Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,452
- 32,889
😂😂😂😂😂Kumbe kweli .
YNWA
Jürgen Hüd 😆😆
Ya nyoko[emoji23]Liverpool top 4 lazima tuingie.
Bora angekuwepo tu[emoji1787]View attachment 2546032
No Henderson
Kufungwa mabao saba kwa nunge inamaanisha timu ni mbovu na inapita kwa janja njnja sanaLiverpool kuifunga
MAN goli 7-0 haimaanishi kuwa Liverpool ni nzuri sana au Man U nj mbaya sana.
Naona kama siku ile ilikuwa ni siku mbaya kawa man na siku nzuri kwa Liverpool.
Ukitaka kujua ninachomaanisha wewe kuendelea kuzifuatilia hizi timu mbili kwenye mechi walizozibakisha msimu huu. Matokeo yatakupa ukweli
Bado tuna mikubwa jinga iliyopata airtime ya wiki nzima na mwezi kwa ujumla kwa kupigwa bao saba kwa nunge.Kubwa jinga linaenda kupatikana mapema tu..
Lakini goli saba ni nyingi ujueMlivyo tuchabanga man u goal 7 mkajua mmeanza ligi kiko wapi Sasa kazi kutukamia Manchester tu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Safi sana Bournemouth mmetuliza kelele zq hawa liverkenge.
Sisi tunachojua leo ni sherehe za chuma Cha 6
Sherehe zitahitimishwa kesho.
Bao saba kwa zero.
Hizo nyingine mnazoleta siyo shida zetu[emoji23]
Walivaaje nyeupe sasa Hawa?View attachment 2546381
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe na jezi inachangia haya manenos.
YNWA
Kuliko saba ambazo bado wanaugulia maumivuKimoja cha nguruwe kinauma bhana [emoji23]