Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Hizo hela si bora ungenihonga tu babeHii team nalipia kadi ya uanachama
Na mind sana huu upuuzi na. Mind naipenda sana aisee kudadeki zenu liverpool
Hizo hela si bora ungenihonga tu babeHii team nalipia kadi ya uanachama
Na mind sana huu upuuzi na. Mind naipenda sana aisee kudadeki zenu liverpool
Hela za baba hatuhongi jamaniHizo hela si bora ungenihonga tu babe








Wewe Kila kitu Cha Chelsea lazima utetee nawasiwasi unaweza kuwa shabiki wa arsenal ila shoga mana sijawahi ona shabiki wa arsenal kama weweHapana ,hapa namtetea Caicedo , Liverpool hawakukubalina nae Caicedo, Liverpool walijiamini watashinda,
Hata kudus kawakatalia Brighton
Magwaya Hadi Sasa hajaenda Westham ingawa manjesta na Westham walishamalizana bei
Mi nadhani sisi wenyewe tumekosea, haya ndo mambo ya kwenda kuposa kwa mzee kabla kukubaliana na binti wakati tayari kuna mwamba amejiweka kwake.Mchezeji mwenyew kigeugeu sana, mbona wachezaji wengine hua wanatoa angalizo mwanzo kua, siitaji team nyingine iingilie dili hili naitaji team fulani tu basi..
Kama ilivyotokea kwa Timber,Troussard, enzo na wengine wengi.. Kuliko team kukubaliana alf unakuja kuwatoa nishai watu kua huwataki inauma sana![]()
We jamaa mbona matacall yanakuwasha kuhusu hii mada wakati ni arsenal au umepeleka ushoga arsenal kumbe ni Chelsea nyie ndio mnaguata timu zinazokia onfireKabla hamjamkasirikia Caicedo ,jiulizeni Lin alimalizana Personal term na nyie
Magwaya kule bado yupo manjesta,hajamalizana personal term na westham ,ingawa mnaheachaga na Westham walishamalizana Bei
Hivi vitu vya kawaida
KhaaaHela za baba hatuhongi jamani![]()
SiujuiMbona nipo jamvini sana..unajua uzi wa INSIDER na story yake?
Alaaa. Mimi mnimeshawapongeza Livakuku Kwa kumnasa Caicedo na kutulipizia kisasi Kwa Chelkenge Kwa uhuni waliotufanyia Kwa Mudy. Daah


imekula kwenu, Chelsea anaenda kupiga comeback ya hatari, kweli tajiri miluzi ni next level. sisi Ndio Chelseafc mmepigwa na kitu kizito kupitia huu upuuzi mliofanya na nyinyi mtaanza kupigwa hela ndefu kama sisi na Man u mshajulikana kumbe mna hela




Nimejikuta nacheka, kwamba Tajiri Mluzi ni Agent wa Saudia. Naisi kuna sehemu huyu jamaa anatoa pesa chafu..itabidi achinguzwe, anatapanya pesa kwa watoto bila sababu.imekula kwenu, Chelsea anaenda kupiga comeback tajiri miluzi ni next level.
Akishamalizana na Caicedo wanaenda kumalizia kwa Lavia halafu dirisha dogo January wanauzwa Saudia.
Wewe hujui kinachoendelea,liverpool waliongea na caicedo wakawa na verbal agreement. Kinachotokea sasa ni agent wa caicedo anatumiwa na chelsea akijua atapiga hela zaidi.Chelsea hata ikiwa haifanyi kizuri still inamvuto mkubwa tofauti na nyinyi
Hua inauma sana hii, halafu ukute watu washalipia mpaka ukumbi wa harusi pamoja na gharama zote halafu bi harusi anasema huyo bwana harusi sio chaguo lake hataki kuolewa na yeye, yeye anataka kuolewa na Mkohoti tu.Mmepigwa kata funua
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Moises Caicedo has informed Liverpool that he ONLY WANTS TO JOIN Chelsea.
(Source: @FabrizioRomano)
Dah najuta mkuu kuiongeaHii comment aiseee imebaki kama ukumbusho mkubwa sana kwenye Saga ya Caicedo![]()
Kaka Zakaria mamboHahahaSheikh Toddy
Ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengineMchezeji mwenyew kigeugeu sana, mbona wachezaji wengine hua wanatoa angalizo mwanzo kua, siitaji team nyingine iingilie dili hili naitaji team fulani tu basi..
Kama ilivyotokea kwa Timber,Troussard, enzo na wengine wengi.. Kuliko team kukubaliana alf unakuja kuwatoa nishai watu kua huwataki inauma sana![]()
HatumtakiSizitaki mbichi hizi, ulisomaga hiyo riwaya?
View attachment 2714502
Kashamba tuNimefurahi mlivyopiga mbizi kwenye swimming pool la mishale badala ya maji.