Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,163
- 17,066
Dah, hii game nimeingalia kwa makini kabisa. Nimegundua wachezaji wanacheza kwa uoga sababu mipira mingi ni pasi za kurudi nyuma na wide!
Wachezaji hawana kasi. Yaani wakipata mpira ndio kwanza wanaupoozesha. Timu imekuwa ya kawaida kabisa. Ile spirit tuliyoiona siku za nyuma haipo kwa sasa.
Tukipata hata top 4 kwa mwaka huu basi yatakuwa ni mafanikio makubwa kwa aina ya wachezaji tulionao.