DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,902
- 31,153
Si kama nyie mlivogongwa na BrentfordLiverkuku a.k.a liver fools unamkamia mkubwa mwenzio watoto wanakuchezea wezire![]()
Si kama nyie mlivogongwa na BrentfordLiverkuku a.k.a liver fools unamkamia mkubwa mwenzio watoto wanakuchezea wezire![]()
😂 😂 😂 😂 Sina hakika kama tangu wavae hii jezi kuna ushindi ugenini EPL.Walivaaje nyeupe sasa Hawa?
Hivi nani huwa anapanga rangi ya jezi?
Hii jezi Ina mkosi wa man u,unakwenda valisha vijana kweli?
Kwani huyiogopi Chelsea wewe Livakuku matakataka?!Sisi tunachojua leo ni sherehe za chuma Cha 6
Sherehe zitahitimishwa kesho.
Bao saba kwa zero.
Hizo nyingine mnazoleta siyo shida zetu![]()
Kwamba no UEFA and EUROPA for LIFE kwa ArsenalNishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.
Nyie mpira wenu mzuri umewapa nini miaka yote Iyo
No EPL Cup 18 years
No ueropa for life
No ucl for life
Uo mpira mzuri mnachezea nani hata uefa mna miaka mingapi mjaenda.
Ok tuseme tuachane na yote hayo Kwanini mjacheza uefa miaka yote hiyo.



Kwani unadhani hatukuwakomoa?Liva-puru hoyee
#Mlidhan-Mmetukomoa



Ihefu inaogopwa kuliko chelshitKwani huyiogopi Chelsea wewe Livakuku matakataka?!
Hebu ondoa hiyo wakubwaKimoja cha nguruwe kinauma bhana![]()
Siyo shida zangu😂
Yaani tena leo nilitupia uzi wetu kabisa
Sisi Livakuku halisi tutabeba EPL na UEFA. Wale fake wakalalee mberee..Ndiyo soka ina mambo yasiyo tarajiwa!
Tunajipanga mechi ijayo na waacheni Liverpool feki wazidi itukana team!
Liverpool HALISI tuendelee kuwa nyuma ya team,vijana hawana msimu mzuri lkn wanapambana sana