Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,123
- 104,668
Wameamua kwa pamoja kama wanandoaMmeona arsenal anafaidi sana etii![]()
Wameamua kwa pamoja kama wanandoaMmeona arsenal anafaidi sana etii![]()
MatakatakaWatu wanajipigia tu ***** mwaka huu mnalo
Kabisa, leo ni Wolv 2 - 6 LivYani leo ndio leo usipo ipenda liver ya leo saa 12 : 00 jioni basi utakuwa na chuki zako binafsi.
WOL 0 - LIV 4
Hakika leo kicheko kitarudi tuna , letss go YNWA
Mzeebaba projects etu siyo ya msimu huu tena, kwanza wachezaji ndio bado hajazoeana mtu kasajiliwa tu juzi apo unataka leo leo afanye vizuri?! Ni suala la muda tu mkuu. Je nyie Livakuku mnajambo gani msimu huu?!OllaChuga Oc hata Livescore hayupo sasa maana haelewi uwekezaji huu na hizi sare mbona naona hata Europa atakosa.
YNWA
Sisi msimu huu hatuna jipya tunagawa pointi kiulaini tu.. Tumerudi kulee kukamia mechi kubwa aafu mechi za wengine haooo hatuna mishe ni vipigo tu.Mzeebaba projects etu siyo ya msimu huu tena, kwanza wachezaji ndio bado hajazoeana mtu kasajiliwa tu juzi apo unataka leo leo afanye vizuri?! Ni suala la muda tu mkuu. Je nyie Livakuku mnajambo gani msimu huu?!
Dah aise kuisuka hii timu inahitaji angalau tena misimu kadhaa then muibuke mutambee alafu mpotee tena hahaha aise poleni sana lakini nacheka😂😂😂Sisi msimu huu hatuna jipya tunagawa pointi kiulaini tu.. Tumerudi kulee kukamia mechi kubwa aafu mechi za wengine haooo hatuna mishe ni vipigo tu.
YNWA
Kuisuka hii timu yetu kunahitaji ela ndefu sio pungufu ya £200m.Dah aise kuisuka hii timu inahitaji angalau tena misimu kadhaa then muibuke mutambee alafu mpotee tena hahaha aise poleni sana lakini nacheka😂😂😂