Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nimemwona kiungo wangu wa zamani jembe kubwa jeusi tiii MAKELELE akimcheka kloppp
 
38421dce646644843ca8076a312cb1e4.jpg
 
While Mourinho did use long balls to break Liverpool down, he succeeded. Klopp has lost 3-2 to Swansea after putting Matip on as a striker.
 
Everything is over....

1) Klavan → Poor Performance

2) Lovren → Poor Performance

3) Clyne → More than Poor Performance

4) Milner → Good Performance

5) Mignolet → Good Performance

6) Henderson → Average Performance

7) Gini → Poor Performance

8) Can → More than Poor Performance

9) Lallana → Best Performance

10) Bobby → Best Performance

11) Cotinho → Poor Performance (Though injury may be the Case

Sasa Kwa Hali hii ↑↑ Tutegemee nini?? Huenda Nafasi Ya Sita inatuhusu..... Since November Timu imekua Katika Kiwango Kibovu Kabisa.....

Uwezo alioanza Nao Gini umepotea Kabisa...
Uwezo wa Can Umepotea Kabisa...
Centre Defenders Hawakuwahi Kuwa na Uwezo...
Clyne ni Garasa... Sasa Wakati Wa Trent Alexander Arnold Kupewa nafasi Umefika....

Pamoja Na Hayo I'M THE KOPITES FOREVER...
 
Namwona Klavan super central defender upcoming aisee kikosi kizuri na Leo tupo at our Church hope our choir will sing our song through out the game here the Reds come 3 points muhimu huku tukiomba mbaya kwa spurs
loserfool 3G
 
Kwa kweli Kama tutaendelea kukaza kwa timu Kubwa na kufungwa na timu ndogo hata top 4 itakua issue
 
Conte tumemwoa
Wenger tumemwoa
Maureen kakimbia mahari
Guardiola tumemvisha Pete jana
There's nothing for us to prove this season
Una drop points kwa timu dhaifu na kujisifu umezifunga timu kubwa haikusaidii kitu
 
I think its Over! hata nafasi ya 4th tunaweza kuja kuipotezea mbali, LFC ukiacha mabeki kila mtu anajua mabeki mbovu, LFC wanatakiwa waache kupoteza Half ya kwanza bure bure na pia tuwe tunapiga cross ndio zilizoleta magoli leo kuliko pasi pasi nyiiiiiiingi na tuache kuamka mpaka tufungwe goli matokeo yake ndio kama leo! LFC YNWA!
 
Friday:Gerrard join Liverpool

Saturday :Swansea beat Liverpool at Anfield
 
2017-01-21_17.54.04.jpg



Swansea Kabla Ya Kutufunga Leo Alikuwa Nafasi Ya 20 Akiwa na Points 15 Na Goal Deffernce Zake Zilikuwa ni -26 (THE LAST ONE)...!!!! Hii Ni Zaidi Ya Humiliation!!!!! Siku Zote Tulazwa Na Relegators.... Lakini Tunamsubiri Chelsea Tumkomalie! What a Shame?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom