Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tetesi ni tunahusishwa na kuwataka Rafael Leao wa AC Milan, Darwin Nunez wa FC Porto, Ousmane Dembele wa Barca
Hivi kweli Dembele aje Liverpool wa nini sasa kwanza ana tatizo la attitude na ni mzembe wa mazoezi mpaka pale anahitaji mkataba mpya huyu abakie alipo ama asepe zake PSG.

Leao sawa ni dogo anajituma sana na kwa vile sasa Ac Milan imekua ni klabu pacha na Liverpool wanaweza kuuziana wachezaji...

Darwin aje any day of the week tunamchukua japo naona bei kichaa lakini anastahili kutua Liverpool na pia umri wake ana resale value ya maaana sana sana.

YNWA
 
View attachment 2250145

Jamani ndio naona huyu harudi nyuma kashaamua anasepa.

YNWA
Hata Mimi naona aondoke kwenye hili Bata mzinga... Liverpool ni kama kuku Bata mzinga.

Litimu halina shukran... Ona muarabu(muigypt) Salah wa watu anapigana....hakuna appreciatio. Aje man utd tutamthamini.

Huyo kocha madevu(aka fundi redio) anarukaruka tu na mimiwani yake, yaani Bora tu hajachukua ubingwa. Liverpool ni kitimu Cha kizee zee sana.

Hapo mlishindewa nini kunyanyua kwapa, na mna kila kitu.

City hakuna na straiker. Sisi tunamgogoro. Nyie na aseno ni maboga sana
 
Timu ya kizee aisee hakuna noma, timu hio ya wazee tunapambana makombe yote kwenye ngazi ya klabu japo kupambana sio kushinda lakini nia ilikuwepo sasa nikuulize nyie vijana mnakwama wapi hata hilo kombe moja linawapiga chenga....

YNWA
 
Timu ya kizee aisee hakuna noma, timu hio ya wazee tunapambana makombe yote kwenye ngazi ya klabu japo kupambana sio kushinda lakini nia ilikuwepo sasa nikuulize nyie vijana mnakwama wapi hata hilo kombe moja linawapiga
....kama huoni hata kusikia hiusikii, sis tupo kwenye migogoro, wachezaji kugomea, na uliona tumaguire, tu Pogba alivyosumbua.
 
Hata Mimi naona aondoke kwenye hili Bata mzinga... Liverpool ni kama kuku Bata mzinga.

Litimu halina shukran... Ona muarabu(muigypt) Salah wa watu anapigana....hakuna appreciatio. Aje man utd tutamthamini.

Huyo kocha madevu(aka fundi redio) anarukaruka tu na mimiwani yake, yaani Bora tu hajachukua ubingwa. Liverpool ni kitimu Cha kizee zee sana.

Hapo mlishindewa nini kunyanyua kwapa, na mna kila kitu.

City hakuna na straiker. Sisi tunamgogoro. Nyie na aseno ni maboga sana
Wewe n nyumbu halisi...aliyewapa jina la nyumbu hakika hakukosea,mnafanana Kila kitu na NYUMBU
 
....kama huoni hata kusikia hiusikii, sis tupo kwenye migogoro, wachezaji kugomea, na uliona tumaguire, tu Pogba alivyosumbua.
Mkuu changamoto zipo kila timu sio kwenu tu hata sisi huoni Mane kashasema anasepa mazima hivyo mpambane na hali zenu msitafute lawama Manchester United ni zaidi ya mchezaji mmoja mmoja nadhani kwa kumpata ETH ni mwanzo powa sana mpeni muda asafishe timu kuiweka sawa kwa kuvutia wachezaji sahihi wa kuwatoa mlipo na muache kabisa hao wachezaji wa mishahara ya £200k+ wakiwa bado ma kinda matokeo yake hata mpira unawashinda.

Haya wanasema ni giant alielala na sasa yupo tayari kuamka haya ngoja tuone muda utasema.

YNWA
 
Hata Mimi naona aondoke kwenye hili Bata mzinga... Liverpool ni kama kuku Bata mzinga.

Litimu halina shukran... Ona muarabu(muigypt) Salah wa watu anapigana....hakuna appreciatio. Aje man utd tutamthamini.

Huyo kocha madevu(aka fundi redio) anarukaruka tu na mimiwani yake, yaani Bora tu hajachukua ubingwa. Liverpool ni kitimu Cha kizee zee sana.

Hapo mlishindewa nini kunyanyua kwapa, na mna kila kitu.

City hakuna na straiker. Sisi tunamgogoro. Nyie na aseno ni maboga sana
Tim la kizee lilimpiga tim ya kijana Goli 9:0
 
Kuna hizi tetesi za wachezaji ambao wana rekodi za majeruhi naona wanatajwa sana eti kuchajaza nafasi ya Mane
*Pulisic kutoka Chelsea.
*Dembele kutoka Barcelona.

Wasiwasi wangu ni baada ya Klopp kumsajili Thiago akijua fika historia ya kuumia naona hata hawa ma winga wawili wanaweza kutua Liverpool.
Jambo la kukumbuka ni kwamba Mane pamoja ni nadra sana akose hata mechi 5 kwa msimu sababu ya majeruhi tangu amejiunga nasi na pia pale mbele anafiti pote kadri kocha anavyotaka.
Nimejaribu kutazama sokoni wachezaji ambao wame deliver kama Mane na wenye umri wa chini na mpaka sasa naona wawili tu

*Christopher Nkunku wa RB Leipzig huyu anacheza namba 10,winga zote mbili kushoto na kulia na pale kati kama false 9 akiwa mchezaji bora wa msimu huu Bundesliga akiwa na magoli 35 na assist 20 akicheza mechi 51 katika mashindano yote. Ana miaka 24. Akicheza kama second striker amekua bora zaidi. Bei yake ni £50m+ maana Leipzig wanaona atazidi kua bora hivyo dirisha la 2023 atakua bei ghali zaidi. Timu zinazomtazama ni Liverpool, Chelsea, PSG, Manchester United, Tottenham na Arsenal.

* Darwin Nunez ame perform vyema sana Benfica na Champions league alionyesha uwezo. Amecheza mechi 41 msimu huu na katika mashindano yote ana magoli 34 na assist 4. Ana miaka 22. Anang'ara zaidi akicheza Centre Forward na kwa vile tuna Robertson na TAA kupiga klosi za ukweli naamini angafumania nyavu haswaa. Bei yake haeleweki kila kukicha magazeti wanaadika yao. Kwa mara ya kwanza tulivyokutana nao UCL bei ilikua £60m lakini sasa imepanda mpaka eti £85m. Timu zinazomtazama ni Liverpool, Real Madrid, PSG, Manchester United.

Kuna wengine pia wanatajwa japo naona kama viatu vya Mane kwao ni ishu sana kuleta impact EPL nao ni

*Abou Diaby wa Bayern Leverkusen ana miaka 22 ni winga wa kushoto. Mashindano yote msimu huu amecheza mechi 32 akifunga goli 13 na assist 12. Bei yake ni £35m. Timu zinazomtazama Liverpool, Arsenal, Chelsea, Juventus.

*Raphinah kutoka Leeds United amecheza mechi 35 msimu huu amefunga goli 11 ana assist 3. Bei yake ni £50m+. Tetesi ni kwamba Liverpool watamtumia Minamino ajiunge na Leeds ili kushusha bei ya Raphinah mpaka angalau £25m. Timu zinazo mtazama ni Liverpool, Bayern, Barcelona, Chelsea, Manchester United, Newcastle.

*Cody Gakpo wa PSV Eindhoven ana miaka 23 ni Winga wa kushoto kwa msimu huu amecheza mechi 27 amefunga magoli 12 na assist 13. Bei ni £20m. Timu zinazomtazama ni Liverpool, Dortmund, Tottenham.

*Jarrod Bowen kutoka Westham. Msimu huu amecheza mechi 35 ana amefunga magoli 12 na kutoa assist 12. Bei yake £40m. Timu zinazomtazama Liverpool, Arsenal.

Nafikiri Nkuku anaweza kuwa replacement nzuri ya Mane ingawa nina wasiwasi na performance ya wachezaji watokao Bundesliga kuflop wakifika EPL kama ilivyowatokea kwa Sancho, Werner. Rafinha kwa kuwa amelizoea soka la EPL anaweza kuwa chaguo sahihi zaidi kwa kuwa hatatohitaji muda wa kuzoea ligi.
Ila Nunez kuna kila sababu ya kuwa naye ili kuongeza wigo wa striking force hasa msimu ujao ambao tunahitaji kuwa more fiercely kutafuta alama 95+.
Man city wameamua kwa dhati, nahisi Haland atakuwa bora kwani atakuwa na msaada mkubwa kutokea kulia.
Kumbe kuwapata wawili kati Nunez, Raphinha na Nkuku itakuwa bora. Kwangu ningependekeza Raphinha kwani ataingia moja kwa moja kisha Nunez.
 
Siwezi kuacha kuipenda na kushabikia Liverpool ILA Ili swala la la sadio mane kutaka KUONDOKA na tukiruhusu aondoke kisa sijui mshahara litaniuma sana na litaondoka na sehemu kidogo ya ushabiki wangu kwa hii timu yangu pendwa...tusijidanganye kuwa tunaweza pata mtu wa kuziba pengo sadio mane kwa uharaka namna hiyo hao wanaowika kwenye hizo ligi nyingine wengi tu washakuja na KUONDOKA bila lolote....Salah,sadio,firmino hawa watu pale mbele watufanyia MAKUBWA sana ingekuwa sahihi mtu akichoka anaondoka kwa heshima ila sio eti mshahara ndio liwe tatizo kwa timu kama yetu tulipofikia aisee miaka karibia mitano sijui tunajiendesha kwa faida tunashindwaje kubakisha watu wetu muhimu wakat huo tukitafuta warithi wao taratibu...DIAZ KWANGU MIMI BADO WA KAWAIDA SANA SEMA KAJA KIPINDI KIZURI AMBACHO TIMU INAPAMBANA POA ILA HUYU DIAZ NINA UHAKIKA KAMA ANGEIKUTA ILE LIVERPOOL WALIOIKUTA WAKINA MANE SALAH NA FIRMINO TUNGEKUWA TUNAMTUKANA NOW....HAWA WATU LAZIMA TUWAPE HESHIMA YA KIPEKEE WALIPOTUTOA SIO PADOGO HAO TUJARIBU KUWAONA WATAZIBA MAPENGO YAO NI NDOTO ZA MCHANA..
 
Kiukweli swala la.MANE wamiliki wa Liverpool wanachekesha. Mtu kama MANE unamlipaje pesa ndogo vile afu unakaa tu muda unaenda humpi dili nono. Mane sio wa kulipwa hiyo pesa sema tu wakala wake sio sawa na yule hayati Mino raiola na kina mendez engesha hama kitambo saana na sili nono angeshapata kitambo. Angetaka kuondoka hata last year timu kama CITY, CHELSEA Wangemchukua na kumpa pesa nzuri
 
Nafikiri Nkuku anaweza kuwa replacement nzuri ya Mane ingawa nina wasiwasi na performance ya wachezaji watokao Bundesliga kuflop wakifika EPL kama ilivyowatokea kwa Sancho, Werner. Rafinha kwa kuwa amelizoea soka la EPL anaweza kuwa chaguo sahihi zaidi kwa kuwa hatatohitaji muda wa kuzoea ligi.
Ila Nunez kuna kila sababu ya kuwa naye ili kuongeza wigo wa striking force hasa msimu ujao ambao tunahitaji kuwa more fiercely kutafuta alama 95+.
Man city wameamua kwa dhati, nahisi Haland atakuwa bora kwani atakuwa na msaada mkubwa kutokea kulia.
Kumbe kuwapata wawili kati Nunez, Raphinha na Nkuku itakuwa bora. Kwangu ningependekeza Raphinha kwani ataingia moja kwa moja kisha Nunez.
Upo sahihi Mkuu hawa wachezaji import kutoka Ujeremani wamekua na performance ya kawaida sana pale Uingereza kiasi sasa hata timu zinawafuata kwa tahadhari lakini wakati mwingine hii ni kutokana na mfumo wa timu husika especially kwa Werner na Sancho.
Labda kwa Liverpool watatazama zaidi ubora wa Thiago kikosini alivyo sasa kuona kumbe wanaweza kuleta mbadala wa Mane kutoka Ujeremani na aka shine.

Julian Ward kaanza kazi na kibarua kigumu sana kwani Mane analeta mambo mengi sana mchezoni nadhani ukitazama hata kilomita za msimu huu kiksosini atakua tano 5 klabuni kuonyesha anavyojituma hata asipokua na mpira anahangaika mno.

Lakini pia tukumbuke Mane kimpira amekua bora kuanzia January 2022 kama mvinyo wa kizamani wa kirusi kadari anavyozeeka ndio anakua bora zaidi. Sasa tulipofikia ishu ya Mane imekaa kimtego sanaa maana kataka kuodoka akiwa kwenye form bora kabisa huku ma forward wenzie Firmino, Jota na Salah wakiwa na fomu ya kusuasua sana tofauti na tulivyowazoea...

Nina imani na Julian Ward baada ya kutuletea Fabio na Diaz naamini na hili atafanya jambo tuwe na subira.

YNWA
 
Siwezi kuacha kuipenda na kushabikia Liverpool ILA Ili swala la la sadio mane kutaka KUONDOKA na tukiruhusu aondoke kisa sijui mshahara litaniuma sana na litaondoka na sehemu kidogo ya ushabiki wangu kwa hii timu yangu pendwa...tusijidanganye kuwa tunaweza pata mtu wa kuziba pengo sadio mane kwa uharaka namna hiyo hao wanaowika kwenye hizo ligi nyingine wengi tu washakuja na KUONDOKA bila lolote....Salah,sadio,firmino hawa watu pale mbele watufanyia MAKUBWA sana ingekuwa sahihi mtu akichoka anaondoka kwa heshima ila sio eti mshahara ndio liwe tatizo kwa timu kama yetu tulipofikia aisee miaka karibia mitano sijui tunajiendesha kwa faida tunashindwaje kubakisha watu wetu muhimu wakat huo tukitafuta warithi wao taratibu...DIAZ KWANGU MIMI BADO WA KAWAIDA SANA SEMA KAJA KIPINDI KIZURI AMBACHO TIMU INAPAMBANA POA ILA HUYU DIAZ NINA UHAKIKA KAMA ANGEIKUTA ILE LIVERPOOL WALIOIKUTA WAKINA MANE SALAH NA FIRMINO TUNGEKUWA TUNAMTUKANA NOW....HAWA WATU LAZIMA TUWAPE HESHIMA YA KIPEKEE WALIPOTUTOA SIO PADOGO HAO TUJARIBU KUWAONA WATAZIBA MAPENGO YAO NI NDOTO ZA MCHANA..
Mkuu upo sahihi mtihani uliopo hapa ni kwamba Mane hajakataa ofa yoyote ya Liverpool sababu Liverpool walitarajia ligi iishe na ndio waanze mazungumzo na wakala wake June 2022 na walikua positive sana kwamba haitakua kama ishu ya Salah sasa mitihani ni pale Mane kawawai mapema sana huku timu kadhaa wakisuburia rasmi Liverpool kukaribisha wanunuzi ambao wanaotajwa sana sana ni Bayern Munich na PSG kumhitaji na kutoa mshahara mnono sana wa £300k + na ma bonus za kutosha... Hivyo upo sahihi kusema kama kweli ni pesa basi zipo maana timu inatengeneza ela tangu atue Klopp wamekua wakifanya vyema na kuvutia wachezaji wazuri na makampuni bora ya biashara kuwekeza Liverpool kama Nike nk ina maana Mane kacheza kalata yake vyema sana kwenye hili katumia ule msemo ujaja kuwai hapa kawakamata pazuri sana FSG.

Upande wa pili lazima tukumbali na data zinaonyesha hazidanganyi hata kidogo kwamba Liverpool kiwango kimeshuka kwa kiasi fulani sababu umri loss of form za wachezaji wetu.. Zamani Liverpool ilikua ni moja ya klabu bora kabisa kwenye pressing especially kwenye final 3rd wanayo operate Mane Firmino Salah tulikua hatupoi lakini kwa sasa nadhani EPL tupo nafasi ya 3 au 5 kwenye pressing ya final 3rd maanake ni kwamba wachezaji wetu bora pale mbele wapo kwenye decline na sababu zipo wametumika mno kabla ya Jota na Diaz kutua Liverpool sasa hilo tu litakupa picha Liverpool ya Klopp ya zamani na sasa kuna tofauti na hili limechangiwa na umri wao definitely wear na tear ime catch up na klabu haikusubiri hali iwe mbaya chap waka sajili Jota na Diaz hawa ni damu changa lakini kama ulivyosema ni mtihani sana kuziba nafasi ya Mane lakini lazima klabu ipambane sana kuhakikisha Klopp ana maintain competitive edge ya kikosi kwa kusajili wachezaji watakaotutoa tulipofikia kwenda mbali zaidi kwa kushinda makombe zaidi... Diazi na Jota wana offer output tofauti kabisa na Mane Salah Firmino pengine Klopp sasa atabadili hata mfumo kutoka 4 3 3 attacking kwennda mfumo mwingine utakaoleta matokeo mapya kwa kua hata wachezaji anaosajili wapo tofauti na hawa wa zamani. Tuwe na subira na hii ya Klopp kusaini mkataba mpya huku akijua Mane hayupo kwenye mipango yake itakua alifanya kikao na kuhakikishiwa maboresha ya kikosi.
Hivyoo kama Mane moyo umeshahama na mpunga hapati roho safi asepe zake mapema na kingine hua nasema hakuna aliezaidi ya timu hivyo wachezaji watakuja na wataodoka na Liverpool itabaki kama Liverpool maana wao ni ma professional hawana mapenzi ya dhati ni Klabu kwamba watacheza hata bure la hasha wapo pale kikazi na maslahi kwao lazima yawe value for money mtihani sasa ukitazama Chelsea, Manchester City, Manchester United wanawalipa ma top performers wae ela za maana huku Liverpool tukilipa pea nuts na vijana wakijitoa kama wana hisa vile sababu this boys wapo humble sana ambayo ni moja ya must have ukitaka kusajiliwa Liverpool...

FSG wanaimani hivi kwamba Mane, Salah, Firmino nk hawakuja Liverpool wakiwa established names kwenye mpira ama kama walivyo sasa hapana. FSG walitumia data proven statistics ku assemble hiki kikosi from the scratch na kupata timu ilivyo sasa hivyo wao wanaamini Klopp na mawakala wa timu wana nafasi ya kumpata next Mane, next Salah, next Fabinho nk ndio maana hawapo tayari kulipa mapesa ya kutisha kuwabakiza hawa wachezaji Liverpool.

Tujikumbushe Gini dogo alichezeshwa out of position na Klopp lakini hakuwai lalamika nadhani gemu pekee alicheza kama second 10 ni ile gemu tuliwapiga Barcelona goli 4 Anfield hio gemu tu ndio Gini alicheza namba yake sahihi na aling'ara lakini alivyotaka alipwe kutokana na mchango wake klabuni akiwa ni Mr Fit all the time jamaa zako FSG wakasema hawalipi hio hela huku useless Britons wakilipwa hio ela huku wengine wakiwa wodini muda mwingi kuliko uwanjani lakini waligoma balaa kumpa dogo mshahara wa £150+ ma bonuses kwa wiki lakini chap Captain buyoo akapewa £150+huku akiwa na output ya kawaida. Kimsingi pale pale ndio taa ilitakiwa kuwaka kwa Mane, Firmino na Salah kuhusu mikataba yao kwamba FSG wapo tayari mkataba uishe lakini sio wao kutoa mi hela mchezaji abakie klabuni...

Mane anaodoka akiwa kwenye kiwango bora akiwa ame shine pale kati na huku akiwa ni mr fit na magoli muhimu sana klabuni. Dogo yupo humble hana drama off the field yeye ni kazi kazi tu.

Tayari spinning zishaanza kumtishia Mane kwamba yatamkuta ya Emre Can, Coutinho au Gini kama akihama na mpira wake ndio umefika mwisho jamani who cares especially ukiwa 30yrs na ukilipwa 300k hata kiwango kikishuka sio haba pension itakua murwa sana kwao.

Kwa bahati mbaya sana haya mambo hua ni baina ya Klabu na mchezaji na hua kuna vipengele vya kulinda siri ya mkataba hivyo ukweli wanajua wao tu na sio sisi..

Tuwe na subira inaweza ikawa design kama Ramos akiwa Real Madrid vile alikua kutishia kuodoka anapewa mpunga wa maana anatulia tuliii hivyo msije shangaa Mane huyu huyu akasaini Liverpool mkataba wa miaka miwili na mpunga safi.

Muda utasema. Ndoto yangu Mane abakie lakini usajili wa center forward uwe pale pale kwa ajili ya Klopp revolution.

Tatizo lilianzia kule The Saints alikolipwa 45k per week. Alipoibuliwa na JK nafikiri alifika 80k per week kabla ya marekebisho ya 2018/19 yaliyomfikisha 100k. Sidhani kama FSG watafika 300k kwa mchezaji wa miaka 30 tena mwafrika, labda wafike 200k naye awe royal.
Vinginevyo JK atakuwa tayari auzwe na kuibukia kwa hawa machalii, si ajabu akaingia kwa aggressive player Raphinha mazima huku Nkuku / Nunez akifiatiliwa mahala pa Origi.
 
James Milner has accepted to reduce his salary and sign a new contract with Liverpool until June 2023. #LFC

Jurgen Klopp wanted him to stay, it’s now set to be completed as expected.

Hivi wapo serious kweli, Mtu kama Milner unamuongezeaje mkataba? FSG wao wanaangalia pesa kuliko kuiangalia tim, ndio mshahara umeshushwa lakini unampaje mkataba mzee?
 
Kilaka hichoo... Kinacheza namba zote.
Ndo maana Klopp anataka kibaki
 
James Milner has accepted to reduce his salary and sign a new contract with Liverpool until June 2023. #LFC

Jurgen Klopp wanted him to stay, it’s now set to be completed as expected.

Hivi wapo serious kweli, Mtu kama Milner unamuongezeaje mkataba? FSG wao wanaangalia pesa kuliko kuiangalia tim, ndio mshahara umeshushwa lakini unampaje mkataba mzee?

Fellow Kop hata hiyo ya kumshusha mshahara ni kituko kingine cha hawa FSG achilia mbali kumbakisha sasa unamshushaje mshahara mfanyakazi ?
 
Mimi nililiona muda Sana ,mane hakupewa heshima yake pale ,na facial expressions ilikuwa inajieleza yenyewe uwanjani
IMG-20220606-WA0008.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom