Dah, hii game nimeingalia kwa makini kabisa. Nimegundua wachezaji wanacheza kwa uoga sababu mipira mingi ni pasi za kurudi nyuma na wide!

Wachezaji hawana kasi. Yaani wakipata mpira ndio kwanza wanaupoozesha. Timu imekuwa ya kawaida kabisa. Ile spirit tuliyoiona siku za nyuma haipo kwa sasa.
Tukipata hata top 4 kwa mwaka huu basi yatakuwa ni mafanikio makubwa kwa aina ya wachezaji tulionao.
 
KLOPP hawezi kufanya kazi na FLORENTINO PEREZ kabisa atakuta barua ya kutimuliwa mlangoni kwake asee km Benitez
 
bd63b8a73c2eeccc8130e34e9d18ce50.jpg
ahahahahaha liverpungaa ... jumanne tutakuja halalisha kabisa kifo chenuu kabisaa ...Asante sana Swansea ...jogoo la jiji kilaiiiinii anapigwa vitatu swaafiiii ...anfeald iooo ohooo jiandaenii apo jumanne Conte atawamwagia vitanoo tuu
 
Liverloose kufungwa na Swansea siyo habari ya dunia ni kawaida sana. But chelsea akifungwa na Tottenham ni habari ya kidunia. Hapa ndo nimegundua kuwa Chelsea ni timu kubwa duniani. Liverfool ni timu ya mchangani.
Kama huamini subirini kesho Chelsea afungwe na Hull city. Dunia nzima itasimama
 
We vipi wewe!? Acha ushabiki wa kipumbavu! Mbona hili linafanyika humu kwa muda mrefu miongoni mwa washabiki humu!? Kama hukupenda pita kimya kimya.
Matusi ni ushamba, uhuni wa ki-bushboy na utoto pia.

Wewe nahisi ni "Mkwere"!
 
Jamani inakuaje anakosekana mtu mmoja timu inayumba hivi halafu eti mnajiita mnafukuzia ubingwa, jitahidini mrudi top 4 hayo mambo mangine waachieni wenye uwezo nayo KTBFFH
 
Ukionyesha upumbavu lazima uambiwe ukweli bila kumung'unya. Kuna mashabiki tunataniana humu kwa muda mrefu sana wewe sijawahi kukuona. Acha kudandia yale usiyoyajua na kama huna kifua nacho. Ushabiki wako wa kipumbavu peleka kwingine siyo humu wewe shabiki uchwara.
Eti kuweka picha tu umenuna! Wewe kweli ni shabiki uchwara.

Matusi ni ushamba, uhuni wa ki-bushboy na utoto pia.

Wewe nahisi ni "Mkwere"!
 
Ukionyesha upumbavu lazima uambiwe ukweli bila kumung'unya. Kuna mashabiki tunataniana humu kwa muda mrefu sana wewe sijawahi kukuona. Acha kudandia yale usiyoyajua na kama huna kifua nacho. Ushabiki wako wa kipumbavu peleka kwingine siyo humu wewe shabiki uchwara.
Eti kuweka picha tu umenuna! Wewe kweli ni shabiki uchwara.
Lakini pia sijaona ulipotania. Nimeona umeweka picha with captions tu kama taarifa nikaona mdau kakomenti. Mwanzoni nilidhani aliandika kimzaha ila sasa nimegundua kuwa atakuwa yu mgeni humu.

Let go brother...
 
Back
Top Bottom