Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi hii ni timuuu au genge la wahuni.
Yaani mnaongoza vizuri alaf mnakuja kuachia.
Mbele mnakaza. Nyuma mnaachia
 
Klopp bottled another game in the last minutes. are you suprised?

4 transfer windows and bums like Mignolet, Lovren,Henderson, Milner still starting for this team, na bado watu wanawaza makombe?

shit results, late subs and poor game management from Klopp, have costed LFC another game.
 
Mane was furious at Klopp baada ya mpira kuisha. my African brother had enough lol.
 
Captain coward was chasing shadows again today..

he's the main reason why Can and Cou wants to leave this club.

imagine playing besides that bum. i'd want to leave too
Most of the english players f*** useless
The headless chicken is praying for his own downfall,, he has to be serious sometimes
 
I think its right time sasa, Robertson aanze kucheza

Game kubwa wijnaldum ni mtu mzuri sana but sielew Klopp anachofanya kwenye rotation ya wale wachezaj wa katkat,,
Henderson(tushachoka kumuongelea because ni useless) its better amzoeshe grujic but sio huyu captain mjinga

I knew makosa ni yale yale kama ya Sevilla.. Mwaka huu hizi big games tunafungwa kupitia makosa yale yale!!
 
Klopp hajawah kuwa na back up plan since day 1

He is sticking in the same formation just because anatumia pressing style yake

Newcastle,
Sevilla
Chelsea

and many other more games.. tulzofungwa dakika za almost mwishon

This coach has a problem
 
Sasa hivi am already used to this...

Kuangalia game za Liverpool just because kuna Attacking football ambayo ni attractive, yaan just show game ambayo haina maana kwetu kwasabab kwa hii defence ya kina Klavan na Lovren na hawa magolikipa wawl.. ata 4 goals zinaeza rudi easily
 
1 GK is needed +

2 CB's
1 DM
1 world class striker...

ila vituko vya jamaa atanunua just 1 english player (ambaye ni useless) kupooza mashabiki + kinda wa kuekwa bench the full season

Halaf tuendelee kukimbizana na kina Henderson
 
Klopp hajawah kuwa na back up plan since day 1

He is sticking in the same formation just because anatumia pressing style yake

Newcastle,
Sevilla
Chelsea

and many other more games.. tulzofungwa dakika za almost mwishon

This coach has a problem

He cant manage games. Jana you could see ambavyo alitaka kulinda kagoli kamoja wakati hana keeper wala mabeki wala kiungo wa kufanya hivyo. Matokeo yake kina alonso wakawa wanapanda wakati wote. Ile ilikuwa game kubwa na chelsea wana wachezaji wa kubadili matokeo anytime. Wakati anaongoza moja na dk kama ya 60 hivi angeweka mane na firmino mapema ili mabeki wawe na kazi. Kwa jinsi hiyo wangekuwa wanategemea counter attacks pekee.
 
I think its right time sasa, Robertson aanze kucheza

Game kubwa wijnaldum ni mtu mzuri sana but sielew Klopp anachofanya kwenye rotation ya wale wachezaj wa katkat,,
Henderson(tushachoka kumuongelea because ni useless) its better amzoeshe grujic but sio huyu captain mjinga

I knew makosa ni yale yale kama ya Sevilla.. Mwaka huu hizi big games tunafungwa kupitia makosa yale yale!!

I agree hendo is useless. Cant even defend properly. Kuna wakati mpira haujatoka anakimbilia kunyoosha mkono badala ya kukaba watu wakapita wakashambulia. He lacks creativity, ni mtu wa sideways passes. Hiyo ni nzuri kama angekuwa ametoka kukaba lakini wakati mko na mnataka kushambulia ni useless. Can na wijnaldum wana matatizo yao but they cam offer something more than Henderson
 
Katika Siku Wiki Ambayo Moreno Ametucost Zaidi Katika Maisha Ya Liveepool ni Wiki Hii....

Yani Jamaa Anacheza Left Back lakini Unafika Pahala unajiuliza Hivi kwenye hii timu Leo Haikuchezeshwa Left Back?

Jamaa anakwenda Juu Kushambulia ikishwa anashindwa Kushuka na Kumuacha Mchezaji Mbovu kama Zapacosta Kuweza Kucheza Mpira.....

Na Mida Mwingi anautumia Kaucheza Katikati Ya Uwanja utafikiria Yeye ni DM badala ya LB...

That is why hats goli la Willian Baada Ya Kumkaba aliishia Kukwepa Shuti alilopiga huku Klavan Akimuangalia tu...
 
Na Huyu Mignolet Huwa Anajisahau Kuwa Yeye Ndiye Mlinzi Was Goli...

Laiti Angelikuwa Kasimama Golini Basis Mpira Hule alioupiga Willian usingeliingia Golini...
Lakini Kwa Uzembe tu aliamua Kuondoka Golini na Kusimama Karibu Yadi 4 kutoka Kwenye Goli that is why alijitahidi Kurudi Nyuma Huku akiruka lakini wapi!!!!
 
Na Just Mtu ansema Kuwa Point 1 ya draw Kwa Chelsea sio mbaya Kwa Sababu Yeye Hapendi Liverpool Kwa Sababu ichukue Kombe....

Yeye anaridhika tu Liverpool igombanie Top 4 kila msimu.... Kwahiyo Draw kwake Ni Bonge la result Kwani Lishamuongezea point 1 ya Kugombania Top 4...

Kuhusu Makombe Kwake sio issue na hana habari nayo....

Kwa timu hii ambayo inachowaza ni Top 4 tu! Sidhani Kama Yupo Mchezaji atakaebaki kuichezea...

Kama walivyoondoka kina Owen, Alonso, Torres, Mascherano na Suarez! Basi Tutarajie na Kina CAN, COUTINHO, MANE na SALAH muda wowote Wataondoka Tubakishe na wale wale Kina HENDO, LOVREN, MILNER na MORENO tugombanie nafasi yetu ya Name...
 
Ni dhahiri Kuwa Jürgen Klopp anajichimbia Kaburi...

Jana Baada Ya Game ajikutia Akiingia Katika Mgogoro na Sadio Mane! Hii ni Wazi Yaonesha Ule uhusiano Wake Mzuri aliokuwa nao na Wachezaji Waanza Kutoweka...

1) Umeanza Kwa Emre Can

2) Ukaja Kwa Coutinho

3) Ukaja Kwa Sturidge

4) Sasa waanza Kwa Mane

Na Kwa Fielrmino na Gini upo njiani...
Atabakia Hendo peke yake Kipenzi Chake Ndiyo atayemsikiliza...

"Jurgen Klopp played down an on-pitch exchange with Sadio Mane at the end of the 1-1 draw with Chelsea but admitted the player was unhappy with him.

Klopp and Mane were spotted by TV cameras exchanging words after the Senegal winger was brought on with just a couple of minutes left after Willian equalised Mo Salah's opener with just five minutes left.

While some surmised Mane was unhappy to be given so little playing time, Klopp explained that it was a difference of opinion about the position he took up which caused it.

Screenshot_20171126-115715.png
 
Rotating the squad is understandable with the schedule Liverpool face but why choose one of the biggest games of the season to do it??????

The Reds went into a gun fight without two of their most lethal weapons...
→→Mane and Firmino
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom