Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Goli nyingi za Salah alizipata kutokana na assist ya Mane.
Hii combination ilikuwa nzuri na ilileta matokeo mazuri... sasahivi imevurugwa Salah amebaki anazunguka na hana nguvu yoyote.

Watu watakuja kufukua Makaburi nakushauri ungeweka hakiba ya maneno kuhusu Salah lazima atakuprove wrong Mane hatimizi hata assists 10 kwa msimu na sio kwamba zote anazitia kwa Salah, wakati Salah anafunga zaidi ya Goli 25 kwa msimu hivyo Magoli ya Salah ni zaidi ya assists za Mane.

Hivyo without Mane Salah atafunga 20+ goals za EPL tu.
 
LIVERPOOL Players Rating Vs Manchester United

Alisson Becker - 6
Absolutely not to blame for his side's performance, even though he was outfoxed by Sancho for United's opener and was surprisingly beaten in a one-on-one by Rashford. Made up for it by denying Eriksen and Rashford with smart saves - his defence has to do much, much better to compliment his shot stopping skills.

Trent Alexander-Arnold - 4
Not for the first time in his career - and at Old Trafford against United - Alexander-Arnold's defensive capabilities were really questioned. The right-back could not handle both Marcus Rashford and Anthony Elanga down the left and was rightly booked for a trip on the latter. Took up decent areas in attack but kept over-hitting his passes. A night to forget.

Joe Gomez - 4
Another victim of United's left hand side - and Gomez never really looked settled at all in this match. Repeated Nat Phillips' mistake against Wilfried Zaha and Crystal Palace last week by playing Rashford onside for United's second. Liverpool's search for Virgil van Dijk's perfect centre-back partner continues.

Virgil van Dijk - 4
It looked as if it would be another vintage Van Dijk display when he denied Rashford with a last-ditch one-on-one challenge early on - but then came United's opener. Just what was the Dutchman doing in not closing down Sancho, who had enough time and space to slot home in the first half? Van Dijk was then nowhere to be seen for United's second, his partnership with Gomez looked disjointed.

Andy Robertson - 5
Like Alexander-Arnold, was inaccurate when he got forward and struggled to deal with Sancho, especially in the first half. HIs flank really struggled at Old Trafford and while Klopp's use of a high line is partly to blame, the Scot did not do enough going forwards to justify it and was rightly taken off yet again late on.

Jordan Henderson - 4
The England international did not look settled in the number six role - a position he himself has claimed is not his favourite. Henderson did have more influence when he moved further forward, but it left Liverpool exposed on the counter attack. Could not get in the game so was rightly hauled off for Fabinho, who should have started.

James Milner - 4
The midfielder spent more time bickering with Van Dijk than actually making an impact on the game. United's midfield three danced around him at times and with almost three 90-minute displays at the start of the season, questions must surely be asked if the 36-year-old can sustain his levels at this high a level. Rightly taken off for Fabio Carvalho.
Harvey Elliott - 5
The youngster took up some good areas but was another player who could not deal with United's midfield three. Elliott had a couple of half chances at best but his inexperience showed.

Mohamed Salah - 7
Completely anonymous in a first half that rarely saw him appear on the ball. The Egyptian created a good opportunity for Henderson which the Liverpool captain wasted but then ballooned over a decent effort from a corner after the break. His goal late on was his only influential part of the game, but the Liverpool winger knows he can do so much better.

Roberto Firmino - 5
The Brazilian struggled to get into the game and looked rushed back to full fitness. His air-kick in the penalty area after half-time summed up his night. Liverpool and Klopp will be wanting Darwin Nunez back as quickly as possible, as he serves his three-game ban.

Luis Diaz - 6
The Colombian showed some elegant touches and the fact he got both Dalot and Varane booked in the first half showed how dangerous he was. Diaz was well dealt with by the United defence, but the winger needs to do more to take games by the scruff of the neck if he is to replace big-game supremo Sadio Mane.

SUBS
Fabinho (on for Henderson 59) - 6
Should have scored from a corner but saw his header saved by De Gea. Liverpool did look more composed when he came on, which begs the question: why didn't he start?

Fabio Carvalho (on for Milner, 73) - 6
Another good addition off the bench for Klopp's Liverpool and played a role in Salah's goal. Carvalho did not look out of place at Old Trafford.

Tsimikas (on for Robertson, 85) - n/a
Didn't have enough time to make an impact.

Skysport

YNWA
 
Maajabu ya wiki..

Kieta mgonjwa tena kaumia mazoezini na atakua na wiki kadhaa nje..

Hivi inakua aje huyu dogo huumia mazoezini aafu unasoma eti Klopp anataka apewe mkataba mpya. Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na upendeleo kwa Klopp yaaani kigezo kipi anachotumia kwa Kieta na sio kwa Mane na Gini.

YNWA
 
Screenshot_20220823_213224.jpg


Kwa sasa Liverpool inapitwa tu na Westham kwa kua na kikosi cha waze wengi kwenye 1st 11.

Ajabu unaweka wazee na utegemee high intensity ile ile yaaani itakua ndotoni sio EPL...

Tazama msimu huu tumekua overrun na Fulham, Crystal Palace na Manchester United, hizi timu zote wame sprint kuliko Liverpool, wamekimbia kilomita zaidi kuliko Liverpool yaaani hii hatujazoea
Screenshot_20220823_212549_com.android.chrome_edit_60971455953196.jpg


Yaani Fulham walituzidi kilomita 3, Crystal Palace walituzidi kilomita 7 duh hii sio habari njema sana...

Combination ya VVD Gomez/Phillips ishaonekana ni changamoto...

YNWA
 
Aaaah umeanza vizuuuriiii ila ukamalizia vibaya. Mie ni shabiki wa Ronaldo lia lia kumuita mzigo G.O.A.T wangu imeniumaaaaa

Asante sana. Tangu jana napita kimya kimya nisiwaumize zaidi maana kipigo hakikutegemewa hasa mbele ya beki kisiki😂😂😂😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 Supa Goat kwa sasa ni mzigo labda kama mtaedelea na hio intensity mlionyesha jana naamini TH atapata formula ya kumtumia.

Jana alinuna balaa kutoanzishwa yaaani...

Sawa kutesa kwa zamu.

YNWA
 
Klopp kiburi hata uboronge kila game hawezi kukuwek pembeni.
Klopp msimu huu mbona akijichanganya ataelewa mashabiki hawana uvumilivu na bora mwenyewe alishajitoa kwenye mitadao ya kijamii maana huko kuna balaa.

Ukijiuliza kweli ule mshahara wa Milner hupati mchezaji mwenye umri wa chini kutoka Ureno, Ufaransa, Uhispania nk au ni kiburi cha Klopp kutaka kuonyesha wengine yeye hapangiwi...

YNWA
 
Avery single game Trent made error leading to goal.
He's a serious threat now kwenye lango letu.
Becker must've more hofu against his own Trent kuliko opponents/attackers.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Trent amekua kama zombie yaaani time after time anajifanya anakimbia baada ya reaction ya goli kufungwo...

Allison atachoka tu maana shot kwetu zinakwenda kama mvua hana ulinzi kuanzia kwa Mfs na mabeki sio kwa Trent wala Robbo au VVD...

Henderson mwenyewe alishasema hapendi kabisa kucheza 6 aafu Klopp time and time again anarudia kosa lile lile kwa Henderson huku akijua jamaa hupenda kwenda mbele zaidi meaning tukipokonywa mpira muda huo Robbo na Trent wakiwa kama winga kushambulia tutapigika tu maana ni kaunta moja tu ya uhakika case study magoli yote msimu tumekutwa off guard kwa counter safi huku Gomez na Phillips wakichemka kucheza offside trick na hii inatokana na Klopp kutowachezesha wakati tunashinda ingekua wanapata dakika za kutosha sio mpaka waumie 1st choice...

😂😂😂Trent mie mwenyewe naanza kumuogopa balaa yaaani mashambulizi upande wake kuna mawili atalimwa kadi, kona au goli damn...

YNWA
 
Hao wazee wawili kusema kweli wakicheza wanatukaba badala ya kutusaidia. Tunahitaji kiungo kabla ya dirisha kufungwa.
Hahaha usajili kutoka wapi... Klopp wont swallow his pride for once asikilize former players, ma pundits na mashabikii kudai usajili wa MF mmoja creative na mwenye umri wa 22 to 27...
Hili swala lipo well documented kwa kina sana na kwa stat za nguvu sana kuonyesha tuna MF kibogoyo haina meno, kucha wala chochote..
Na sasa timu zimeshatujulia wanasubiri tuanze mashambulizi wanataiti channels kwa Robbo na Trent na mwishoe tunapokonywa mpira tunachezewa kaunta moja matata na goli tunapigwa...
Hao MFs anaosema Klopp wameumia ni Keita na Thiago ambao hata wakipona kwa pamoja hawawezi kukupa gemu 30 kwa msimu consecutively sasa unajiuliza ni miujiza ipi Klopp anategemea kutoka kwao. Jones sio serial starter, Ox hana impact hata bure wangemwachia tu.
Madhala ya pengo la Gini linazidi kuonekana, na dogo alikua sokoni ingekua jambo njema Klopp kumrudisha klabuni na kuwapa Fabio, Jones na Elliott uzoefu huku wakikomaa...

Kwa Mf ya Henderson, Milner, Elliott hata Championship tunge struggle tu.

YNWA
 
Hamna haja ya ku panic
Klopp atarekebisha haya,majeruhi watapona!
Hamna haja ya kuandika negatives kuhusu team
Mkuu gemu ya 4 ukihesabu kuanzia fainali ya UCL hatujashinda na pengo la udhaifu lipo wazi tunashambuliwa kweli kweli kwa kukosa Midfielder mmoja kamilifu....
Tazama movement ya Henderson goli la kwanza la Manchester United alikua by stander, moja ya sifa ya MF kamilifu ni ku move mpira unapokwenda kwa kukimbia na sio kutembea.. Kwa sasa Liverpool pamejaa wachezaji wa kutembea, tunahitaji runners muda wote kwa bahati mbaya Mfs wapo over 30s hivyo usitegemee wakupe unachotaka muda mwingi...

Tukisema hizi negatives ni sababu dirisha bado lipo wazi kwa Klopp kusajili na ipo wazi alihitaji sana kumnunua Tchouameni dogo akawachagua Real Madrid hivyo hata yeye Klopp hawaamini waliopo lakini sasa kageuka anasema wakipona atakua sorted sidhani kama ni rahisi hivyo tumeshajuliwa sasa tutegemee maumivu ndugu.

YNWA
 
Mwisho wa Msimu

1) City
2) Liverpool

Hao wengine waendelee kupigania nafasi mbili zilizobakia

Mkuu watoto hawata kuelewa aisee,wanajua kushinda mechi4 za mwanzo mfululizo ndio tayari wewe ni bingwa .nikiwasikilizaga nacheka sana.


Mimi ubingwa wangu ni baada ya mechi 19 (baada ya round ya kwanza Kuisha) tu, Chelsea msimu uliopita mpaka mechi 12 anaongoza ligi baada ya mechi 19 chali.

Unaweza kuongoza ligi kulingana na ratiba yako (ratiba yako umependelewa kuna baadhi ya timu hujacheza nazo) lakini baada ya mechi 19 itakuwa umeshacheza na kila timu .
 
Watu watakuja kufukua Makaburi nakushauri ungeweka hakiba ya maneno kuhusu Salah lazima atakuprove wrong Mane hatimizi hata assists 10 kwa msimu na sio kwamba zote anazitia kwa Salah, wakati Salah anafunga zaidi ya Goli 25 kwa msimu hivyo Magoli ya Salah ni zaidi ya assists za Mane.

Hivyo without Mane Salah atafunga 20+ goals za EPL tu.
Mimi nasubiri aniprove wrong huyu bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom