Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
GAVI (17) atwaa tuzo ya kinda bora La liga mbele ya Vinicius Jr, Pedri na Rodrygo.

Mpaka sasa hajasaini mkataba mpya na Barcelona huku dau lake ni €50m tuu. Liverpool, Bayern Munich na Manchester United wote wapo tayari kumsajili kinda huyo mwenye kipaji mguuni.

Tunasubiri nini kumnyakua huyu dogo?
 
GAVI (17) atwaa tuzo ya kinda bora La liga mbele ya Vinicius Jr, Pedri na Rodrygo.

Mpaka sasa hajasaini mkataba mpya na Barcelona huku dau lake ni €50m tuu. Liverpool, Bayern Munich na Manchester United wote wapo tayari kumsajili kinda huyo mwenye kipaji mguuni.

Tunasubiri nini kumnyakua huyu dogo?
Chelsea tulionyesha nia tangu feb sijui iliishia wapi. Labda sanction na kwa vile sanction imeisha sasa tunakuja na nguvu mpya, ari mpya na kasi mpya
 
Wame improve aisee... Kipindi Cha kina Yaya Toure walikuwa Wana ishia 16 bora,Angalau Sasa hivi Wana uhakika wa kuingia nusu fainali au fainali. Naona soon hawalibeba,Hela ikizidi kumwagwa.Uzuri Wana kocha mzurii.
Sana chini ya Kipara kuna improvement kubwa sana imefanyika pale ni suala la muda tu UCL watachukua maana Boss wake amesema wanaingia sokoni mazima kuboresha kikosi na kwa vile lengo lao kuu sasa ni UCL wataipata.

YNWA
 
😍😍😍😍😍😍😍😍Babu aje tu kama tunamkosa Darwin huyu anatufaa sana.
Mtihani uliopo ni kwamba Bayern analipwa 350k je FSG watamlipa hivyo hivyo ama.

Chaguo langu la kwanza ku replace Mane ni
Darwin Nunez
Chaguo la pili
Gnabry
Chaguo la 3
Nkunku.
Chaguo la 4
Raphinah
Chaguo la 5
Bowen

Kama hao wote tunawakosa basi aje Lewandoski angalau jamaa haumii hivyo na ni point man wa ukweli kama FSG walitoka nje ya strategy kusajili Thiago basi na huyu usishangae.

YNWA
 
Mkuu hawa FSG ubahiri wao unaleta haya machungu yote yaaani kwa uwepo wa Klopp Liverpool ilitakiwa mpaka sasa tuwa pazuri zaidi ya hapa lakini hawatoi ela ya usajili inapotokea fursa ya kuboresha kikosi wao wanakomaa na sell to buy manenos...
Hii timu inahitaji sasa kusukwa upya maana ukiszikiliza maneno ya Babu Don Carlos anasema Liverpool ni wepesi sana kucheza nao kwani wana mfumo mmoja tu na ni rahisi kuwazuia..
Sasa unajiuliza lini Klopp atapewa sapoti sokoni ya kupewa mchezaji design ya Debruyne au Gerrard atakaeleta magoli nje ya kumi 18 pale tumebanwa kama jana.
Thiago ni kipaji lakini akiwa na siku mbaya kazini kama jana ni mzigo na hii inatokana na benchi kupwaya hivyo kumlazimu acheze huku anaumwo matokeo yake ndio alivyocheza jana....
Jana tumepoteza mipira mingi sana kwa Salah na Thiago yaaani sijui revenge iliwakaa sana kichwani kulikoni kusaka matokeo uwanjani...

My wish list usajili ni angalau wawili inatosha sana
Benfica Nunez Forward
Porto Octavio AM
Brighton Bissouma CM
Chelsea Gallagher dynamic
Westham Bowen forward
Aberdeen Ramsey RB
Barcelona Gavi CM
Bayern Gnabry dynamic
Leverkusen Schick dynamic
Roma Zaniolo
Roma Pellegrini
Inter Martinez
Betis Fekir

Wakuodoka bure ana ela
Mane duuh will miss the boy.
Firmino
Ox
Milner
Keita
Phillips
Neco
Henderson

YNWA
Yani umememnukuu vizuri Aselot hafu unasema tuna mapungufu.

Tumepoteza fainal sababu za kiufundi tu kiuchezaji tuliwazidi sanaaa.

Ikiwa mfumo ni mmoja basi utajaza kila aina ya wachezaji ila matokeo ya tabaki vilevile
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom