Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Salah bila Mane hana nguvu yoyote.
Timu imegeuka ya kishenzi sana.

Yale mababu ameywng'ang'ania Klopp
Yaani ilibidi watupige hata matano ..ni uzembe wao tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umeona eeeh ubora WA mane ndo ulimfanya salah awe bora.... Mane was about the team not selfish..... Anateseka wengine wasaidie team ishinde and now Hakuna kitu hiko. Firminho tayari mda WA kurudi Brazil umefika.
 
Wachezaji waliopo hawana fighting spirit Tena. Na mane aliliona hilo na ndio maana kakimbia. Kama ulimsikiliza interview ya salah juzi ni kuwa anachowaza now ni kuwa mfungaji bora WA muda wote WA Liverpool..... It's not about the team winning anymore.... Na ndio sababu ya kutaka kuongeza mkataba..... It's about him and not the club..... Chambo Milner should not be there msimu huu even keita.. Watu majeruhi kila sekunde but unawabeba WA nini Sasa.
Firminho should have gone and find another striker..... Tutafute watu wapya wenye njaa. Hawa waliopo wameshinda kila kitu wameshiba ndo maana wamebaki kutafuta individuals prize zaidi.
Labda wanachosema ni kweli "Klopp ni bora kwa kutengeneza Timu but RE-BUILD the Team ndio kitu kinamshindaga everytme. Kwa jinsi ligi ya epl ilivyo Sasa kushinda LIGI ni ndoto Sasa hivi. Tutabaki na CL pekee.
CL pekee????

Ipiii hiyo???

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Watu wanalaumu viungo tu lakini mlna hii mibeki siku hizi yamekuwa Nyavu kwelikweli
Mkuu wanazidiwa wewe mwenyewe unajua fika middle zikipwaya lazima nyuma pataelemewa,hii ni simple logic kabisa.kila dakika timu pinzani wanafika kwenu-lazima wachoke.
 
Aaaah umeanza vizuuuriiii ila ukamalizia vibaya. Mie ni shabiki wa Ronaldo lia lia kumuita mzigo G.O.A.T wangu imeniumaaaaa

Asante sana. Tangu jana napita kimya kimya nisiwaumize zaidi maana kipigo hakikutegemewa hasa mbele ya beki kisiki😂😂😂😂😂
Numbisa hongera sana kwa ushindi wa jana. Hakika mlistahili tena magoli zaidi ya hayo ya jana.

Jana kocha wenu kaweka mizgo pembeni Maguire na Ronaldo na reaction mmeiona vyema sana.

YNWA
 
Avery single game Trent made error leading to goal.
He's a serious threat now kwenye lango letu.
Becker must've more hofu against his own Trent kuliko opponents/attackers.

Nilichokiona msimu huu tunaendeleza tulipoishia msimu uliopita mwisho a msimu ilikuwa tunaanza kufungwa halafu tunafanya comeback na sasa hivi naona ndio hivyo hivyo tu lazima tuanzwe kufungwa kwanza tu.

Hicho kitu ni kibaya sana.
 
Aaaah umeanza vizuuuriiii ila ukamalizia vibaya. Mie ni shabiki wa Ronaldo lia lia kumuita mzigo G.O.A.T wangu imeniumaaaaa

Asante sana. Tangu jana napita kimya kimya nisiwaumize zaidi maana kipigo hakikutegemewa hasa mbele ya beki kisiki😂😂😂😂😂
Numbisa hongera sana kwa ushindi wa jana. Hakika mlistahili tena magoli zaidi ya hayo ya jana.

Jana kocha wenu kaweka mizgo pembeni Maguire na Ronaldo na reaction mmeiona vyema sana.

YNWA
 
Acha kukariri eti Manchester City wewe unajitambua kweli?Arsenal itafanya kama Leicester City 2016 utabaki unashangaa na kutoa mimacho yako Ligi bado mbichi na Arsenal pekee ndiye mwenye 9 points kwa kuwin games zote up to now

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Arsenal kigenge cha wahuni hicho...

Yale ya Leicester city huwa yanatokea kila baada ya 20yrs. Huo muda haujapita bado.
 
Acha kukariri eti Manchester City wewe unajitambua kweli?Arsenal itafanya kama Leicester City 2016 utabaki unashangaa na kutoa mimacho yako Ligi bado mbichi na Arsenal pekee ndiye mwenye 9 points kwa kuwin games zote up to now

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Nyingi bado Sana ubingwa nafasi yenu ni kugombea big 4 nyingi mpo kama umeme wa Tanesco
 
He wasn’t here when we won the premier league ,and he wasn’t with this group when we beat Barcelona remember...we have to play those that help us achieve all this ,sometimes you have to forget footballing reasons and human with sentiment mindset of an elite manager crazy. Klopp will say this if cant this kid against Bournemoth
 
Sasa si upumbavu Kwa Klopp umetucostna laana ya Mane ipo kututafuna..angekuwepo angefunga Kwa gharama yoyote.

Tunauza Mane tunaweka Milner acheze Pumbavu sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Kwenye Mpira hakuna Kitu Laana ya Mchezaji, na kuhusu kufungwa jana sio sababu ya kutokuwepo Mane.
Hata alipouzwa Coutinho watu walitaka kutuaminisha kama haya wanayotaka kutuaminisha kuuzwa kwa Mane.
 
Yani nimeangalia Trends kwenye ukurasa wangu wa Twitter Milner na Hendo wanaongoza kutrends Yani Wanatukanwa hao.
Screenshot_20220823-135836.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom