Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oyaaa
IMG-20220529-WA0117.jpg
 
Dah! Alimzuia vilivyo Vinicius jr, basi tu bahati mbaya tu tukafungwa jana sikulala nilikuwa naweweseka usiku mzima kufungwa sio poa
Relax man fainali lazima atokee mshindi mmoja tu na jana kale ka upepo ka kukosa magoli kalitutembelea tena...
Diaz hakua na siku powa..
Salah hakua na siku powa..
Thiago hakua na siku powa..
Robbo hakua na siku powa..
Trent hakua na siku powa..

Tushukuru hii Real Madrid sio ile ya 2018 otherwise tungeongea mengine.

Klopp atakua na likizo ngumu sana June hii maana lazima aje na jawabu la straika na kiungo...

YNWA
 
Screenshot_20220529_221116_com.android.chrome_edit_347102398667868.jpg

Nottingham Forest wenye UCL 2 wamerejea EPL leo rasmi baada ya kushuka miaka mingi sanaaaaa.

Kama nawaona ma bango yao wakikutana na Arsenal na Manchester City maana mpaka sasa Uefa inawapiga chenga...

YNWA
 
Duuuuh hii timu ina nini lakini mpaka babu profesa kakataa ajira hii.

View attachment 2243919

YNWA

Manjesta hawawaheshimu watu wao jamaa hajifeel yuko nyumani kabisa wanamzarau na kejeli kibao kisa wao wanajiona ndio klabu kubwa na wanahela.

Sisi mtu yoyote akiwa wakwetu lazima tuoneshe tunampenda hata kama anakosea atajisikia yuko nyumbani tu na slogan yetu ile YNWA.

Hao manjesta wao wanataka ushindi tu ukikosea tu kidogo lawama kama zote na wanakuzarau mazima kila kitu wajuaji wao.

Manjesta haiwezi tena kuwa timu Bora ,ni swala la muda tu ndio maana hata Klopp aliwakataa hawana heshima kabisa kwa wafanyakazi wao.
 
Ukimwangalia mane vzuri kwa ukaribu Sana ..

Hata timu ikishinda anavoshangilia ....

Timu ikibeba kombe anavoshangilia ...

Utagundua mane alikuwa Hana furaha yeyote Liverpool

Mane ondoka haraka sana hili timu litakuua bure ,
 
Manjesta hawawaheshimu watu wao jamaa hajifeel yuko nyumani kabisa wanamzarau na kejeli kibao kisa wao wanajiona ndio klabu kubwa na wanahela.

Sisi mtu yoyote akiwa wakwetu lazima tuoneshe tunampenda hata kama anakosea atajisikia yuko nyumbani tu na slogan yetu ile YNWA.

Hao manjesta wao wanataka ushindi tu ukikosea tu kidogo lawama kama zote na wanakuzarau mazima kila kitu wajuaji wao.

Manjesta haiwezi tena kuwa timu Bora ,ni swala la muda tu ndio maana hata Klopp aliwakataa hawana heshima kabisa kwa wafanyakazi wao.
You will never win again ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom