Arsenal tulikataliwa na timu ya Aouar kwa ajili ya pesa yetu kua ndogo.
Tukakataliwa na Vlahovic akataka timu iliyo CL. Nunez akachomoa pia.
Tukakataliwa na Locatelli kwakua Juve ina ambition kuliko Arsenal. Na Mudryk miluzi akaweka mpunga kufuru.
Fast forward mwaka mbele Aouar kaflop. Vlahovic kuscore ni shit yupo sokoni. Nunez huwezi jutia kumkosa. Locatelli is fine ila ambitions hakuna tena.
Sasa hivi wanasema Arteta akimuonyesha mchezaji power point ya plan aliyonayo juu ya mchezaji huyo mchezaji haruki. Arsenal tumetoa 105M kwaajili ya nahodha wa Westham na England international Liva ilikua radhi kuzidi hicho kiasi ili kumpata Caicedo.
Miluzi anatarajiwa kubid 115M kwaajili ya Caicedo.
Now sisemi Rice ni mzuri na anastahili 100M ila kwa factors za nje ya uwanja ni fair hiyo amount kuliko kuitumia kwa Caicedo. Caicedo ni kama Renato Sanches asiye na majeruhi, he is too good going forward na kurecover dimbani but huku forward anaenda kumpa mipira nani?
Sterling? Nkunku?
Angekuja Liva na Klopp asipobadili style ya uchezaji huyu jamaa angeweza cheza kama Henderson isipokua with pace ya kumzidi Henderson angekua better option. Ila unalipa 100M for this kind of player? Niliwaambia Arsenal wenzangu pesa ya Rice inabidi itugee orchestrator hapo dimbani na siyo anachofanya Rice.
Kama mnaweza kuwavua Newcastle Bruno kamchukueni yule jamaa