Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi kama Liverpool,leo siku ya saba sabato ya Bwana Mungu wetu
Tunamalizia shangwe chuma ya saba sasa
Saba juuu
Seven upppp
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Nyingine siyo shida zetu
Kubwa jinga la mwaka limejulikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20230305_232525.jpg
 
Yaani tena leo nilitupia uzi wetu kabisa
Furaha ilizidi nikavunja kibubu kwenda kununua,
Nimetamba nayo mtaani

Najutaa😂😂😂
Hahaha ni msimu huu huu una matokeo fulani fulani sometimes yes sometimes no...
Huyu Bournemouth alivyokuja Anfield alichapika goli 9 nadhani bila lakini jana alikomaa sana kwa kua nae ana jambo lake kubakia EPL mazima.

Jumatano tupo pale Bernabeu na ugenini msimu huu tuna rekodi mbaya sana.

YNWA
 
Ndio mpira ulivyo hata sisi leicester city wamegawa points Sana ila Jana walitukamia ile mbaya but quality ya wachezaji wetu wakaamua mchezo
 
Huu msimu naona Mei mbali sana bora uishe tu tuanze upya aisee.

Haya mambo ya kukamia mechi sio powa kabisa yaaani kutoka kushinda 7 bila na kwenda ugenini kwa timu iliyokua inashika mkia na kutoka na kipigo inaonyesha kuna shinda mahala.

Nyinyi shida yenu kuu wachezaji wamechoka wametumika Sana nilitegemea mtafanya usajili wa nguvu kama tulivyofanya sisi lakini hamjafanya
 
Hahaha ni msimu huu huu una matokeo fulani fulani sometimes yes sometimes no...
Huyu Bournemouth alivyokuja Anfield alichapika goli 9 nadhani bila lakini jana alikomaa sana kwa kua nae ana jambo lake kubakia EPL mazima.

Jumatano tupo pale Bernabeu na ugenini msimu huu tuna rekodi mbaya sana.

YNWA
Kumbe tulimnyuka 9
Basi angalau tumewahurumia nao wapate kifutia machozi
 
Ndugu zangu,
Tunahitimisha leo shangwe zetu
The Kops nawakaribisha sana tunywe soda.

Nyumbuni FC hiyo Nini?
Soma nisikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#SabaJuuSevenUp

#YNWA[emoji108][emoji91][emoji3590]
IMG_20230312_151550_193.jpg
 
Attachments

  • IMG_20230312_153352_141.jpg
    IMG_20230312_153352_141.jpg
    913.7 KB · Views: 9
Huu msimu naona Mei mbali sana bora uishe tu tuanze upya aisee.

Haya mambo ya kukamia mechi sio powa kabisa yaaani kutoka kushinda 7 bila na kwenda ugenini kwa timu iliyokua inashika mkia na kutoka na kipigo inaonyesha kuna shinda mahala.

YNWA
Acha maneno ya ajabu ajabu. Season iishe Sasa hivi wakati Gunners Bado tunataka kuenjoy?

Actually ikiisha Leo itakuwa poa sana.
 
[emoji28][emoji28]
Kweli timu ina shida
Yaani hivi vitoto ndio vilitubangaisha hivi?🥲
Ni kwamba tulichoka au ilikuwaje wandugu?
Nacheck hii mechi, moyo unaniuma[emoji3064]
mlilala kifo cha mende ndo tatizo lilipoanzia
JamiiForums1896972658.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom