choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,087
Hii timu ili ikae sawa ni labda Klopp aondoke,Kuisuka hii timu yetu kunahitaji ela ndefu sio pungufu ya £200m.
Haya Chugga, Klopp kajatakia mwenyewe kwanza kuwatimua wachezaji majembe lakini kingine kuwapa wachezaji wazee mikataba mirefu sana bila kusoma alama za nyakati kwamba EPL sio mahala pa kulea wazee ni wazee kiasi vijana wengi hapo unakua salama lakini kwetu wazee wengiiiiii vijana wachache sana.
Kingine Midfield waliosajiliwa toka 2018 ni wagonjwa hakuna kazi kazi tazama Kieta, Thiago na Arthur Melo hao wote ni spana mkononi muda wowote utasikia wodini.
Nitashangaa sana kama huyo Bellingham atatua Liverpool hii ya sasa.
YNWA
Ama FSG waondoke
Ama waondoke wote kwa pamoja






