Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Poleni majogoo!

First half hamkuwa na on target hata moja !!

Vvd mnaonaje kiwango chake ? (Untouchable) ?????

Salah shabaha zimeisha !

Nashangaa kwa nn fab hakuanza ? Kwa ule mda mfupi aliocheza Kuna chemistry flan iliongezeka pale kati !

Still kuna mechi 30+, !!! Tunaweza kufukia mabonde!
 
2020-21 hali ya majeruhi ilikua hivi hivi, imejirudia tena 2022-23, chakujiuliza mbona Man City hawana hii trend, ni kwamba klopp anafuga injury prones ama kuna tatizo mahali
 
2020-21 hali ya majeruhi ilikua hivi hivi, imejirudia tena 2022-23, chakujiuliza mbona Man City hawana hii trend, ni kwamba klopp anafuga injury prones ama kuna tatizo mahali
Man city ana depth kubwa hivyo wachezaji wanarotate inawapunguzia probability ya kuumia
 
Stupid question narudia acha kukariri this is football

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Kushinda mechi tatu kwenye ligi haikupi ubingwa mkuu,
Mlishawahi kufanya hivyo 2004/2005 ubingwa ukaenda Chelsea.

Inaonesha wewe ni bado mtoto sana.

Ila hizo kelele zenu tunakumbukuzenu hata msimu wa mwaka juzi ligi ilivyoanza mlikuwa na kelele hivi hivi mwisho wa siku mliishia wapi?

Kuchukua ligi sio kushinda mechi 3 za mwanzo tu za ligi ,hata Chelsea waliongoza ligi mpaka mechi 12 lakini ajachukua ubingwa.

Kuongoz sasa ligi inategemea na ratiba uliyopewa inawezekana umeanza na mechi rahisi subiri mechi 19 pale mechi 38 tuone utakuwa unashika nafasi ya ngapi wewe,

Inaonekana umeanza kuangalia ligi juzi juzi tu wewe.

Akiumia tu huyo Gabriel Jesus,mtaanza kupoteana ,hawezi kucheza mechi zote huyo.ila sasa hivi mnakuwa wabishi sana.
Sisi tutakuwa tunawakumbusha tu.

Timu kibao bado mjachezanazo tayari kelele kibao eti mnachukua ubingwa,yaani ni kichekesho Cha mwaka iko.

Hata Chelsea tuliwaAmbia msimu uliopita hawana kikosi chakuchukua ubingwa hawakuelewa safari hii na nyinyi mmeenza kelele na nyinyi hamna kikosi Cha kuchukua ubingwa pale safari hii mmeanza na ratiba nyepesi kelele kibao.
 
Acha kukariri eti Manchester City wewe unajitambua kweli?Arsenal itafanya kama Leicester City 2016 utabaki unashangaa na kutoa mimacho yako Ligi bado mbichi na Arsenal pekee ndiye mwenye 9 points kwa kuwin games zote up to now

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

Hamna kikosi Cha kuchukua ubingwa nyie ,huyo Jesus akiumia tu mnapoteana epl inaonekana umeanza kuangalia juzi juzi tu wewe,ubingwa haupatikani kwa kushinda mechi 3 au 4 za mwanzo wa ligi.

Tutakuwa tunakukumbusha tu. Tuendelee kuwepo.
 
Jamaa alizuia kibabe.

IMG_20220823_114607_453.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Najiuliza how powerful is Milner na Henderson pale Liverpool yaaani sipati jibu..

Labda kwenye corridors of behind the scenes hawa jamaa Henderson na Milner wana ushawishi wa nguvu sana Liverpool kiasi hata Klopp anajikuta anakwenda nao kama walivyo mizigo...

Kuna Mfs kibao wa bei chee na wazuri lakini Klopp kwa kulinda namba za hawa watoto wa malkia anakomaa nao,..

Kimsingi msimu huu tuanze kuhesabu maumivu makali na Klopp kama Klopp anakufa na tai shingoni...

Pride comes before fall.

Upande wa mabeki ndio kabisa VVD na Trent kwa vile hawana mbadala wanacheza wanavyotaka... Goli la tatu msimu huu Trent kwa uzembe wake tunafungwo.

Wachezaji wamelewa sifa.

YNWA
Yaani wao wahangaike kukaba wakati akina Milner wanakula tu goodtime pale kati.
Hata ningekuwa mimi ningeacha kujichosha sana.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Klopp haoni watu
Ngoja aende nao hao hao.

In Klopp we believe,,, sasahivi tutashika nafasi ya mwisho .

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hatuishiki lakini kama tunataka kuendelea kuwa on our prime lazima tusajili na lazima tuachie wachezaji ambao ni mzigo kwetu.

Henderson, Milner, Chamberlain, Keita. Ondoa hizi takataka. Leta watu wa kazi vioungo wanyumbulifu.
 
Sasa kama Anaondoa viungo halafu wababu wanaongezewa mikataba

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hatuishiki lakini kama tunataka kuendelea kuwa on our prime lazima tusajili na lazima tuachie wachezaji ambao ni mzigo kwetu.

Henderson, Milner, Chamberlain, Keita. Ondoa hizi takataka. Leta watu wa kazi vioungo wanyumbulifu.
Wachezaji waliopo hawana fighting spirit Tena. Na mane aliliona hilo na ndio maana kakimbia. Kama ulimsikiliza interview ya salah juzi ni kuwa anachowaza now ni kuwa mfungaji bora WA muda wote WA Liverpool..... It's not about the team winning anymore.... Na ndio sababu ya kutaka kuongeza mkataba..... It's about him and not the club..... Chambo Milner should not be there msimu huu even keita.. Watu majeruhi kila sekunde but unawabeba WA nini Sasa.
Firminho should have gone and find another striker..... Tutafute watu wapya wenye njaa. Hawa waliopo wameshinda kila kitu wameshiba ndo maana wamebaki kutafuta individuals prize zaidi.
Labda wanachosema ni kweli "Klopp ni bora kwa kutengeneza Timu but RE-BUILD the Team ndio kitu kinamshindaga everytme. Kwa jinsi ligi ya epl ilivyo Sasa kushinda LIGI ni ndoto Sasa hivi. Tutabaki na CL pekee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom