Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tetesi bado hazikomi
Taarifa za hivi punde zinadai kuwa Chelsea wanamalizia mazungumzo na Soton ya kumsajili Romeo Lavia
Hii itakuwa ngumi ya pua na mdomo kwa Liverpool
 
Kula chuma hicho
Kula chuma
Screenshot_20230811-211821.jpg
 
Double deals
Moja tayari
BREAKING: I've been told Chelsea have got an agreement with Southampton for Romeo Lavia for £50 million.

Ila kiukweli Chelsea tulikuwa hatumuhitaji Lavia, sijui tajiri wetu miluzi ana shida gani na Liverpool
 
Kwani wewe mbona Unaumia sana caicedo kuhusishwa Liverpool wakati hata Chelsea hawakujui ni sokwe mmoja upo tanzania maana Kila sehemu unamuongelea caicedo au mmeo kwani sisi tumekuambia tunalitaka Hilo sokwe

Mkuu umetumia Lugha isiyo na ugwana huu ni ushabiki tu. Vip wewe ungeitwa Nyani ungejisikiaje?

Naamini tutaniane na kukejeliana bila kuaribu utu wa binadamu. We are all equal. Hasira aina maana kwenye ushabiki mkuu
 
Acha ujinga hii ni simu yangu Mimi sina utani na mtu
 
Yaani kihistoria kuna wachezaji washakataa timu ili tu akacheze na kocha fulani.

Yaani kuna klopp ana historia na makombe lakini mchezaji anamtaka Pochettino
Caicedo kavutiwa na ukubwa wa team sio Pochettino
 
Southampton wameingizwa mkenge kwenye majigambo ya Liverpool na Chelsea
Chelsea hawana haja na Lavia wakishampata Caicedo
Naona Chelsea na Liverpool wameafikiana terms na sasa Liverpool watajitoa kwenye dili la Caicedo na Chelsea watajitoa kwenye dili la Lavia, na ukitaka kujua wanalipizana kisasi Chelsea hawakubid mil 50 kama nilivyosema mwanzoni, wamebid pauni mil 55, juu ya ile Soton walitaka ili tu kuwakomoa Liverpool
 
Liver bado wanagoma kujitoa na sasa Chelsea wameamua kuweka ndnai ya masa machache yajayo bid ya mil 115 zaidi ya mil 4 ya ile ya Liverpool
 
Jamani taarifa kutoka jikoni zinadai Chelsea atasubmit bid yake ya kwenye Pauni mil 115 kesho jumamosi. Leo tukalale salama. Sisi hatutasubmit bid usiku kama walivyofanya Liverpool
 
Taarifa pia zinadai kuwa Caiocedo kazima simu zake zote
Anataka mawasiliano yote yafanyike kupitia Agent wake
Na nadhan i pia kampa maagizo kuwa hataki negotiation na timu nyingine zaidi ya Chelsea
Liverpool sasa wanafanya ukorofi tu, mchumba kamkataa yeye anatumia miguvu akubalike
 
Double deals
Moja tayari
BREAKING: I've been told Chelsea have got an agreement with Southampton for Romeo Lavia for £50 million.

Ila kiukweli Chelsea tulikuwa hatumuhitaji Lavia, sijui tajiri wetu miluzi ana shida gani na Liverpool
Timu nyingi tangu 2017. Zinaamini mchezaji akitakiwa na liverpool basi anakuwa na potential.

Tajiri miluzi mwache akurupuke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom