Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kushinda mechi tatu kwenye ligi haikupi ubingwa mkuu,
Mlishawahi kufanya hivyo 2004/2005 ubingwa ukaenda Chelsea.

Inaonesha wewe ni bado mtoto sana.

Ila hizo kelele zenu tunakumbukuzenu hata msimu wa mwaka juzi ligi ilivyoanza mlikuwa na kelele hivi hivi mwisho wa siku mliishia wapi?

Kuchukua ligi sio kushinda mechi 3 za mwanzo tu za ligi ,hata Chelsea waliongoza ligi mpaka mechi 12 lakini ajachukua ubingwa.

Kuongoz sasa ligi inategemea na ratiba uliyopewa inawezekana umeanza na mechi rahisi subiri mechi 19 pale mechi 38 tuone utakuwa unashika nafasi ya ngapi wewe,

Inaonekana umeanza kuangalia ligi juzi juzi tu wewe.

Akiumia tu huyo Gabriel Jesus,mtaanza kupoteana ,hawezi kucheza mechi zote huyo.ila sasa hivi mnakuwa wabishi sana.
Sisi tutakuwa tunawakumbusha tu.

Timu kibao bado mjachezanazo tayari kelele kibao eti mnachukua ubingwa,yaani ni kichekesho Cha mwaka iko.

Hata Chelsea tuliwaAmbia msimu uliopita hawana kikosi chakuchukua ubingwa hawakuelewa safari hii na nyinyi mmeenza kelele na nyinyi hamna kikosi Cha kuchukua ubingwa pale safari hii mmeanza na ratiba nyepesi kelele kibao.
Acha kukariri for example nani alijua game ya Fulham Crystal Palace na Manchester United atakuwa na point 2 na goal difference negative?unasema tumeanza na timu rahisi Crystal Palace kapata point kwako na kwao kapata point 0 vs Arsenal na hakufunga hata goal 1 hapa Vieira ukimuuliza atakwambia game ya Liverpool kwa upande wake ilikuwa rahisi that's why kaokota point narudia bro acha kukariri yaliyopita huwezi linganisha na yajayo sababu yanayofuata hayajulikani

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hamna kikosi Cha kuchukua ubingwa nyie ,huyo Jesus akiumia tu mnapoteana epl inaonekana umeanza kuangalia juzi juzi tu wewe,ubingwa haupatikani kwa kushinda mechi 3 au 4 za mwanzo wa ligi.

Tutakuwa tunakukumbusha tu. Tuendelee kuwepo.
Usiwalaumu mkuu.. Kwa waliyopitia hata izo mechi 3 wakiaa wanashinda ngj wajipe matumaini.. Kwa sbb mtu anayedhani hata kwa mbl tu kua Arsenal ni title contender hauwez bishana nae unamuacha kwa sbb iyo point yake tu inatosha kujieleza huyo mtu ni wa namna gani na uelewa wake wa mpr kwhy hata usijisumbue kujibu hoja za mtu huyo.
 
Umeona eeeh ubora WA mane ndo ulimfanya salah awe bora.... Mane was about the team not selfish..... Anateseka wengine wasaidie team ishinde and now Hakuna kitu hiko. Firminho tayari mda WA kurudi Brazil umefika.
Goli nyingi za Salah alizipata kutokana na assist ya Mane.
Hii combination ilikuwa nzuri na ilileta matokeo mazuri... sasahivi imevurugwa Salah amebaki anazunguka na hana nguvu yoyote.
 
Sawa tumeisha imagine
tapatalk_1661257626379.jpeg
 
Acha kukariri for example nani alijua game ya Fulham Crystal Palace na Manchester United atakuwa na point 2 na goal difference negative?unasema tumeanza na timu rahisi Crystal Palace kapata point kwako na kwao kapata point 0 vs Arsenal na hakufunga hata goal 1 hapa Vieira ukimuuliza atakwambia game ya Liverpool kwa upande wake ilikuwa rahisi that's why kaokota point narudia bro acha kukariri yaliyopita huwezi linganisha na yajayo sababu yanayofuata hayajulikani

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kabla yay yote naomba uniambie mbadala wa jesusu ,zincheko ,martinel wakipata injury.....

Kwa historian ya mpira navojua zincheko na Jesus hawajawahi kucheza 20 games consecutively kwa peak ile ile ....

City walikuwa wanafanyiwa rotation ndio maana walikuwa wanarudi na energy ile ile ,....! Kwa hiyo usifikilie wewe unakikosi Cha kupanda game 38 epl ,Europa ,fa na carabao ...hao madogo upepo utakata Kwan hakuna mbadala wao wa uhakika ....

Kikosi kifinyu Cha arsenal ndio kitawatoa kwenye mbio za ubingwa epl .....

Over

Cityzen chairman
 
Waombolèzaji kutoka Darajani mnakumbushwa kwamba jogoo aliyenyongwa OT ni kibudu,haliki.
 
Numbisa hongera sana kwa ushindi wa jana. Hakika mlistahili tena magoli zaidi ya hayo ya jana.

Jana kocha wenu kaweka mizgo pembeni Maguire na Ronaldo na reaction mmeiona vyema sana.

YNWA
Hili libabu liRonaldo limeingia dakika za mwisho.
Sisi tumeanza na mibabu ya kina Milner..linatema tu mate na kujifuta mule uwanjani.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kabla yay yote naomba uniambie mbadala wa jesusu ,zincheko ,martinel wakipata injury.....

Kwa historian ya mpira navojua zincheko na Jesus hawajawahi kucheza 20 games consecutively kwa peak ile ile ....

City walikuwa wanafanyiwa rotation ndio maana walikuwa wanarudi na energy ile ile ,....! Kwa hiyo usifikilie wewe unakikosi Cha kupanda game 38 epl ,Europa ,fa na carabao ...hao madogo upepo utakata Kwan hakuna mbadala wao wa uhakika ....

Kikosi kifinyu Cha arsenal ndio kitawatoa kwenye mbio za ubingwa epl .....

Over

Cityzen chairman
Unaweza kuwa sahihi kwa kiasi fulani kutokana na upeo wako wa kuelewa. Tunajua hilo ni tatizo lakini haliwezi kuwa addressed overnight. FFP inatubana kuwa na kikosi kipana kwa sasa hivi, naamini mwakani hilo litakuwa history. Roma haikujengwa siku moja. Ngoja kwanza tuwapige, tukija kuchoka ligi imebaki mechi 5 na tuna point diference 16
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom