Ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine
Na anakwenda kuflop,tupo pale.
Sent using Jamii Forums mobile app




DM alikua huyo tu sokoni?Mkuu sio panic...
Liverpool walihitaji defensive midfielder.. Na wamempata..
Bado beki wa kati na upande wa T-Anorld basiii





mimi nitakua mshenga mkuu,......Usicheke...
Unataka tufanye mapenzi bila ndoa hapana
Mimi nakuja kukuoa achana na hii livapuli
Kwa alichokifanya Caicedo kuwakataa Liverpool wakipandia juu ya bidi ya Chelsea tena wataonekana wajinga wa mwisho. Wewe mchumba amekukataa mbele ya ndugu, majirani jamaa na marafiki na umma woote halafu unajipendkeza tena kulipa mahari. You must be stupid tena Total StuppHapo ni vita ya mshahara sasa, huenda liverpool saivi inapandia dau mshahara wa chelsea, na chelsea nao huenda wanaongeza dau la mshahara kuliko la mwanzo
Lakini pia huenda liverpool ilifanya hivo kuikomoa chelsea ili wapigwe pesa ndefu zaidi maana walihisi ni wao wenyewe tuu kwenye mbio za caicedo au huenda liverpool walikua serious kweli
Wee mchumba wa mtu mwingine amemtongoza kwa zaidi ya miezi mitatu na walikuwa wanaenda vizuri tu halafu mwanaume mwingine akidhani pesa ni kila kitu anakuja hata bila kumtongoza msichana anaend akutaka kulipa mahari moja kwa moja. Wasichana wa siku hizi bana sio kama wale wa zamani wanaopelekeshwa tu. Wanahitaji mnmikakati na mojawapo ni kuwasilisha mikakati yako kwake ili aelewe akubali au akatae
Caicedo kafanya vizuri sana kuikataa Liverpool kwa sababu tumeenda naye vizuri tangu May bila chokochoko yeyote
Hatumtaki tena aende Chelsea hukoKwa alichokifanya Caicedo kuwakataa Liverpool wakipandia juu ya bidi ya Chelsea tena wataonekana wajinga wa mwisho. Wewe mchumba amekukataa mbele ya ndugu, majirani jamaa na marafiki na umma woote halafu unajipendkeza tena kulipa mahari. You must be stupid tena Total Stupp
akiflop atakua wa kwanza yeye? mtajuta kumuachia milner na hendo wafia Tim waleAtaflop tu
Tupo pale
Hela yetu tunakwenda kushusha vyuma viwili matata
YNWA![]()


Kwani wewe mbona Unaumia sana caicedo kuhusishwa Liverpool wakati hata Chelsea hawakujui ni sokwe mmoja upo tanzania maana Kila sehemu unamuongelea caicedo au mmeo kwani sisi tumekuambia tunalitaka Hilo sokweKwa alichokifanya Caicedo kuwakataa Liverpool wakipandia juu ya bidi ya Chelsea tena wataonekana wajinga wa mwisho. Wewe mchumba amekukataa mbele ya ndugu, majirani jamaa na marafiki na umma woote halafu unajipendkeza tena kulipa mahari. You must be stupid tena Total Stupp
Kasema anasimamia ahadi yake kwa chelseaCaicedo kachomoa battery
hamis77 Caicedo anaprove hapa kwamba ana msimamo.
Hii itugee picha gani? Notice analazimisha kwenda timu haipo Europa, ila Liva hawana utamaduni wa mishahara mikubwa nafikiri hicho ndiyo anafuata Chelsea
Angekuwa ni mzungu ametumia hayo maneno ya kumuita sokwe binadamu sababu ya rangi yake,watu wote tungesema wazungu ni wabaguzi, jitahidi kutumia lugha ambayo haitadhalilisha utu wa binadamu mwenzio siyo kumuita mwenzio sokwe haipendezi.Kwani wewe mbona Unaumia sana caicedo kuhusishwa Liverpool wakati hata Chelsea hawakujui ni sokwe mmoja upo tanzania maana Kila sehemu unamuongelea caicedo au mmeo kwani sisi tumekuambia tunalitaka Hilo sokwe
Ina mvuto Gani?caicedo anataka akae London.basi Hilo tu....Chelsea hata ikiwa haifanyi kizuri still inamvuto mkubwa tofauti na nyinyi
Hapo ni vita ya mshahara sasa, huenda liverpool saivi inapandia dau mshahara wa chelsea, na chelsea nao huenda wanaongeza dau la mshahara kuliko la mwanzo
Lakini pia huenda liverpool ilifanya hivo kuikomoa chelsea ili wapigwe pesa ndefu zaidi maana walihisi ni wao wenyewe tuu kwenye mbio za caicedo au huenda liverpool walikua serious kweli
Hapo nakuanoa unaumia sana, matusi ni njia ya kuondoa frustration ile mbaya. Huu ni mpira tu na sisi ni mashabiki tuKwani wewe mbona Unaumia sana caicedo kuhusishwa Liverpool wakati hata Chelsea hawakujui ni sokwe mmoja upo tanzania maana Kila sehemu unamuongelea caicedo au mmeo kwani sisi tumekuambia tunalitaka Hilo sokwe