Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,297
- 46,755
Na wewe umeanza kuzungumza Kigalatia humu kumbe??..Njoo tuangalie mechi wote
Ni wewe ulinishauri niendelee kuangalia
I can't handle anymore watching this shit
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umeanza kuzungumza Kigalatia humu kumbe??..Njoo tuangalie mechi wote
Ni wewe ulinishauri niendelee kuangalia
I can't handle anymore watching this shit
Sent using Jamii Forums mobile app
amefanya adi vingreza kwenye uzi vimekaukaWewe Kocha gani mwenye akili akawa ana Mchezaji kama Milner?
Huyu Milner hata kwenye Timu yetu VITOMBI FC ya pale Chanika basi hapati namba.

so sadKocha Misimu 7 ana EPL moja na Bado Watu hawajajua kama Jamaa Hana Akili.
Relax hii ndio losepool tunayoijua sisiKocha Misimu 7 ana EPL moja na Bado Watu hawajajua kama Jamaa Hana Akili.
HahaNaona hasira zako zimekutoa akili!
Mbona unataja tu kombe moja?

Klopp huwa msimu wake wa Saba dish huwa linayumba na kupoteana kabisaBaada ya kupoteza mchezo dhidi ya Wolves kwa goli 3-0, kocha wa Liverpool Jurgen Klopp kwenye mahojiano akasema hajalihesabu goli la 3 lililofungwa na Ruben Neves Dk 71 kwani ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa Wolves kuvuka mstari wa katikati ya uwanja kwa kipindi cha pili.
“Goli la tatu silihesabu kwa sababu ndiyo mara ya kwanza walipita katikati ya uwanja kipindi cha pili” — Klopp
Admin wa klabu ya Wolves akasema basi isiwe shida baba. Akapost matokeo….Full Time: Wolves 2-0 Liverpool
Kalitoa hilo goli la Neves ili Klopp aridhikeView attachment 2506649

JURGEN KLOPP & HIS 7TH YEAR WITH A CLUB IS JUST 

Mainz 05 (2001-08): Relegated From Bundesliga. LEFT The Following Season after Failing to get them Promoted.
Borussia Dortmund (2008-2015): A Shocking 7th Place Finish. Lost The DFB- POKAL Final. LEFT The Club.
Liverpool (2015-*): WORST START to a Season Under Jurgen Klopp. 10th in The League. Knocked out from EFL CUP & FA CUP. Thrashed by Several Teams. 

Hapa wasiposhituka watajikuta kwenye relegation zoneJURGEN KLOPP & HIS 7TH YEAR WITH A CLUB IS JUST
Mainz 05 (2001-08): Relegated From Bundesliga. LEFT The Following Season after Failing to get them Promoted.
Borussia Dortmund (2008-2015): A Shocking 7th Place Finish. Lost The DFB- POKAL Final. LEFT The Club.
Liverpool (2015-*): WORST START to a Season Under Jurgen Klopp. 10th in The League. Knocked out from EFL CUP & FA CUP. Thrashed by Several Teams.
FUN FACT THERE IS ONE MANAGER WHO REPLACED HIM AT BOTH - MAINZ & BVB, HE'S UNEMPLOYED RIGHT NOW, GUESS WHO...?
CAN JURGEN KLOPP CHANGE HIS FORTUNES AROUND OR WILL THE HISTORY REPEAT?
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app

Klopp ametutoa tukiwa Timu inayoheshimika mpaka sasa ametuheuza Kigenge cha Wahuni halafu linakaa kwenye Media linajichekesha tu na mimeno yake kama Vidole vya Miguu ya Mtu aliyezaliwa Kigoma.