la yadi sita ambalo hata hivyo alikosa.

Ilionekana kama Alvaro Morata na Alonso ndio ambao wangeipa ushindi Chelsea, lakini mashabiki wa Liverpool walipokuwa wakishangilia kurejea kwa Adam Lallana kutoka majeruhi, aliingia mtu mwingine kutokea benchi, Willian ambaye ndiye aliyepindua matokeo dakika za majeruhi.

Nyota wa Mchezo: Mohamed Salah, ambaye alikuwa mtu hatari kipindi chote cha mechi na alikaribia kufunga mara mbili, lakini goli lake moja limeipatia timu yake alama moja baada ya Willian kusawazisha akitokea benchi.
 
Nyie jiandae kwenda UEFA/EUROPA ..mpaka sasa hamna uhakika wa kufuzu ...sevilla anampiga mtu na wewe utapigwa na spartack ..huna pa kutokea mzee
 
Rotating the squad is understandable with the schedule Liverpool face but why choose one of the biggest games of the season to do it??????

The Reds went into a gun fight without two of their most lethal weapons...
→→Mane and Firmino
Wewee una bahati sana Jana wachezaji hawakua na mudi nzuri. Ungekufa nne mkuu
 
Katika Siku Wiki Ambayo Moreno Ametucost Zaidi Katika Maisha Ya Liveepool ni Wiki Hii....

Yani Jamaa Anacheza Left Back lakini Unafika Pahala unajiuliza Hivi kwenye hii timu Leo Haikuchezeshwa Left Back?

Jamaa anakwenda Juu Kushambulia ikishwa anashindwa Kushuka na Kumuacha Mchezaji Mbovu kama Zapacosta Kuweza Kucheza Mpira.....

Na Mida Mwingi anautumia Kaucheza Katikati Ya Uwanja utafikiria Yeye ni DM badala ya LB...

That is why hats goli la Willian Baada Ya Kumkaba aliishia Kukwepa Shuti alilopiga huku Klavan Akimuangalia tu...
Una lalamika wee jamaa ungeenda kucheza wewe ..utapigwa tuu huna kikosi cha maana kabisa.

Unadhubutuje Kusema Zappacosta ni mbovu? Zappa anafanana na player gain apo liver ...kuwa siriyaz aise.
 
Klopp bottled another game in the last minutes. are you suprised?

4 transfer windows and bums like Mignolet, Lovren,Henderson, Milner still starting for this team, na bado watu wanawaza makombe?

shit results, late subs and poor game management from Klopp, have costed LFC another game.
Jamaa anazidi ku prove failure
 
Wewee una bahati sana Jana wachezaji hawakua na mudi nzuri. Ungekufa nne mkuu

Sasa nina Bahati Mimi au Wewe uliyechomoa Dakika za lala Salama?

Wewe kiazi kweli!! Hivi hukuona kuwa Jana ulikuwa Katika Wakati mgumu mpaka ukabahatika Kurejesha lile goli???

Tena Mshukuru Sana Yule Mpumbavu Klopp Kwa Kuwaeka Juu Mane na FirminoFirmino kama aliyekuwa Kabeti... Venginevyo ungelikuwa unaongelea mengine sasahivi...
 
Una lalamika wee jamaa ungeenda kucheza wewe ..utapigwa tuu huna kikosi cha maana kabisa.

Unadhubutuje Kusema Zappacosta ni mbovu? Zappa anafanana na player gain apo liver ...kuwa siriyaz aise.

Ni Kweli Zappacosta hafanani na Mchezaji Yeyote Liverpool Kwasababu Level yake ni Bolton au Swansea na wala si Liverpool..
 
Jamaa anazidi ku prove failure

Tena mwisho Wa Msimu huu He will be the greatest failure Manake atatoka Kapa Kama Msimu uliopita... Ataishia na sifa Yake Moja tu Ya Kukumbatia wachezaji Wabovu...

Na marahii Wale Wanaompenda Klopp Kisa tu Anaconcentrate Katika Kugombania Top Four! Basi Wajaiandae Kisaikolojia Kuwa Nafasi ya 6 inatuhusu... Hatuna uwezo wa Kuingia Top 4...
 
Mimi nashindwa kumuelewa kabisa, nashangaa wanaodai aendelee kupewa muda
 
The most Arrogant and Stupid Manager katika Timu zote zile Sita za juu (Top Six) basi ni Klopp wala Halina ubishi hill....

Makocha wanapigania timu zao ziwe Katika ubora lakini yeye anapigania ujinga..

Hebu Tumtazame Conte:
Mchezaji kama David Luis ni talented na Mzoefu Pale EPL... Lakini tazama ujasiri wa Conte! Baada ya Kugundua Kipaji na Uwezo wa Christensen
Mchezaji Asiyekuwa na Uzoefu wowote wa Kuchezea EPL na Timu kubwa kama Chelsea! Basi ameamua Kumueka Benchi David Luis na Kumchezesha Christensen Bila ya Kujali Jina au umaarufu wa David Luiz.... Na sote tunaiyona Shuhuli ya Christensen anapokuwa Uwanjani..

Lakini Leo Stupid Klopp anashindwa hata kuwafanyia Sab achliambali Kuwaeka Juu wapumbavu Kama Henderson na Lovren watu ambao tokea waanze Kuchezea Liverpool haijawahi Kutokezea Timu yoyote barani Ulaya kubid kwa Wachezaji hao! Hii inaonesha Dhahiri Kuwa ni wachezaji Wasio na thamani yoyote Katika ulimwengu huu wa soka...
 
Tena Conte ni jasiri kinoma yaani anampanga Christensen ktk big game bila kujali km atafungwa itam backfire na kula kichwa chake kutimuliwa kz lkn Klopp haezi
 
Sasa nina Bahati Mimi au Wewe uliyechomoa Dakika za lala Salama?

Wewe kiazi kweli!! Hivi hukuona kuwa Jana ulikuwa Katika Wakati mgumu mpaka ukabahatika Kurejesha lile goli???

Tena Mshukuru Sana Yule Mpumbavu Klopp Kwa Kuwaeka Juu Mane na FirminoFirmino kama aliyekuwa Kabeti... Venginevyo ungelikuwa unaongelea mengine sasahivi...
Kwanini Klopp hakuwapanga hao sasa akawaanzia benchi?

hii inaitwa kaa mbali na defensive machine maana kui unlock ni shida. Haichelewi geuka nakua

Conte tactics master
 
Kwanini Klopp hakuwapanga hao sasa akawaanzia benchi?

hii inaitwa kaa mbali na defensive machine maana kui unlock ni shida. Haichelewi geuka nakua

Conte tactics master

Tulifanikiwa KuiUnlock... Ni uzembe wa Kipa na Mibeki Yetu Mibovu tu yaliyoshindwa Kulilinda Goli...

Na Ubovu wa Washambuliaji Wetu tu Sturridge na Chamberlain Kumtegemea Salah Peke Yake Ndiyo kilichofanya Ukapata ujasiri wa Kushambulia Kwani Mabeki Wote Walikuwa Wakimkaba Salah tu! Lakini Sturridge na Chamberlain Hawakushuhulika nao Waliwaacha Warukeruke tu uwanjani na Kwenda Mbio Kama Makatuni coz wanawajua Kuwa Hamna lolote.. Hapo Ndiyo Kina Alonso na Kante Wakaona Hakuna Shida ya Kuongeza Nguvu Kubwa Ya Ukabaji Kwa Mfungaji wenyewe ni Mmoja Salah! Christensen na Cahill wanatosha Kumdhibiti.. Wao Wakaamua Kucheza Box-to-Box Na Kushambulia mpaka likaingia goli..

Mkuu juzi Chelsea Haikucheza Hasa Mfumo Wa Kupaki Basi Coz Walituona Kuwa Hamna kitu Klopp amechemsha...

Lakini Klopp angeacha Kiburi Cha Kubahatisha Kikosi na Angewaanzisha MANE - FIRMINO - SALAH pale mbele! Basi Conte angepaki basi mwanzo Mwisho Kwani Kante na Alonso pamoja na Bakayoko wasingelithubutu Kuondoka Kwenye Defense hata Mara moja na kuwaacha hao jamaa..

Na lile goli uaingelirudisha Kwani usingeweza kushambulua, na ungeshambulia basi Mane na Salah wangelikuchomeka jengine...

Kwahiyo Mechi ya Juzi Conte hakutumia Tactics zozote! Bali alipoona kikosi chetu tu akajua ni jeshi la Mtu mmoja. Kwahiyo Kazi ikawa nyepesi kwake...
 
Mpaka sasahivi Targets Kubwa Za Klopp:

  • Leon Goretzka (Summer)

  • Julian Draxler (Winter / January)
Hapo sijaona Defender?? Lol! Kazi Tunayo... Mwakani Lovren na Klavan tena????
 
ARSENAL ZINAMTAKA LIVERPOOL DRAXLER

Arsenal wameungana na Liverpool katika mbio za kuiwania saini ya Julian Draxler kutoka Paris Saint-Germain, kwa mujibu wa The Mirror .
Inafahamika kuwa Liverpool wanamhusudu mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani na wanataka kumsajli kwa mkopo, lakini PSG wapo tayari kumuuza.
 
Tulifanikiwa KuiUnlock... Ni uzembe wa Kipa na Mibeki Yetu Mibovu tu yaliyoshindwa Kulilinda Goli...

Na Ubovu wa Washambuliaji Wetu tu Sturridge na Chamberlain Kumtegemea Salah Peke Yake Ndiyo kilichofanya Ukapata ujasiri wa Kushambulia Kwani Mabeki Wote Walikuwa Wakimkaba Salah tu! Lakini Sturridge na Chamberlain Hawakushuhulika nao Waliwaacha Warukeruke tu uwanjani na Kwenda Mbio Kama Makatuni coz wanawajua Kuwa Hamna lolote.. Hapo Ndiyo Kina Alonso na Kante Wakaona Hakuna Shida ya Kuongeza Nguvu Kubwa Ya Ukabaji Kwa Mfungaji wenyewe ni Mmoja Salah! Christensen na Cahill wanatosha Kumdhibiti.. Wao Wakaamua Kucheza Box-to-Box Na Kushambulia mpaka likaingia goli..

Mkuu juzi Chelsea Haikucheza Hasa Mfumo Wa Kupaki Basi Coz Walituona Kuwa Hamna kitu Klopp amechemsha...

Lakini Klopp angeacha Kiburi Cha Kubahatisha Kikosi na Angewaanzisha MANE - FIRMINO - SALAH pale mbele! Basi Conte angepaki basi mwanzo Mwisho Kwani Kante na Alonso pamoja na Bakayoko wasingelithubutu Kuondoka Kwenye Defense hata Mara moja na kuwaacha hao jamaa..

Na lile goli uaingelirudisha Kwani usingeweza kushambulua, na ungeshambulia basi Mane na Salah wangelikuchomeka jengine...

Kwahiyo Mechi ya Juzi Conte hakutumia Tactics zozote! Bali alipoona kikosi chetu tu akajua ni jeshi la Mtu mmoja. Kwahiyo Kazi ikawa nyepesi kwake...
Anyway naona km unaona team yako ndo ilikua na shida...

Lkn Klopp mwenyewe amekiri kuwadhibiti Chelsea ilikua kazi kubwa. Hazard mpk watu watatu ndo ilikua wanaweza kumzuia. Morata pia na Kante. Pia kupenya kwa Chelsea ilikua kz maana walikua wanalinda goli watu wanane.
 
Mkuu Kama uliangalia mpira Kwa umakini utaona wazi Kuwa Mechi ya juzi ni Watu Watatu tu Ndiyo waliokuwa na athari zaidi Katika Pande zote mbili ambao Ninawarate 9/10....

Kwahiyo Morata mtoe kabisa Hakua na athari Kwani Unajua wazi Kuwa Morata si Mzuri wa Kutumia Mguu wake! Na Matip alimdhibiti Miguuni!
Bali ni Mzuri wa Kutumia Kichwa Chake Kwa Cross..

Na Conte alitumia Zaidi Winga Yenu Ya Kulia Kwa Kuchukulia advantage ya ubovu wa Moreno lakini Winga yenu Zappacosta Hakuwa na Cross za Kueleweka Ndomana Alimpa wakati mgumu Morata wa Kutotumia Mipira ya Kichwa...

Waliokuwa na athari ni:

Hazard (Chelsea)
Kante (Chelsea)
Salah (Liverpool)

Unapomsifia Hazard basi Usiache Kumsifia na Salah Kwani Ukabwaji wao Haukutofautiana...

Hazard akiwa na Mpira huzungukwa na Wachezaji Watatu...
Na Salah akiwa na Mpira Huzungukwa na Wachezaji Watatu...

Bali Salah alikuwa na Shots Nyingi Zaidi Kuliko Harzard pamoja na One goal.. Ikimaanisha Kuwa Mabeki wa Liverpool walifanikiwa Kwa Harzad lakini wa Chelsea Hawakufanikiwa Kwa Salah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom