Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hongera Sana Kwa Kuwa Siku Zote Una ari Ya Kutoiangusha Liverpool Yetu...
Lakini Nakushauri Japo Siku moja Waza Ubingwa.

Man City huyu kaisha choka
Just a matter of time tu
Kashinda mechi hizi mbili kwa mabao ya dakika ya 90,huwezi ukawa na bahati kila siku!
Hadi Dec 31 Man City ananizidi single digit na ubingwa unakuwa wide open!
Take my words and put it into your account!
 
XI Prediction ya Leo

SM
TAA
DL
RK
AM
GINI
HENDO
FC
MO
BOBBY
MANE

24176955_2005827233028094_7126955621106415478_n.jpg
 
The signings of Mane & Salah inaonesha Kwamba Si Kila 1st choice Kuwa Siku Zote Ni best choice

Ikumbukwe Kwamba Hapo Awali Tulimtaka
Gotze badala ya Mane! Na Tukampigania Sana Brandt na Pulisic badala Ya Salah..

So, ipo Haja Ya Kubid Kwa Beki Mwengine Badala Ya VVD..... Kwani VVD ni 1st Choice, Lakini Huenda Alternative yake ikawa bora Zaidi Kuliko Yeye kama ilivyokuwa Kwa Mane & Salah..
 
Henderson is slowing the game as usual.. i see 10 man in the field
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom