Ku shine game moja tu unamkubali tayari?Keita kacheza vizuri leo wewe ulkua unaangalia mpira upi


Klopp ana kosa gani?
Apo ataitaji misimu mingine minne kujenga tena Livakuku mpyaKocha Misimu 7 ana EPL moja na Bado Watu hawajajua kama Jamaa Hana Akili.
Waajiri wake wanajali mpunga zaidi... Klopp kakuza brand ya Liverpool kuvutia wawekezaji wengi wenye kutoa mpunga wa kueleweka.Kocha Misimu 7 ana EPL moja na Bado Watu hawajajua kama Jamaa Hana Akili.
Mzee wa hockey cap.JURGEN KLOPP & HIS 7TH YEAR WITH A CLUB IS JUST
Mainz 05 (2001-08): Relegated From Bundesliga. LEFT The Following Season after Failing to get them Promoted.
Borussia Dortmund (2008-2015): A Shocking 7th Place Finish. Lost The DFB- POKAL Final. LEFT The Club.
Liverpool (2015-*): WORST START to a Season Under Jurgen Klopp. 10th in The League. Knocked out from EFL CUP & FA CUP. Thrashed by Several Teams.
FUN FACT THERE IS ONE MANAGER WHO REPLACED HIM AT BOTH - MAINZ & BVB, HE'S UNEMPLOYED RIGHT NOW, GUESS WHO...?
CAN JURGEN KLOPP CHANGE HIS FORTUNES AROUND OR WILL THE HISTORY REPEAT?
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Kuna muda kiasi mpaka June 2023 labda klabu itakua ishauzwa aisee maana ule mpango wa kuuza wachezaji kwa bei ya juu na kununua kwa bei ya chini kwa sasa umepitwa hauna tena mashiko lakini FSG kuona hivyo wameamua wachukue chao mapema sana.Nanyi mngepata mmiliki kama Tajiri miluzi mngefika mbali
Acha masikhara mkuu, Klopp ndo aliwatoa kutoka timu iliyokuwa kama kigenge cha wahuni na kuwaheshimisha, now kwa kuwa ameteleza kidogo mnamnanga hivyoKlopp ametutoa tukiwa Timu inayoheshimika mpaka sasa ametuheuza Kigenge cha Wahuni halafu linakaa kwenye Media linajichekesha tu na mimeno yake kama Vidole vya Miguu ya Mtu aliyezaliwa Kigoma.

Acha masikhara mkuu, Klopp ndo aliwatoa kutoka timu iliyokuwa kama kigenge cha wahuni na kuwaheshimisha, now kwa kuwa ameteleza kidogo mnamnanga hivyo
Waajiri wake wanajali mpunga zaidi... Klopp kakuza brand ya Liverpool kuvutia wawekezaji wengi wenye kutoa mpunga wa kueleweka.
Kimsingi tuna vision tofauti kabisa kati ya wamiliki na mashabiki, sisi tunataka makombe lakini FSG wao wanatembea na data za klabu inavyokua kibiashara.
Klopp sasa anawekeza kete yake kwenye champions league lakini kwa uchezaji huu asitegemee miujiza yoyote pale zaidi ya kipigo na hapo ndio FSG wataelewa umuhimu wa kuwekeza maana mpaka sasa bado wanaamini Klopp atawavusha salama wakati Klopp mwenyewe ameishiwa mbinu na maneno amebaki kurukaruka tu.
YNWA
Bwana wee kama tunawashindwa Nottingham Forest itakua aje kwa wale wakongwe wa Uefa yaaani hio gemu Klopp ana bet kwa Konate, VVD, Jota, Diaz, Firmino wawe wamerejea.Yani kitu watakachotufanya Real Madrid mpaka nimeshaanza kuogopa.
Klopp hua ni ngumu sana kumwelewa aisee hivi katika macho ya kawaida mbona mpira hauonekani hawa kua wachezaji tegemeo kwa mfano Milner, Henderson, Matip na hao wakapewa mikataba mpaka leo wamo. Wanajaza wingi badala ya ubora na kugharimu pay roll ya klabu.Hapana Klopp hajateleza bali kazembea.
Tokea 2020 alipigiwa kelele kuwa Kikosi kinazeeka kwa pamoja awe anafanya adjustment ya Wachezaji lakini akaona Pombe ni bora kuliko kazi yake akaamua kununua Watoto, Kuokota Wachezaji waliokataliwa, kuwapa Mikataba Wazee na Magarasa, kununua Wachezaji walipo Vitandani.
Hii ni aibu mpaka leo anategemea Timu aliyoiunda 2017.
Pep Msimu huu kidogo anatumba sasa subiri Msimu ujao uone atakavyoboresha.
Kukosa kusimama na Gini, Mane kama alivyosimama kwa VVD, Salah, Milner na Henderson.Klopp ana kosa gani?
Anakataa ili iweje sasaBaada ya kupoteza mchezo dhidi ya Wolves kwa goli 3-0, kocha wa Liverpool Jurgen Klopp kwenye mahojiano akasema hajalihesabu goli la 3 lililofungwa na Ruben Neves Dk 71 kwani ndio ilikuwa mara ya kwanza kwa Wolves kuvuka mstari wa katikati ya uwanja kwa kipindi cha pili.
“Goli la tatu silihesabu kwa sababu ndiyo mara ya kwanza walipita katikati ya uwanja kipindi cha pili” — Klopp
Admin wa klabu ya Wolves akasema basi isiwe shida baba. Akapost matokeo….Full Time: Wolves 2-0 Liverpool
Kalitoa hilo goli la Neves ili Klopp aridhikeView attachment 2506649
