Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kweli malipo huwa ni hapa hapa dunian aisee
FB_IMG_16612242027287388.jpg
 
HONGERA MANCHESTER CITY KWA KUSHINDA LIGI (EPL) MSIMU WA 2022/2023.

Tuliobakia turogane kwenye Top Four.

Sasa nirudi na KING NGWABA kwa ajili ya Vita na Klopp! Hawezi kutuchezeshea genge lake la kina Milner nikamuangalia tu hata siku moja.
Najiuliza how powerful is Milner na Henderson pale Liverpool yaaani sipati jibu..

Labda kwenye corridors of behind the scenes hawa jamaa Henderson na Milner wana ushawishi wa nguvu sana Liverpool kiasi hata Klopp anajikuta anakwenda nao kama walivyo mizigo...

Kuna Mfs kibao wa bei chee na wazuri lakini Klopp kwa kulinda namba za hawa watoto wa malkia anakomaa nao,..

Kimsingi msimu huu tuanze kuhesabu maumivu makali na Klopp kama Klopp anakufa na tai shingoni...

Pride comes before fall.

Upande wa mabeki ndio kabisa VVD na Trent kwa vile hawana mbadala wanacheza wanavyotaka... Goli la tatu msimu huu Trent kwa uzembe wake tunafungwo.

Wachezaji wamelewa sifa.

YNWA
 
Klopp ni Kocha Mzuri na Bora sana lakini amerudishwa nyuma na Kiburi tu na sio jengine.

Imagine Anastaafu Liverpool akiwa na only 1 EPL na 1 UCL while alideserve more than this.

Lakini Kiburi chake na kutaka kugain something from nowhere ndiyo kimemfukisha hapa kulose UCL Final v/s Madrid back-to-back na kuwa msindikizaji v/s PEP kwenye EPL.

Yani Kocha unayetaka na Mafanikio kweli unakuwa na useless players kama OX na Milner?

Yani Klopp ni wa kupelekwa Mirembe kabisa.
 
Najiuliza how powerful is Milner na Henderson pale Liverpool yaaani sipati jibu..

Labda kwenye corridors of behind the scenes hawa jamaa Henderson na Milner wana ushawishi wa nguvu sana Liverpool kiasi hata Klopp anajikuta anakwenda nao kama walivyo mizigo...

Kuna Mfs kibao wa bei chee na wazuri lakini Klopp kwa kulinda namba za hawa watoto wa malkia anakomaa nao,..

Kimsingi msimu huu tuanze kuhesabu maumivu makali na Klopp kama Klopp anakufa na tai shingoni...

Pride comes before fall.

Upande wa mabeki ndio kabisa VVD na Trent kwa vile hawana mbadala wanacheza wanavyotaka... Goli la tatu msimu huu Trent kwa uzembe wake tunafungwo.

Wachezaji wamelewa sifa.

YNWA
Hao wazee wawili kusema kweli wakicheza wanatukaba badala ya kutusaidia. Tunahitaji kiungo kabla ya dirisha kufungwa.
 
Hamna haja ya ku panic
Klopp atarekebisha haya,majeruhi watapona!
Hamna haja ya kuandika negatives kuhusu team
 
Najiuliza how powerful is Milner na Henderson pale Liverpool yaaani sipati jibu..

Labda kwenye corridors of behind the scenes hawa jamaa Henderson na Milner wana ushawishi wa nguvu sana Liverpool kiasi hata Klopp anajikuta anakwenda nao kama walivyo mizigo...

Kuna Mfs kibao wa bei chee na wazuri lakini Klopp kwa kulinda namba za hawa watoto wa malkia anakomaa nao,..

Kimsingi msimu huu tuanze kuhesabu maumivu makali na Klopp kama Klopp anakufa na tai shingoni...

Pride comes before fall.

Upande wa mabeki ndio kabisa VVD na Trent kwa vile hawana mbadala wanacheza wanavyotaka... Goli la tatu msimu huu Trent kwa uzembe wake tunafungwo.

Wachezaji wamelewa sifa.

YNWA

Avery single game Trent made error leading to goal.
He's a serious threat now kwenye lango letu.
Becker must've more hofu against his own Trent kuliko opponents/attackers.
 
HONGERA MANCHESTER CITY KWA KUSHINDA LIGI (EPL) MSIMU WA 2022/2023.

Tuliobakia turogane kwenye Top Four.

Sasa nirudi na KING NGWABA kwa ajili ya Vita na Klopp! Hawezi kutuchezeshea genge lake la kina Milner nikamuangalia tu hata siku moja.
Acha kukariri eti Manchester City wewe unajitambua kweli?Arsenal itafanya kama Leicester City 2016 utabaki unashangaa na kutoa mimacho yako Ligi bado mbichi na Arsenal pekee ndiye mwenye 9 points kwa kuwin games zote up to now

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Una miaka mingapi kwenye umri wako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom