Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyinyi shida yenu kuu wachezaji wamechoka wametumika Sana nilitegemea mtafanya usajili wa nguvu kama tulivyofanya sisi lakini hamjafanya
FSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...

Wapo tayari kuuza hisa kadhaa hata kwa £500m ili Klopp apewe mshiko wa maana kuingia sokoni kwani kikosi kimeshatumika, kimechoka, kinahitaji damu changa kuchanganya na waliopo.

Msimu huu tunafeli sana kwenye defence transition mpira ukishapita kati kati under presa ya kweli kweli kuja kwetu basi hakuna mchezaji mwenye uhakika nini afanye kuzuia goli sio VVD, Fabinho, Trent wala Konate inakua ni aibu Klopp anajishika kichwa tu... Hapo ndio tatizo lilipo na Klopp amejaribu sana kutoa maelekezo lakini wachezaji wanafanya kinyume chake. Hata Klopp amechoka sana aisee. Msimu huu nadhani ugenini EPL tumeshinda mechi 3 tu hii hakumbaliki kabisa.

Nwa better days next season may be. Ni kuweka hope alone.

YNWA
 
Kumbe tulimnyuka 9
Basi angalau tumewahurumia nao wapate kifutia machozi
Machozi hahaha ohooo kwa mwendo huu kuna wasiwasi wa kukosa Big 4 tujikute na Chugga hukooo Conference League lol hapo mapato yatakua yameshuka sana na pia inakua tatizo kuvutia vipaji kwa sababu wengine wao wanataka Champions League tu wacheze sio huko mchangani.

Kile kipigo kinaweza kutugharimu parefu sana.

YNWA
 
Nasimama na Gunners kwenye ubingwa hapa nasubiri mwaliko wa kusherekea ubingwa wenu kutoka kwa DullyJr na Aaron Arsenal .

YNWA
Hata wakisema ligi iishe leo itakuwa poa . Tungependa tuendelee kidogo Ili Liverpool waingie top 4 na Newcastle huku manyumbu na Tottenham wakitoka ila hapo kuna risk ya sisi kuiachia nafasi ya kwanza pia
 
Kuna wakati wachezaji hata hawaoni Champions league kama kipaumbele. Pogba alienda ManUtd, sisi tuliwapata kina Jesus, Mudy kaenda Chelsea...
Wanaangalia jina la timu na potential ya malipo mazuri na potential ya kufika hiyo champions league baada ya season moja au mbili wakipambana. Liverpool ya Klopp inavutia wachezaji kuja.
 
FSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...

Wapo tayari kuuza hisa kadhaa hata kwa £500m ili Klopp apewe mshiko wa maana kuingia sokoni kwani kikosi kimeshatumika, kimechoka, kinahitaji damu changa kuchanganya na waliopo.

Msimu huu tunafeli sana kwenye defence transition mpira ukishapita kati kati under presa ya kweli kweli kuja kwetu basi hakuna mchezaji mwenye uhakika nini afanye kuzuia goli sio VVD, Fabinho, Trent wala Konate inakua ni aibu Klopp anajishika kichwa tu... Hapo ndio tatizo lilipo na Klopp amejaribu sana kutoa maelekezo lakini wachezaji wanafanya kinyume chake. Hata Klopp amechoka sana aisee. Msimu huu nadhani ugenini EPL tumeshinda mechi 3 tu hii hakumbaliki kabisa.

Nwa better days next season may be. Ni kuweka hope alone.

YNWA
Kama lile goli tumefungwa na hivi vitoto
Trent ,Robo, wote wapo pale na sijui walikuwa wanazuia Nini.
Heri VVD kidogo alipambana ,
Vitoto vikapiga mpira,Konate akaukosa akadondoka
Wenzangu na mm akina Trent wanakula Bata tu
Goli tayari.
 
Machozi hahaha ohooo kwa mwendo huu kuna wasiwasi wa kukosa Big 4 tujikute na Chugga hukooo Conference League lol hapo mapato yatakua yameshuka sana na pia inakua tatizo kuvutia vipaji kwa sababu wengine wao wanataka Champions League tu wacheze sio huko mchangani.

Kile kipigo kinaweza kutugharimu parefu sana.

YNWA
Angalau hao wamiliki wanyonya damu wanaweza itelekeza timu.
Waje wengine wenye mapenzi mema,watutoe matopeni.

Ila mimi namlaumu Salah,
Ile penati heri kipa angedaka..kuliko kule alikopiga.
 
FSG hua hawana historia hio ya kununua June na January bila kua wameuza wachezaji ni nadra sana wakakope kwa ajili ya uwekezaji, wao ni timu ijiedeshe yenyewe bila mkopo wa wamiliki na ndio wanafeli sana...

Wapo tayari kuuza hisa kadhaa hata kwa £500m ili Klopp apewe mshiko wa maana kuingia sokoni kwani kikosi kimeshatumika, kimechoka, kinahitaji damu changa kuchanganya na waliopo.

Msimu huu tunafeli sana kwenye defence transition mpira ukishapita kati kati under presa ya kweli kweli kuja kwetu basi hakuna mchezaji mwenye uhakika nini afanye kuzuia goli sio VVD, Fabinho, Trent wala Konate inakua ni aibu Klopp anajishika kichwa tu... Hapo ndio tatizo lilipo na Klopp amejaribu sana kutoa maelekezo lakini wachezaji wanafanya kinyume chake. Hata Klopp amechoka sana aisee. Msimu huu nadhani ugenini EPL tumeshinda mechi 3 tu hii hakumbaliki kabisa.

Nwa better days next season may be. Ni kuweka hope alone.

YNWA
Konate anacho weza ni man to man defence ila kukimbiza hajui
 
Angalau hao wamiliki wanyonya damu wanaweza itelekeza timu.
Waje wengine wenye mapenzi mema,watutoe matopeni.

Ila mimi namlaumu Salah,
Ile penati heri kipa angedaka..kuliko kule alikopiga.
Sometimes bhana hata akina Messi na CR7 wanakuaga na siku kama ile ya Salah ambapo mambo yanagoma kwenda.

YNWA
 
Kama lile goli tumefungwa na hivi vitoto
Trent ,Robo, wote wapo pale na sijui walikuwa wanazuia Nini.
Heri VVD kidogo alipambana ,
Vitoto vikapiga mpira,Konate akaukosa akadondoka
Wenzangu na mm akina Trent wanakula Bata tu
Goli tayari.
Hivi je kama VVD angefanya follow up akakimbia mpaka ile klosi inapigwa unajua isingempita lakini alisimama kama wengine na huu ndio umekua ugonjwa wao kuna muda wana switch off wakati muhimu sana na mara nyingi tunafungwo nwa Klopp ana kibarua kigumu sana kuingia Big 4 msimu huu mambo ni magumu sana kwake.

Mimi niliona efforts za VVD
Alijitahidi sana kukimbia kumkaba adui
Hadi akazidiwa na kupiga.

Kasheshe ipo huku Konate kajitupa chini
Trent anafanya utalii yupo mbali kabisa,,jamaa wanajimwaya mwaya wote mbele ya Allison
Dah!🥺
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom