OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Nyie matakataka munaendekeza mapenzi wakati kesho tunawanywa supu tuuu 😂😂😂 nyie vipi
Gigymoney acha kuandika tabia zako 😂😂😂😂😂Huko nyuma naona kushatatuliwa mavi yanatoka tu Sasa hivi
Ataweza kutikisa wavu kwa kichwa kutoka kwa makrosi dongo ya Trent?Basi chukua Nketiah nipe Darwin. Nketiah anahitaji game time Ili apate chance England. Kane anazeeka na England ina strikers kibao wanaitaka nafasi yake. Nketiah atawapambania sana Liverpool
u

Sawa shoga naona tayari mavi yanakutoka 🤣🤣Gigymoney acha kuandika tabia zako 😂😂😂😂😂
Sawa shoga nenda katawaze basi mavi hayo🤣🤣🤣🤣Gigymoney acha kuandika tabia zako 😂😂😂😂😂
Mimi nina shallow info kuhusu Caicedo? 😂😂Shame on you na analysis yako too biased hata kukujibu nimeshindwa ulivyo na shallow info about Caicedo
😆😆😆 Ila kweli aisee. Makrosi ya Trent yanahitaji akili na timing. Ukijaribu kumalizia vibaya injury inakuhusu. Ndiyo maana sometime nahisi mastriker wenu wanajikosesha makusudi Ili wasiumie bure.Ataweza kutikisa wavu kwa kichwa kutoka kwa makrosi dongo ya Trent?
Wampe msosi kwanza msimu huu then we'll Talk![]()
Mbona KDB ni shabiki wa Liverpool?!. Not a point ila huyo Dogo kipaji anacho ila akili kisoda.Caicedo ni mshabiki wa Chelsea tangu akiwa mtoto
Unamjua Joe Shield???Timu nyingi tangu 2017. Zinaamini mchezaji akitakiwa na liverpool basi anakuwa na potential.
Tajiri miluzi mwache akurupuke.
Plan ilikuwa ni kusajil 2 Mid tangu mwanzoDouble deals
Moja tayari
BREAKING: I've been told Chelsea have got an agreement with Southampton for Romeo Lavia for £50 million.
Ila kiukweli Chelsea tulikuwa hatumuhitaji Lavia, sijui tajiri wetu miluzi ana shida gani na Liverpool
Tokea mwanzo kabisa Caicedo amesema anaitaka chelseafc na Ndio Maana bayern akajitoa kumuwania nyinyi mkageukia Caicedo ni baada ya Chelsea kutoa offer zaidi ya nyinyi kwenye deal la Laiva ambaye Ndio mchezaji mliohusishwa naye muda mrefu ni kama kutaka kulipa kisasikuna dalili Caicedo akatua Anfield sababu kwa namna navyomjua Klopp na Liverpool hawawezi kukomaa na mchezaji asiyetaka kuja Liverpool.
Kuna kila dalili kuwa Caicedo yupo open kujiunga na Liverpool ila agent wa mchezaji kwakuwa ana percent kwenye deal hili anatumia Journalists kusambaza false info ili tu kuwakatisha tamaa Liverpool.
Naamini kabisa Kama kweli Caicedo anangekuwa haitaki Liverpool mapema sana hata kubid wasingebid.
Endapo ikitokea Caicedo akatua Liverpool lazima atafnya interview pengine tutajua mengi.
kuna dalili Caicedo akatua Anfield sababu kwa namna navyomjua Klopp na Liverpool hawawezi kukomaa na mchezaji asiyetaka kuja Liverpool.
Kuna kila dalili kuwa Caicedo yupo open kujiunga na Liverpool ila agent wa mchezaji kwakuwa ana percent kwenye deal hili anatumia Journalists kusambaza false info ili tu kuwakatisha tamaa Liverpool.
Naamini kabisa Kama kweli Caicedo anangekuwa haitaki Liverpool mapema sana hata kubid wasingebid.
Endapo ikitokea Caicedo akatua Liverpool lazima atafnya interview pengine tutajua mengi.

story yako inachekesha
Sisi sio Klopp wala FSG kwenda kumchukua BrunoArsenal tulikataliwa na timu ya Aouar kwa ajili ya pesa yetu kua ndogo.
Tukakataliwa na Vlahovic akataka timu iliyo CL. Nunez akachomoa pia.
Tukakataliwa na Locatelli kwakua Juve ina ambition kuliko Arsenal. Na Mudryk miluzi akaweka mpunga kufuru.
Fast forward mwaka mbele Aouar kaflop. Vlahovic kuscore ni shit yupo sokoni. Nunez huwezi jutia kumkosa. Locatelli is fine ila ambitions hakuna tena.
Sasa hivi wanasema Arteta akimuonyesha mchezaji power point ya plan aliyonayo juu ya mchezaji huyo mchezaji haruki. Arsenal tumetoa 105M kwaajili ya nahodha wa Westham na England international Liva ilikua radhi kuzidi hicho kiasi ili kumpata Caicedo.
Miluzi anatarajiwa kubid 115M kwaajili ya Caicedo.
Now sisemi Rice ni mzuri na anastahili 100M ila kwa factors za nje ya uwanja ni fair hiyo amount kuliko kuitumia kwa Caicedo. Caicedo ni kama Renato Sanches asiye na majeruhi, he is too good going forward na kurecover dimbani but huku forward anaenda kumpa mipira nani?
Sterling? Nkunku?
Angekuja Liva na Klopp asipobadili style ya uchezaji huyu jamaa angeweza cheza kama Henderson isipokua with pace ya kumzidi Henderson angekua better option. Ila unalipa 100M for this kind of player? Niliwaambia Arsenal wenzangu pesa ya Rice inabidi itugee orchestrator hapo dimbani na siyo anachofanya Rice.
Kama mnaweza kuwavua Newcastle Bruno kamchukueni yule jamaa
Arsenal tulikataliwa na timu ya Aouar kwa ajili ya pesa yetu kua ndogo.

au watoe 45 wamchukue partey 

EhHii ya kupeleka mpira mbele kurudisha nyuma kukaver wapi acha nayo. Mbona jana ulifurahi sana liverpool walivyohijack deal ya caicedo.
Mpira ni burudani acheni maneno ya kebei baada ya kukosa kitu. Liver wajipange upya kupeleka bidau watoe 45 wamchukue partey
![]()
Hizi concept za sijui Beki anayetumia Mguu wa Kushoto mara wa kulia bado zipo tu Vichwani mwa Watu?Kwa hali ilivyo kama hatutasajili Dm na kuongeza beki anayepiga mguu wa kushoto sidhani. Km kuna kombe tutanyakua maana mapungufu ni mengi kwny ukabaji tukienda na kikosi hiki na hatuna natural dm kwny kikosi ni hali ya hatari mnoo