Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hapa hakuna plan A na B.. Big 4 lazima hapo darajani msimu huu otherwise mtakua na hali tete sana msimu ujao.
YNWA
NEW: Liverpool's head of fitness and conditioning Andreas Kornmayer, who is one of Jurgen Klopp's most trusted allies, is reportedly believed by some to have too much influence at the club and is difficult to work with.Tukisema naye aondoke,ni kichomiKlopp bhana yaaani hua hutakaa usikie akisema le Kapten amepoteana wala Milner, VVD, Salah ila wengine kama kawa anarusha ujumbe leo kasema dogo Fabinho namba anachukua Bajcetic kwa sasa Fabinho kiwango kimeshuka sana hivyo kwa sasa hama uhakika wa namba.. Sasa unajiuliza kwenye hii timu aliepoteana ni Fabinho peke yake ama ni wengi tu.. Ni kweli Fabinho sio yule wa misimu kadhaa iliyopita lakini dogo kwa kua ni kilaka hajawai kua na mbadala wake pake kikosini kama alivyo sasa Bajectic hivyo yeye kuchuja ilikua ni suala la muda tu.. Cha kushangaza ni pale Le Kapten tangu 2015 amepoteana kila msimu lazima asababishe kumfungwo goli angalau 2 kwa msimu na Klopp wala hasemi anauchuna wakati huku tunaona laivu bila chenga season after season anavyoharibu na hasemwi ila Fabinho th great amepoteana msimu huu na maneno juu yanamtoka mwalimu lol kazi kweli kweli.
YNWA
My Very own GAisee ngoja tuone
View attachment 2505177
Inesta greatest little magician
Xavi
Zidane
Gerrard
Modric
Kross
Pirlo
Lampard
Scholes.
YNWA


View attachment 2505186
Hapa hakuna plan A na B.. Big 4 lazima hapo darajani msimu huu otherwise mtakua na hali tete sana msimu ujao.
YNWA









View attachment 2505200
OllaChuga Oc somaaaa hiiiioooooo.
Mpaka dogo Auba anakosa kuingia kikosi cha kushiriki Uefa kweli mmekamilika kikosi.
Sasa kazi kwa Potter kuleta formula na mfumo wa ushindi kwenu. Sie ni pop corn tu hatuna neno.
YNWA









Tunachukua kombe la UEFAKikosi cha Liverpool kitakachoshiriki Champions League
Goalkeepers: Alisson, Kelleher, Adrian
Defenders: Van Dijk, Konate, Matip, Gomez, Phillips, Alexander-Arnold, Robertson, Tsimikas
Midfielders: Thiago, Fabinho, Henderson, Keita, Milner, Oxlade-Chamberlain
Forwards: Salah, Diaz, Nunez, Gakpo, Jota, Firmino, Carvalho
Notable List B players: Davies, Williams, Bajcetic, Jones, Elliott
Walioongezeka hapo ni Ox Chamberlain, Kieta na Cody.
Mchezaji alieachwa ni Arthur Melo na Calvin Ramsey .
YNWA



ZidaneAisee ngoja tuone
View attachment 2505177
Inesta greatest little magician
Xavi
Zidane
Gerrard
Modric
Kross
Pirlo
Lampard
Scholes.
YNWA
😂😂😂😂Mapema tumalizane na Real Madrid tusonge mbele haha easy said n done...Tunachukua kombe la UEFA![]()
Hahaha imagine Gerrard angepata kutua kama pale Real Madrid yaani dogo angekua levo zingine kabisa.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Miss Liverpool uwe na utulivu mwaya Klopp ni solution akiwa supported sokoni.
@Captain Marvelous hapa sijaelewa kuna nini?Captain Marvelous hii taarifa sijaelewa vizuri kwani kuna shida gani kwenye uongozi wa Technical department?
NEW: Liverpool's head of fitness and conditioning Andreas Kornmayer, who is one of Jurgen Klopp's most trusted allies, is reportedly believed by some to have too much influence at the club and is difficult to work with.
There have previously been reports that the influence of Klopp's assistant, Pep Ljinders, has grown considerably, and now a similar image has been painted for Kornmayer.
There is said to be a large sentiment of personnel at the club's AXA training complex in Kirkby who feel as though the German is also difficult to work with.
One employee, who was not named in the report, claims that various changes behind the scenes in terms of personnel has had a degenerative effect on the club. #LFC [melissa reddy - sky sports]