Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo lilianzia kule The Saints alikolipwa 45k per week. Alipoibuliwa na JK nafikiri alifika 80k per week kabla ya marekebisho ya 2018/19 yaliyomfikisha 100k. Sidhani kama FSG watafika 300k kwa mchezaji wa miaka 30 tena mwafrika, labda wafike 200k naye awe royal.
Vinginevyo JK atakuwa tayari auzwe na kuibukia kwa hawa machalii, si ajabu akaingia kwa aggressive player Raphinha mazima huku Nkuku / Nunez akifiatiliwa mahala pa Origi.
Yeah Man ni kwamba ukiachana na Thiago alietua akiwa established na mshahara wake kuanzia 200k kwa wiki hawa wengine wote wamekuzwo walipofikia sasa ni juhudi zao na mbinu za Klopp kupata all the best kutoka kwao hivyo hii ni win win situation kwamba Klopp kawafanya kua World beaters na wenyewe wameichukua fursa hio kuifanya kua Liverpool moja ya klabu bora kabisa uwanjani na nje ya uwanja tangu ametua Klopp.

Sina hakika kama FSG watabidili approach yao ya hii biashara kwamba FSG wata fund upanuzi wa uwanja ma kuboresha asset za klabu zikiwemo viwanja vya mazoezi nk lakini suala la kununua ni klabu ijiedeze yenyewe bila mkopo wala ela za FSG haziingii direct kwenye welfare za wachezaji. Hivyo kutokana na hilo wali adapt ule mfumo wa buy to sell ama buy develop sell design kama Solanke sasa hio ela ikipatikana inarudishwa kikosini kwa kununua wachezaji wengine.
Hili la mshahara sasa ni kwamba hawataki kuleta disharmony kikosini maana ukimlipa Salah au Mane 400k kwa wiki sasa unadhani Alisson, VVD, Fabinho watabakia walipo ama nao watasema wanataka incremental chap chap... Kwa hili la ku balance payroll wamejitahidi sana lakini nadhani hawakuweka hesabu bila mchezaji kama Salah anafanya vyema uwanjani na nje ya uwanja kuuza jezi, matangazo nk kua juu ki hivi na akistahili kabisa mpunga wa 300k...
Hii ishu naona itawaweka sawa hawa FSG wajipange ku handle haya mambo maana sitegemie Diaz abakie 95k mpaka afike miaka 30 hivyo watajikuta tena kwenye hii hali hii hii ya Salah au Mane.

Muda utasema ndugu nini kitatokea dirisha hili maana mpango ulikua kuboresha Midfield kwa kusjili damu changa na winga mmoja wa kulia kusaidiana na Salah ama strika wa kati lakini hii ishu ya Mane sasa imeleta challenge mpya kwa Julian Ward kwanza kupata bei sahihi ya Mane, bei sahihi ya Phillips, bei sahihi ya Neco, bei sahihi ya Keita 😂, bei sahihi ya Ox..hapo sasa wakiuzika hao ndio tutaona kiasi gani kimepatikana ndio wasonge sokoni sasa kununua.

Soon kutukucha.

YNWA
 
Mmeanza kuongeza mikataba wazee huyo Babu milner ni WA kupewa mkataba kweli
 
Aisee

Hivi Liverpool uongozi wetu wanatumia akili gani kuwaza?🥲

Timu litapigwa mabao nje ndani next season.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Tulia miss Liverpool hakuna chenye mwanzo kisichokua na mwisho japo mwisho huu mchungu sana lakini hakuna namna sasa dogo ameanza kuongea mambo mazito nadhani huyu akifunguka zaidi ni aibu kwa Liverpool.
Ushauri wangu kwa Mane bado ana miaka kadhaa kucheza kwenye high level hivyo atulie yeye asepe zake Bayern hana haja ya kuchonga sana tumemwelewa ana uchungu sana lakini duuh dogo uwanjani hakuwai kuonyesha wasiasi yeye ni kazi kazi muda wote...

Kafanya pia uungwana sana kusema mapema hakusubiri dirisha likaribie mwishoni hivyo hata klabu hapa haina cha kusema wamekosa mbadala wake na bla bla zingine..

Wamgemuacha tu afunguke yote .
Timu ya kijinga hii Captain..

Yaani eti Milner anabaki,Mane anaondoka!

Haya,nani atakuja kuziba pengo lake??
Na akija kuziba,atakubali kulipwa mshahara sisimizi na acheze Kwa moyo wote kama Mane.

Kwa ujinga wanaoufanya nadhani nitajitoa kabisa kushabikia mpira.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20220606_215430.jpg

Mwenye sababu sahihi kwa nini Milner apewe mkataba mpya wa mwaka mmoja ili hali Origi alibaniwa game kadhaa ili mkataba usije renew automatically mwaka mmoja.

Kuna sababu kweli huyu babu kupewa nyongeza ya mwaka mmoja?? Hua namuona sasa jambo analofanya ni kula viatu kweli kweli yaaani kamulizine Pulisic jibu analo ma wengine wengi...

Hii klabu jamani haya. Ina maana huyu Henderson tunae mpaka 2027🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭

YNWA
 
View attachment 2252675

Mwenye sababu sahihi kwa nini Milner apewe mkataba mpya wa mwaka mmoja ili hali Origi alibaniwa game kadhaa ili mkataba usije renew automatically mwaka mmoja.

Kuna sababu kweli huyu babu kupewa nyongeza ya mwaka mmoja?? Hua namuona sasa jambo analofanya ni kula viatu kweli kweli yaaani kamulizine Pulisic jibu analo ma wengine wengi...

Hii klabu jamani haya. Ina maana huyu Henderson tunae mpaka 2027

YNWA
Maajabu hayataisha duniani akiyanani

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Wamgemuacha tu afunguke yote .
Timu ya kijinga hii Captain..

Yaani eti Milner anabaki,Mane anaondoka!

Haya,nani atakuja kuziba pengo lake??
Na akija kuziba,atakubali kulipwa mshahara sisimizi na acheze Kwa moyo wote kama Mane.

Kwa ujinga wanaoufanya nadhani nitajitoa kabisa kushabikia mpira.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Miss Liverpool kumbe hua huelewi tukisema Liverpool haina plastic fans hahahaha maanake ni kwamba tupo kwenye raha na kwenye shinda haijalishi nani anaodoka...

Nikukumbushe kwenye hii generation ya sasa sidhani yupo aliefika levo za Gerrard lakini FSG hawa hawa walimnyima mkataba wake wa mwisho bila hata maelekezo yaaani tuna wamiliki waajabu wana operate hii biashara kivyao kabisa mie ukiniuliza hata huyo Klopp wanalewana vipi sielewangi... Unaweza kuta hata Klopp kasema Mane apewe mkataba mpya lakini wenyewe wataibuka na hili na lile yaaani ma Yankees ni pasua kichwa.

Ushauri wangu kwako ni kwa Liverpool uwe tu ma moyo wa kusamahe kwani Liverpool ipo kabla ya hao FSG yaaani wao wameikuta na watakuja kuicha hivyo ukitoa FSG klabu yetu mbona haina makuu.. Tatizo ni FSG wanataka wao ndio wachukue ela Liverpool lakini sio wao walete ela Liverpool design kama Roman mpaka anasepeshwa alikua anaidai Chelsea £1.2b yaaani imagine mapenzi aliyokua nayo na ile timu sio ya kawaida kabisa. Sie hawa FSG wao mapenzi kwao ni pesa na ndio hata ilvyotokea Corona ndio ilikua klabu ya kwanza kuwapa likizo wafanya kazi kabla ya mashabiki kuwajia juu na kughaili huo mpango hata ilipokuja Super League walikua ni waanzilshi maana walijua fika pesa ya maana ilikuwepo na pia ilikua inaleta capping ya mishahara nk yaaani hawa FSG ni jibu kwetu lakini hatuna namna lazima twende nao hivyo maana washasema hawauzi hii klabu leo wala kesho kwa nini wauze wakati ndio biashara yenye dhamani na inakua kwa kasi kwenye subsidiaries zao zote hivyo tutulie jamani.

Watuachie timu yetu waondoke.
Wanakuwa kama wanga vile!
 
Kweli wonders shall never end 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna habari zinasikitisha halafu zinachekesha.
Mpaka kocha anamng'ang'ania lazima kuna kazi nzuri anayoifanya kule dressing room. Na mambo mazuri yanayotokea uwanjani yawezekana kuna mkono wake mrefu huko. Lazima kuna kitu. Huyu atakuwa mtuliza dhoruba ikitaka kutokea kule dressing room, huyu atakuwa ni mshawishi mkubwa wa kuweka morale kwenye timu. Sio bure kuna kitu
 
View attachment 2252675

Mwenye sababu sahihi kwa nini Milner apewe mkataba mpya wa mwaka mmoja ili hali Origi alibaniwa game kadhaa ili mkataba usije renew automatically mwaka mmoja.

Kuna sababu kweli huyu babu kupewa nyongeza ya mwaka mmoja?? Hua namuona sasa jambo analofanya ni kula viatu kweli kweli yaaani kamulizine Pulisic jibu analo ma wengine wengi...

Hii klabu jamani haya. Ina maana huyu Henderson tunae mpaka 2027

YNWA
nadhani ataendelea kuwepo na yumkini atakua sehemu ya benchi la ufundi....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom