Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,102
- 46,303
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mikeka ya watu jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbonq mwenzie pep anakaza hadi anaweka anaowataka😂 😂 😂 😂 😂 😂 Miss Liverpool uwe na utulivu mwaya Klopp ni solution akiwa supported sokoni.
Imagine Klopp angepewa sapoti sokoni hawa wachezaji wangetua Liverpool
Inaki Williams
Bruno Fernadez
Mahmoud Dahoud
Alex Teixeira
Mario Gotze
Ben Chilwell
Piotr Zielinski
Ousmane Dembele
Nabir Fekir
Tchouameni
Camavinga
Son Heung-min
Timo Werner
Hao wote Klopp aliwai kuwatazama watue Liverpool lakini ilishidikana wengine kwa kushindwa kufika ofa kwa mfano Ben Chilwell Liverpool walitoa £7m Leicester wakataka £10m..Piotr huyu mpaka alivaa kabisa na jezi ya Liverpool lakini Napoli wakatoa ofa zaidi ya Liverpool.
Klopp anakosa matajiri wenye maono ya kuchangamkia fursa ya mafanikio uwanjani. FSG wao ni fursa za kujenga brand na kupiga ela ndefu hawana kingine.
Klopp ana mapungufu yake lakini he is sure bet akiwa na bajeti sahihi mbona tutaelewana
YNWA
Siku nikawa nasoma wasifu wakeHahaha imagine Gerrard angepata kutua kama pale Real Madrid yaani dogo angekua levo zingine kabisa.
Steve alicheza Liverpool ya kuungaunga na kazi yake ilionekana ndio maana hua wansema ni mchezaji bora kuwai kuvaa uzi wa Liverpool na kucheza Liverpool.
YNWA
Miaka 30 ya Liverpool bila kuchukua epl ndio Gerrard alikuwa humo[emoji2][emoji2][emoji2]Siku nikawa nasoma wasifu wake
Nikasikitika EPL 0 Trophy[emoji3064]
Roho iliniuma[emoji3064]Miaka 30 ya Liverpool bila kuchukua epl ndio Gerrard alikuwa humo[emoji2][emoji2][emoji2]
Klopp is just trying to be nice kwa kila mtu wakati ma Yankees wao they aint giving back to th team n too bad Klopp is th face of Liverpool hivyo lawama zote ni zake hana namna ya kuzikwepa aisee.Mbonq mwenzie pep anakaza hadi anaweka anaowataka
Yeye na hao FSG lao moja,
Naye anaendelea kuwatia jeuri kwa kusema kikosi kinatosha,rejea mwanzo wa msimu
Mimi naona wote waondoke tu.
Yeah bila EPL trophy makes his career look short of success.Siku nikawa nasoma wasifu wake
Nikasikitika EPL 0 Trophy🥺
Hii Dunia huwezi kumpendeza kila mtu.Klopp is just trying to be nice kwa kila mtu wakati ma Yankees wao they aint giving back to th team n too bad Klopp is th face of Liverpool hivyo lawama zote ni zake hana namna ya kuzikwepa aisee.
Wakati wake ukifika nae ataodoka tu ndio nature ya kazi yake.
YNWA
Hakustahili hili Gerrard [emoji3064]Yeah bila EPL trophy makes his career look short of success.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2505652
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mambo ndio kama hivi.
YNWA
Definitely true.Hakustahili hili Gerrard [emoji3064]
Sema bado ni mwamba tu.
Gerrard,the Right player at the wrong time.
Sent using Jamii Forums mobile app
OllaChuga Oc hata Livescore hayupo sasa maana haelewi uwekezaji huu na hizi sare mbona naona hata Europa atakosa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
There is a need to expand the bench so that substitute players waenee
Other sub players will have to sit in the fans' seats..
Chelsea wanaupiga mrefu,kagari ka ghorofa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na kichapo kiko palepale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Paza sautiiiiiiiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂😂Hii Dunia huwezi kumpendeza kila mtu.
Sasa Baba yetu Klopp,Yupo loyal kwa hao walafi wachoyo
Yupo loyal kwa kina Hendo
Yupo loyal kwa kina Milner
Baba wa watu,lazima afeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inaitwa dirty linen haha kila timu hua haikosi mzee.Captain Marvelous hii taarifa sijaelewa vizuri kwani kuna shida gani kwenye uongozi wa Technical department?
[emoji599] NEW: Liverpool's head of fitness and conditioning Andreas Kornmayer, who is one of Jurgen Klopp's most trusted allies, is reportedly believed by some to have too much influence at the club and is difficult to work with.
There have previously been reports that the influence of Klopp's assistant, Pep Ljinders, has grown considerably, and now a similar image has been painted for Kornmayer.
There is said to be a large sentiment of personnel at the club's AXA training complex in Kirkby who feel as though the German is also difficult to work with.
One employee, who was not named in the report, claims that various changes behind the scenes in terms of personnel has had a degenerative effect on the club. #LFC [melissa reddy - sky sports]
Asante sana Uishi miaka 100 humu JF Captain MarvelousHii inaitwa dirty linen haha kila timu hua haikosi mzee.
Unajua timu ikiwa na matokeo mambaya basi kila mahala panachunguzwa eee kulikoni kutoka kushindania makombe manne msimu uliopita na kua butu na nama hii basi bhana wanafukua kila mahala wachezaji makocha wamiliki nk.
Andreas Kornmayer ni head of fitness and conditioning pale Liverpool alijiunga na Liverpool mwaka 2016 akitokea Bayern Munich alikofanya kazi zaidi ya miaka 15. Huyu bwana kwa nature ya kazi yake anafanya kazi karibu sana na idara zote pale Liverpool. Tetesi ni kwamba ni moja kati ya wafanya kazi wa karibu sana Klopp na sio tu mbali pia ni Klopp favourite fulani nadhani kutokana na hilo sasa amepata kichwa fulani kiasi baadhi ya wafanyakazi pale Liverpool wanasema jamaa ni difficult to work with.. Labda kwa kua anapendelewa na Klopp ama ndio nature yake ni ngumu kujua.
Tangu mwaka 2020 wafanyakazi wengi wameodoka wengine wakiwa ni bora sana kwenye idara zao kiasi inaonekana tunaadhirika na kuwakosa.
Kwa mfano
Mike Gordon ambae ni FSG president ameodoka nafasi yake muhimu sana kwa ndio alikua anasaka pesa na kusimamia ununuzi wa wachezaji. Ameodoka kushughulika zaidi mauzo ya Liverpool.
Michael Edwards akiondoka June 2022 akiwa bado anahitajika sana klabuni akisema anahitaji mapumziko.
Mpaka utaona the Three Musketeers ambao ni Klopp Edward Gordon wamesabaratika na sasa yupo Klopp pekee.
Ian Graham huyu ni guru kwenye kazi yake ya director of research. Anaodoka na tetesi zinasema kama alivyo Ward na huyu ni kwamba hakuna tena mazingira rafiki wao kufanya majukumu yao klabuni.
Phillip Jacobsen alikua head of performance nae aliondoka. Huyu tena hakuficha alisema medical department ya Liverpool is in real mess.
Harrison Kingston nae aliondoka Liverpool baada ya kufanya kazi Liverpool kwa miaka 8. Kazi yake lilikua post match analysts. Alikua kiungo kati ya Klopp na data science department.
Jim Moxon daktari wa Liverpool aliodoka kwa kusema kwamba kuna mgongano kati ya physiotherapy na sport science.
Julian Ward alitoa notisi November mwaka jana kwamba June 2023 ataachia ngazi. Hii taarifa iliwastua wengi akiwemo Klopp. Julian ana contact za kutosha Ureno, Uhispania, Uingereza na Amerika ya Kusini. Kuodoka kwake ni pigo kwa Klopp.
Pep Lijnders ushawishi klabuni umekua mkubwa sana kiasi tetesi zinasema huu usajili wa Cody Gakpo ni wake na hakukua na mpango wa kusajili kwa vile tayari Firmino ameonyesha nia kuongeza mkataba Liverpool. Sasa cha kujiuliza inakua aje wasajili mridhi wa Firmino kama sasa anaongeza mkataba. Huu ushawishi wa hawa wafanya kazi wawili Lijnders na Kornmayer lazima Klopp awe makini kwa sasa wao wapo hukoo wakati Klopp anakaangwa na waadishi wa habari.
YNWA