Naona nae ameanza kucheza long ball na imeshindwa kumuokoa
Ndo mpira ulivyo tena huu wa uingereza duuu. Lakini nakimbuka ukisema kuwa liverfool hawata fungwa anfield. Kule kwa wekundu nao wameisha pigwa mojaEverything is over....
1) Klavan → Poor Performance
2) Lovren → Poor Performance
3) Clyne → More than Poor Performance
4) Milner → Good Performance
5) Mignolet → Good Performance
6) Henderson → Average Performance
7) Gini → Poor Performance
8) Can → More than Poor Performance
9) Lallana → Best Performance
10) Bobby → Best Performance
11) Cotinho → Poor Performance (Though injury may be the Case
Sasa Kwa Hali hii ↑↑ Tutegemee nini?? Huenda Nafasi Ya Sita inatuhusu..... Since November Timu imekua Katika Kiwango Kibovu Kabisa.....
Uwezo alioanza Nao Gini umepotea Kabisa...
Uwezo wa Can Umepotea Kabisa...
Centre Defenders Hawakuwahi Kuwa na Uwezo...
Clyne ni Garasa... Sasa Wakati Wa Trent Alexander Arnold Kupewa nafasi Umefika....
Pamoja Na Hayo I'M THE KOPITES FOREVER...


As a true Kopite myself, am going to be brutally honest here in my assessment, following today's horrendous performance at Anfiled vs Swansea.
It's time for a reality check for LFC. Seriously.
We have a brilliant coach in Klopp (I believe the best in the world at this moment).
He possesses the best coaching methods such that he can recreate a star player out of sheer mediocrity.
Currently (bar Cou, Bob & Mane) we have an average bunch of players who have overachieved if am being honest (all this thanks again to Klopp's ingenuity).
Most of our so called "star players" epitomise the England national team mediocrity. FACT.
Wengi wao kiukweli wamefikia kikomo cha uwezo wao. Tunawashukuru kwa jitihada zao. Hata Klopp afanyeje, hawawezi ku-perform zaidi ya walivyofanya hii miezi 6 tangu msimu uanze. So tuwashukuru tu na si vibaya tukiwa-ship elsewhere msimu ujao ili kutunisha mfuko!
Kama nitakuwa mkweli na nafsi yangu, msimu huu tukiwamo hata kwenye top 4, let alone title race, itabidi tumshukuru sana Klopp.
Kwa sasa, Klopp inabidi atambue kuwa he'll get nowhere with the current crop of players - he has to dig very very very deep into the market come next summer. He must have realised by now that EPL is a different animal, so I hope atakuwa more active kwenye soko kwenye usajili wa kiangazi ili apate wachezaji watakao-fit na aina ya mpira anaoufundisha.
Needless to say it, nafasi muhimu zinazohitajika kujazwa ili kuifanya team yetu iwe title contender kuanzia msimu ujao zimeshajadiliwa sana humu na pia kwenye forums mbalimbali nyingine za LFC fans.
YNWA!
Kweli mkuu, tuendelee kuomba tu walau Senegal watolewe mapema AFCON ili Mane arudi....zile kashikashi zake pale kwenye final third zinaweza kutusaidia tunuse hata top 4.Mkuu Umeongea Ukweli Mtupu..... Na Huo Ndiyo Mtazamo Wa Ture Kopite na Kila Anaeufahamu Mpira...
Ni Jambo La Ajabu na Lisilotilika Akilini Kujaribu Kuwabadilisha Wachezaji Kama LOVREN, KLAVAN, CLYNE, HENDERSON, GINI na STURRIDGE eti Wazidi Uwezo Hule Walionao!!!
Jamaa Wameshafikia LIMIT ya Kipaji Chao!! Kwa Sababu Ni Average Players tu Wakucheza Kwenye Zile MidTable Teams na Relegators...
Huwezi Ukawa na Wachezaji Kama Hao ↑↑ Halafu Ukajiregard kuwa wewe ni TITLE CONTENDER... Ni Joke of the Year......
"WE NEED A CHANGE" Lets Wait Till the Summer to See What Klopp Will Gonna do kwenye Market....
Mkuu unachokifanya hapa ni kuleta mzaha msibani kwa jirani.GOAL! Liverpool 0-1 Swansea (Llorente 48)
Sigurdsson’s deep outswinger was headed down towards the six-yard line by Fernandez. There was a bit of a scramble until the ball broke to Llorente, who stabbed it through the legs of Wijnaldum and into the net!
![]()
Swansea City’s Fernando Llorente slots home the opening goal