Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wested three valuhable weeks on negotiating. We are run like a League 1 Club .
Pathetic Club.

Billy Hogan, Liverpool’s chief executive on the impact of being in the Europa League:

“Our goal is to run the club sustainably. When you are missing revenue from the Champions League, you have to react accordingly — and we’ve done that.” [the athletic]

Something always comes up.

#ketu
 
Kwa umri wake Bado, Nunez tatizo lake ni Mapepe kwenye goli baaasi. ni suala la msimu huu tumwone development yake maana ana mikimbio hatari sana wakati tukishambulia (Complete Forward) kama umemcheki gemu alizocheza.
-Ball control
-Speed
-Dribbling
-Flair
-Clinical Finish

Sure chief.

Finishing mtihani kwake. Ila Klopp hajawa bado na historia ya kushindwa kumtengeneza Mshambuliaji. Itaanza kwa Nunez labda.

Binafsi bado nina imani sana na Nunez kuongeza namba msimu huu
 
Mzee baba natofautiana sana na wewe katika mtazamo wako

1. Keita - alikuwa ni box to box mzuri sana kule alipotoka, mfumo na high demand ndiyo iliyo muathiri (Liver inaongoza kwa injury crisis kwenye EPL probably kutokana na style that demands a lot from the players players)

2. Nunez - Labda amenunuliwa mapema kwakuwa bado sio finished article lakini tungechelewa asingekuwa kwenye uwezo wetu within 2 seasons. Hapo alipo sasa hivi yeye ni mmoja kati ya wachezaji wanaoongoza katika kupata nafasi za kufunga licha ya kwamba liver haikucheza vizuri msimu uliopita na yeye pia hakuchezeshwa katika his preffered role (He is a goal getter not LF also not a false 9)

3. Carvalho - He is a number 10 (attacking oriented), we did not play with a number 10 last season plus his small stature haikumsaidia kabisa kuadopt. Na pia huyu haikuwa usajili wa Klopp! alipewa tu kwasababu za kibiashara as he was one of the available promising young talents for the future.

4. Arthur - Hii ilikuwa ni panic move kwakuwa tulishindwa kusajili midfield tunaemtaka (Tchuameni) na FSG waliona wasubiri kumsajili Bellingham msimu huu kuliko kusajili tu mtu yoyote. That's why tulimchukua on loan. Ila bado tunarudi palepale, our training methods hazikumsaidia kabisa badala yake zikamuongezea injuries.

5. Luis Diaz - nakubaliana na wewe japo mtu si mbwa, ametuokoa mara kadhaa na huo umachchari wake. Kuna kitu anacho lakini yeye sio mane kama ambavyo Ronaldo sio Messi na Messi pia Ronaldo (if u understand what I mean)

6. Konate - Kamanda naomba nitajie CB mwenye kasi zaidi yake kwa statistics ndo utagundua umemuonea. Ana tatizo la concentration lakini bado experience ni ndogo, hopefull atakuwa on of the best if he stays fit.

7. Thiago - Hapa ni kama kumuomba Pirlo awe Seedorf! huyu jamaa akicheza katika timu ambayo ana uhakika nyuma yake kuna strong DM na strong CBs he is one of the best katika ku-influence tempo ya game as well as kupiga defence splitting passes, lakini saivi hatumpati katika huo ubora kwa sababu mfumo wetu kila mchezaji ana majukumu ya kuzuia kwanza halafu ndo afanye kazi yake, pia training methods zinamuongezea injuries.

Liverpool tuna attacking force nzuri only kama tutawapa uhuru wa ku-cocentrate na kazi yao. Tujenge defence yetu ili timu isitegemee wachezaji wa mbele kuzuia.

Mkuu umejibu vyema sana. 🫱‍🫲
 
Kama kawaida wasaudia hawaniangushi, bado Salah wafunge biashara

𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Saudi club Al-Ahli have submitted a €12m offer to Liverpool for Thiago Alcântara.

(Source: L’Équipe)
 
Billy Hogan, Liverpool’s chief executive on the impact of being in the Europa League:

“Our goal is to run the club sustainably. When you are missing revenue from the Champions League, you have to react accordingly — and we’ve done that.” [the athletic]

Something always comes up.

#ketu
OUR NET SPEND WHILE BEING IN THE UCL.
2017/2018 +£8.6m
18/19 -£121m
19/20 +£32m
20/21 -£56m
21/22. -£49m
22/23 -£48m
Its Excuse after Excuse , Huo ni ujinga na Upumbavu wa kutumia Agrument ya kukosa UCL kuficha Our Lack of spending.

We missed out on the UCL because we wouldn't'spend, Tuliposhinda UCL mbona bado tuliishia ku-sign akina Adrian ,Van Den Berg ,Minamino.
 
Billy Hogan, Liverpool’s chief executive on the impact of being in the Europa League:

“Our goal is to run the club sustainably. When you are missing revenue from the Champions League, you have to react accordingly — and we’ve done that.” [the athletic]

Something always comes up.

#ketu
Pure NONSENSE this from Billy. And it's worse if fans listen huu Upumbavu.

Arsenal haven't been in the Uefa Champions League since 2017 before Qualifying last season, Lakini they have been able to spend £100s of Millions in last 3 years.
 
Mzee baba natofautiana sana na wewe katika mtazamo wako

1. Keita - alikuwa ni box to box mzuri sana kule alipotoka, mfumo na high demand ndiyo iliyo muathiri (Liver inaongoza kwa injury crisis kwenye EPL probably kutokana na style that demands a lot from the players players)

2. Nunez - Labda amenunuliwa mapema kwakuwa bado sio finished article lakini tungechelewa asingekuwa kwenye uwezo wetu within 2 seasons. Hapo alipo sasa hivi yeye ni mmoja kati ya wachezaji wanaoongoza katika kupata nafasi za kufunga licha ya kwamba liver haikucheza vizuri msimu uliopita na yeye pia hakuchezeshwa katika his preffered role (He is a goal getter not LF also not a false 9)

3. Carvalho - He is a number 10 (attacking oriented), we did not play with a number 10 last season plus his small stature haikumsaidia kabisa kuadopt. Na pia huyu haikuwa usajili wa Klopp! alipewa tu kwasababu za kibiashara as he was one of the available promising young talents for the future.

4. Arthur - Hii ilikuwa ni panic move kwakuwa tulishindwa kusajili midfield tunaemtaka (Tchuameni) na FSG waliona wasubiri kumsajili Bellingham msimu huu kuliko kusajili tu mtu yoyote. That's why tulimchukua on loan. Ila bado tunarudi palepale, our training methods hazikumsaidia kabisa badala yake zikamuongezea injuries.

5. Luis Diaz - nakubaliana na wewe japo mtu si mbwa, ametuokoa mara kadhaa na huo umachchari wake. Kuna kitu anacho lakini yeye sio mane kama ambavyo Ronaldo sio Messi na Messi pia Ronaldo (if u understand what I mean)

6. Konate - Kamanda naomba nitajie CB mwenye kasi zaidi yake kwa statistics ndo utagundua umemuonea. Ana tatizo la concentration lakini bado experience ni ndogo, hopefull atakuwa on of the best if he stays fit.

7. Thiago - Hapa ni kama kumuomba Pirlo awe Seedorf! huyu jamaa akicheza katika timu ambayo ana uhakika nyuma yake kuna strong DM na strong CBs he is one of the best katika ku-influence tempo ya game as well as kupiga defence splitting passes, lakini saivi hatumpati katika huo ubora kwa sababu mfumo wetu kila mchezaji ana majukumu ya kuzuia kwanza halafu ndo afanye kazi yake, pia training methods zinamuongezea injuries.

Liverpool tuna attacking force nzuri only kama tutawapa uhuru wa ku-cocentrate na kazi yao. Tujenge defence yetu ili timu isitegemee wachezaji wa mbele kuzuia.
Alipomgusa Luis Diaz ndo amepuyanga kabisaa... Jamaa ana speed dribbling Mpaka Golini Kuna Mechi kama ya Crystal palace anfield bila yeye tungekalia kidude. pia Mechi kibao kaonesha Yuko safi japo ligi ni ngeni. Kumkosoa Diaz ni matumizi mabaya ya nyaraka za kimwili.
 
Wewe kocha mwenye vyeti vya UEFA na FIFA, kocha umeshinda makombe yote

Bado unataka kumongezea mkataba Milner ,??? Bobby??? Utawaambia nini wakuelewe kiu imeshakata umri umesonga??

Kocha kama Klopp ni wa kumchezesha Jones No. 6? Ana mjadibu Jones as 6 kwamba hana mpngo na DMF? Jones hana ability wala attribute ya kucheza either 6/8. Aliyemloga Klopp amuhurumie tu kams yupo hai. Sasa naona karudi kwa Mac Allister kumchezaji 6, wapi na wapi kulazimisha mambo.

Kutoka january timu ilionesha inahitaji CB’s, RB, DMF, LCM, RCM ila mpka sasa tumesajili LCM & RCM. Kocha professional mpka sasa hajasajili mahitaji yke ma4 mpka ma5.

Kocha huyu huyu aliahidi mpka july nani akienda preseason anataka signings zake ziwe zimekamilika. Na yeye ndiye mamlaka ya usajili, bado mtu atamtetea Klopp katika hili???

Mpaka sasa hamna utofauti wowote wa kikosi cha last season na hiki zaidi naona kimepungua.

Imagine anaumia Mac Allister na Konate.

Heheh Klopp bana. Nafikiri Liverpool ndio Klabu ipo under pressure mpaka sasa.
Sorry Nje ya Mada:
Hivi Yule Dogo - J.Gomez mkataba wake unaisha lini? Maana sioni kashkash ya kumpata RB
Kibanda kitaungua kuanzia hapa msimu huu kama ndo Trent atasogea ndani halafu Gomez akae RB
 
Mi nadhani tatizo letu kubwa ni namna ya kum-accomodate Trent, the guy is not a good defender and also not a good CM. Jamaa ana excellent vision and passing ability lakini anatugharimu sana, hata tukileta new CB na CDM bado akicheza kama inverted RB anampa kazi kubwa CB nyuma yake kucheza nafasi mbili (RB and CB) tunapokuwa tumepoteza mpira na hii inapekea tunakuwa vulnarable sana when attacked.
Mi kwa mtazamo wangu jamaa angepelekwa higher up the pitch with two bodies to defend behind him ili kuwa na stability, otherwise tubadili formation to 442 acheze kama Beckham alipokuwa Man Utd.

Formation 1 (3223)
Allison
Konate Virgil New CB
New DM
Macca
Trent Szobo
Salah Diaz
Nunez

Formation 2 (442)
Allison
Konate Virgil New CB Robbo
Trent New DM Macca Szobo
Salah
Nunez
Yaani unafaa kuwa kocha, mimi sioni umuhimu wa Trent kabisa licha ya kutoa cross za kuzaa magoli ila gharama ya yeye kupanda kuzaidia kushambulia ni kubwa kuliko faida ya kutoa mapande ya mwisho.
 
Mzee baba natofautiana sana na wewe katika mtazamo wako

1. Keita - alikuwa ni box to box mzuri sana kule alipotoka, mfumo na high demand ndiyo iliyo muathiri (Liver inaongoza kwa injury crisis kwenye EPL probably kutokana na style that demands a lot from the players players)

2. Nunez - Labda amenunuliwa mapema kwakuwa bado sio finished article lakini tungechelewa asingekuwa kwenye uwezo wetu within 2 seasons. Hapo alipo sasa hivi yeye ni mmoja kati ya wachezaji wanaoongoza katika kupata nafasi za kufunga licha ya kwamba liver haikucheza vizuri msimu uliopita na yeye pia hakuchezeshwa katika his preffered role (He is a goal getter not LF also not a false 9)

3. Carvalho - He is a number 10 (attacking oriented), we did not play with a number 10 last season plus his small stature haikumsaidia kabisa kuadopt. Na pia huyu haikuwa usajili wa Klopp! alipewa tu kwasababu za kibiashara as he was one of the available promising young talents for the future.

4. Arthur - Hii ilikuwa ni panic move kwakuwa tulishindwa kusajili midfield tunaemtaka (Tchuameni) na FSG waliona wasubiri kumsajili Bellingham msimu huu kuliko kusajili tu mtu yoyote. That's why tulimchukua on loan. Ila bado tunarudi palepale, our training methods hazikumsaidia kabisa badala yake zikamuongezea injuries.

5. Luis Diaz - nakubaliana na wewe japo mtu si mbwa, ametuokoa mara kadhaa na huo umachchari wake. Kuna kitu anacho lakini yeye sio mane kama ambavyo Ronaldo sio Messi na Messi pia Ronaldo (if u understand what I mean)

6. Konate - Kamanda naomba nitajie CB mwenye kasi zaidi yake kwa statistics ndo utagundua umemuonea. Ana tatizo la concentration lakini bado experience ni ndogo, hopefull atakuwa on of the best if he stays fit.

7. Thiago - Hapa ni kama kumuomba Pirlo awe Seedorf! huyu jamaa akicheza katika timu ambayo ana uhakika nyuma yake kuna strong DM na strong CBs he is one of the best katika ku-influence tempo ya game as well as kupiga defence splitting passes, lakini saivi hatumpati katika huo ubora kwa sababu mfumo wetu kila mchezaji ana majukumu ya kuzuia kwanza halafu ndo afanye kazi yake, pia training methods zinamuongezea injuries.

Liverpool tuna attacking force nzuri only kama tutawapa uhuru wa ku-cocentrate na kazi yao. Tujenge defence yetu ili timu isitegemee wachezaji wa mbele kuzuia.
Sasa wakati mnasubiri kuboresha midfield na defense, na ingawa mmeleta Dominic, tupeni sisi basi hao forwards wazuri kina Luis Diaz na Darwin na sisi tuwape Nketiah na Balogun Ili muwe pia na forward ya kawaida mbalance mambo siyo mnanga'ang'ania forward Kali halafu inakuwa kazi bure kisa midfield na defense za kawaida. Amueni kuwa a proper mediocre team
 
Labda nunez ila diaz hapana

Tatizo la Liverpool ni Anold sema ni ngumu kufahamu hadi uangalie mechi nyingi kwa umakini, huyu dogo anapopanda tu lazima tufungwe. Tafadhari bora tuwanyang'anye Chelsea Reece James kwisha...
 
Tu
Basi chukua Nketiah nipe Darwin. Nketiah anahitaji game time Ili apate chance England. Kane anazeeka na England ina strikers kibao wanamtaka nafasi yake. Nketiah atawapambania sana Liverpool

u
Tunachompendea Nunez urefu na speed nketiah hana na hatokuja kupata, mapungufu ya nunez ni machache sana kulenga goli kuliko huyo nketiah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom