Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp anazuga anajua vyema sana kwa sababu akisema anajua itakua swali kwa nini Liverpool tusitumie mbinu kama hizo..
Iko hivi mchezaj anauzwa £88m anapewa mkataba wa miaka 8.5 namna ya kua salama FFP inakua hivi ni bei ya mchezaji husika kwa mfano Mykhailo Mudryk bei £88m 8.5 years = 10.4m kwa mwaka ambayo malipo yatalipwa kwa kila miaka £10.4m kwa miaka na nane na nusu. Sasa hapo kipi Klopp haelewi.

YNWA
sio kwamba watalipa kwa miaka 8.5 hapana, malipo ni namna walivokubaliana na klabu inayouza, ila wao kwenye vitabu vya uhasibu wanazisambaza hizo data kwenye sheet in a way that itasomeka matumizi ya kumnunua mchezaji husika ji 10m for that financial year....

kwaio ukija kuangalia expenses itaonekana zimetumika 10m, so wana evade ffp kwa style hio, thats why uefa wanataka kulimit urefu wa mkataba uwe 5yrs.....

in simple terms, timu inaweza kuspend 1b in a single season, lkn mikataba ya wachezaji wote atawapa ya miaka 10 (sasa say players wapo 10, na kila mmoja kanunuliwa kwa 100m totaling to 1b),

kihasibu itasomeka umetumia 100m a year only kwenye hizo transfer, kiasi ambacho kinakua within limits za ffp
 
🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿Robertson - 8/10
🇪🇸Bajcetic - 7/10
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Alexander-arnold - 7/10
🇧🇷Alisson - 6,5/10
🇪🇸Thiago - 6,5/10
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Milner - 5,5/10 ( 2 half )
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Elliott - 5,5/10 ( 2 half )
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Henderson - 5/10 ( 2 half )
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Chamberlain -5/10 ( 2 half )
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Tsimikas - 4,5/10 ( 2 half )
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Gomez - 4/10
🇨🇲Matip - 4/10
🇺🇾Nunez - 4/10
🇳🇱Gakpo - 4/10
🇬🇳Keita - 3/10
🇪🇬Salah - 3/10
 
Jamani tunakumbushana tu kwa nia njema.
Screenshot_20230204_212337.jpg
 
sio kwamba watalipa kwa miaka 8.5 hapana, malipo ni namna walivokubaliana na klabu inayouza, ila wao kwenye vitabu vya uhasibu wanazisambaza hizo data kwenye sheet in a way that itasomeka matumizi ya kumnunua mchezaji husika ji 10m for that financial year....

kwaio ukija kuangalia expenses itaonekana zimetumika 10m, so wana evade ffp kwa style hio, thats why uefa wanataka kulimit urefu wa mkataba uwe 5yrs.....

in simple terms, timu inaweza kuspend 1b in a single season, lkn mikataba ya wachezaji wote atawapa ya miaka 10 (sasa say players wapo 10, na kila mmoja kanunuliwa kwa 100m totaling to 1b),

kihasibu itasomeka umetumia 100m a year only kwenye hizo transfer, kiasi ambacho kinakua within limits za ffp
Sure Mkuu.

FSG wangeujua huu mchezo huyu Kieta angepewa mkataba mpaka 2028 😂😂😂..

YNWA
 
Hii timu kwa sasa hata walevi wanajipigia vitatu wanalala salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom