Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aseee EPL ya moto sana jana Crystal Palace kampiga Aston Villa na yule ZAHA sio mtu mzuri akifunga ashangilii[emoji16]
Ule mguu wa kushoto wa zaha sio poa,unalenga angle ngumu hatari ,goli alilowapiga ,kafunga vile vile dhidi ya astonvilla..! Na ubabe wote wa Allison hakuiona [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mwenzenu mshabiki wa chelsea, kama kuna mtu anaona huruma aje anipe kampani maana moyo unauma mno
Tuliwaambia wachaneni na hilo shit njooni chama kubwa LFC..
Ona sasa Tuchel anazidi kukonda tu.

Mnafungwa na timu inakuwaga ya mwisho kwenye ligi😂😂😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom