Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Yeah man kwa maneno hakika hatujambo na mpira bila maneno aisee haunogii kabisaaa sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia.

Lesson tumeipata. Umeona eti ma Captain wa Real kabla ya mechi masaa kadhaa walikua wame relax wanacheza kadi yaaani kweli hawakukosea walivyosema presha tunayo sisi na si wao.

Ile gemu naona kuanzia mashabiki mpaka wachezaji waliikamia sana especially baada ya Kipara kushinda EPL waliona sasa tupate kubwa lao na msimu utakua murwa sana la 7 likiwa limepoa Anfield archives.

Next time Klopp na whole Liverpool fraternity tatakua smart zaidi, talk less lets the final score do the talking

YNWA
. Sawa kabisa mkuu. All the best next season. Ila naamini na sisi tutarudi msimu ujao vizuri zaidi. Tukikutana tena moto utawaka.
 
Leo Ndo Ata Nimepata Nguvu Ya Moyo ya Kufatilia Khabri Za Mpira,

Nyie Nyie Ile Siku Ilikua Ndefu Sana Walai.
 
Manjesta hawawaheshimu watu wao jamaa hajifeel yuko nyumani kabisa wanamzarau na kejeli kibao kisa wao wanajiona ndio klabu kubwa na wanahela.

Sisi mtu yoyote akiwa wakwetu lazima tuoneshe tunampenda hata kama anakosea atajisikia yuko nyumbani tu na slogan yetu ile YNWA.

Hao manjesta wao wanataka ushindi tu ukikosea tu kidogo lawama kama zote na wanakuzarau mazima kila kitu wajuaji wao.

Manjesta haiwezi tena kuwa timu Bora ,ni swala la muda tu ndio maana hata Klopp aliwakataa hawana heshima kabisa kwa wafanyakazi wao.
Hizii ni dharauu aisee... Ox,Milner,keita Wana chukua fungu kubwa kuliko MANE!!

Acha aendee aisee.

IMG_20220601_171853_441.jpg
 
. Sawa kabisa mkuu. All the best next season. Ila naamini na sisi tutarudi msimu ujao vizuri zaidi. Tukikutana tena moto utawaka.
Msimu ujao ndugu yangu naona utakua fire balaaa sanaaaa.
Tazama Aston Villa, Tottenham wanavyosajili vyema sana na huku Chelsea, Manchester United, Arsenal nao wakiwa na mipango madhubuti kuboresha vikosi.
Hofu yangu ni mechi zitakua nyingi sana maana sasa kuna Nations League, EPL, UCL, World Cup yaaani 2022 wachezaji watatumika sana kwa kweli japo wameongeza Sub kua 5 msimu ujao lakini tutegemee majeruhi kwa hawa wachezaji hivyo timu itakayosajili vyema mapema watatoka salama msimu ujao.

Msimu huu Klopp katumia wachezaji 38 kwenye mashindano yote na kati ya hao tuna pancha za kutosha hivyo sapoti sokoni lazima hawezi kwepa.

YNWA
 
Yeah man kwa maneno hakika hatujambo na mpira bila maneno aisee haunogii kabisaaa sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia.

Lesson tumeipata. Umeona eti ma Captain wa Real kabla ya mechi masaa kadhaa walikua wame relax wanacheza kadi yaaani kweli hawakukosea walivyosema presha tunayo sisi na si wao.

Ile gemu naona kuanzia mashabiki mpaka wachezaji waliikamia sana especially baada ya Kipara kushinda EPL waliona sasa tupate kubwa lao na msimu utakua murwa sana la 7 likiwa limepoa Anfield archives.

Next time Klopp na whole Liverpool fraternity tatakua smart zaidi, talk less lets the final score do the talking

YNWA
sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia

Yaani hapo nimecheka balaa
 
sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia

Yaani hapo nimecheka balaa
😂😂😂 Haha whats doesn't kill you makes you stronger.

FSG watufute machozi huyu babu Klopp apewe mpunga sokoni waanunue wachezaji anaowataka kuzidisha ubora maana sifa kuu ya Liverpool ni ku recover 2nd balls muda wowote mpira ukichukuliwa sasa unavyokua na wachezaji wenye umri wa 30+,ina maana intensity itapoa sana. Tunahitaji kuona makinda wakinunuliwa kuleta sapoti maana nina assume 4 3 3 dynamic full backs itaendelea hivyo tunahitaji wakimbiaji wa kumasha amsha haswa.

YNWA
 
Mpira bado mkuu, kwani baskeri yako anita ulii paki wapi?
Kaka mkubwa acha tu kuna saluni moja hivi niliipenda sana sasa saluni yenyewe ipo ghorofani mimi nikapaki baiskeli kwa chini nikasahau kufunga loku nami mwenyewe nikajisahau kush2ka haipo afu nchi za wenyewe hawa utamuuliza nani akuelewe hehehehehe 🤣🤣🤣 ila nimefanikiwa kuipata kaka mkubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom