Duh comments z hivi karibuni kwenye huu uzi mlikuwa mnamuita firmino as best false 9 in the world leo mnamuweka kwenye list ya exodus..... And
Gallagher not for sale
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu ya maneno ndo maana Wana care Liverpool ku lose.More people care about Liverpool losing than their own team winning
Kama unajua Kila kitu kina mwisho,kwanini u judge kuhusu timu nyingine kufanya vibaya Kwa sababu Liverpool kufanya vizuri.Kila kitu kina mwanzo na mwisho, ni kweli wakati yupo kwenye Peak Firmino alikuwa best false 9, lakini kwasasa umri umeenda na uwezo umeshuka ndiyomana anatumiwa kama squad player.
Hata Drogba ulipofika muda aliamua kupisha wengine waitumikie Timu.
Fahamu Logic.
Mane sikumuelewa alivyo piga tuta fainali ya FA,Alivyo rudi Kwa wachezaji wenzake sijui alikuwa anacheka niniUkimwangalia mane vzuri kwa ukaribu Sana ..
Hata timu ikishinda anavoshangilia ....
Timu ikibeba kombe anavoshangilia ...
Utagundua mane alikuwa Hana furaha yeyote Liverpool
Mane ondoka haraka sana hili timu litakuua bure ,![]()
ETH alionesha haja support uwepo wake huyo jamaa.Maana aliulizwa vipi uwepo wake RR kwenye consultant role. Ten Haag akajibu in short it's decision of the club.
. Inachangaza.Sema jamaa kajishitukia kaamua kuachia ngazi licha ya kuwa alikuwa na plan kibao na timu akiwa na ETH lakini ndo hivyo,kajiongeza mweyewe.Hiyo paragraph ya mwisho ni maoni yako tu na matamanio.Manjesta hawawaheshimu watu wao jamaa hajifeel yuko nyumani kabisa wanamzarau na kejeli kibao kisa wao wanajiona ndio klabu kubwa na wanahela.
Sisi mtu yoyote akiwa wakwetu lazima tuoneshe tunampenda hata kama anakosea atajisikia yuko nyumbani tu na slogan yetu ile YNWA.
Hao manjesta wao wanataka ushindi tu ukikosea tu kidogo lawama kama zote na wanakuzarau mazima kila kitu wajuaji wao.
Manjesta haiwezi tena kuwa timu Bora ,ni swala la muda tu ndio maana hata Klopp aliwakataa hawana heshima kabisa kwa wafanyakazi wao.
Hee!! Halafu Ngao ya jamii niHichi kibwege yani kinapata taaabu na liverpool angalia skysports,liverpool utawaona!..
Kinawashwa washwa, itabidi klopp awakune tena.
Tatizo binadamu tuna sahau sana.There was something wrong in UCL 2019 FINAL
Ngao ya jamii kama watafika penalty Liverpool atachukua.Hee!! Halafu Ngao ya jamii ni
Man city vs Liverpool msimu ujao.
Tusubiri tuone.
Timu zifanye usajiri.Tuone ligi tamu
Liverpool haitafika penalty. Imesajiri FabiozNunez ana ingia muda wowote,Bissouma,Bowen,Schick,Garrager,Nkunku na Fekir.Ngao ya jamii kama watafika penalty Liverpool atachukua.
Hili Timu bila ya penalty hua linashinda njaa.
Kazi anayopiga mshahara wa laki moja ,unataka mtu afurahie nin,yaan anazeeka Hana pesa kisa liverpoolMane sikumuelewa alivyo piga tuta fainali ya FA,Alivyo rudi Kwa wachezaji wenzake sijui alikuwa anacheka niniView attachment 2244082

Ps5 iyo ndugu acha ujingaKikosi bora cha Uefa msimu huu.
View attachment 2243676
Siwaoni Chelsea hapo. Asanteni kwa kushiriki jamani.
YNWA
Kaokota kikosi Cha PlayStationHuyo mpemba anafanya nini kwenye hicho kikosi, toa hiyo takataka weka Vin.
Imagine being ASSTingisha wowowowoView attachment 2243167

Sahii kabisaDon Carlos sio mtu mzuri kabisa. Timu imejaa vibabu Kross, Benzema, Modric nk lakini duuuh ni utulivu yaaani wanatuacha mpira tucheze sie wao ni kaunta tu...
Game plan ya Klopp jana ilifeli aisee japo nao wachezaji walijiaminisha ni revenge mission kuliko kwanza watulie ushindi hayo maneno ya revenge waseme kwa kunyanyua kwapa.
YNWA


Uongozi wa liver Ni wakipumbavu Sana, wamegoma kumuongezea mshahara mane.Napenda kusikia Mane bado yupo Liverpool hadi sasa naumia kwa tetesi za Mane kuondoka.
Hivi ile final mbovu kabisa kuwahi kutokea kati ya liver na Tottenham man of the match alikua nani?