Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jiondoshe kwenye hilo Kundi, Kwa kipindi chote umecheza Fainali 3 tu ambazo umeshinda 2 na kufungwa 1 sasa uhalali wa kusema wewe ni Tishio kwenye Fainali huwezi kuwanao.

Hata Liverpool Fainali 4 mfululizo za mwanzo hakupoteza akaja akapoteza ya 5.
Naongeza hapo na Ajax
1653836825634.png
 
Liverpool 4 (1985 against Juventus, 2007 against AC Milan, 2018 against Madrid, 2022 against Madrid).
Hizo data nilikosea imebidi nizifuatilie
Waliofeli mara nyingi kwenye final ni Juventus 7 times
Wakafuatia Benefica na Bayern Munich 5 times ndipo mkaja nyie na Milan 4 times
1653837323747.png
 
Fainali tatu wewe huna uzoefu wowote wewe.

Ungekuwa umechukua mara 6 sawa sasa una makombe 2 tu halafu una kelele hivyo.

Chelsea ni timu ndogo sana hapo uefa fainali tatu kuanzia chelsea ianzishwe mbona kama chache sana.
Ninyi mnazo nyingi wakati wengine wamelala, atleast Real Madrid wanaproove kwamba walistahili na zile za nyuma
 
Mkuu hawa FSG ubahiri wao unaleta haya machungu yote yaaani kwa uwepo wa Klopp Liverpool ilitakiwa mpaka sasa tuwa pazuri zaidi ya hapa lakini hawatoi ela ya usajili inapotokea fursa ya kuboresha kikosi wao wanakomaa na sell to buy manenos...
Hii timu inahitaji sasa kusukwa upya maana ukiszikiliza maneno ya Babu Don Carlos anasema Liverpool ni wepesi sana kucheza nao kwani wana mfumo mmoja tu na ni rahisi kuwazuia..
Sasa unajiuliza lini Klopp atapewa sapoti sokoni ya kupewa mchezaji design ya Debruyne au Gerrard atakaeleta magoli nje ya kumi 18 pale tumebanwa kama jana.
Thiago ni kipaji lakini akiwa na siku mbaya kazini kama jana ni mzigo na hii inatokana na benchi kupwaya hivyo kumlazimu acheze huku anaumwo matokeo yake ndio alivyocheza jana....
Jana tumepoteza mipira mingi sana kwa Salah na Thiago yaaani sijui revenge iliwakaa sana kichwani kulikoni kusaka matokeo uwanjani...

My wish list usajili ni angalau wawili inatosha sana
Benfica Nunez Forward
Porto Octavio AM
Brighton Bissouma CM
Chelsea Gallagher dynamic
Westham Bowen forward
Aberdeen Ramsey RB
Barcelona Gavi CM
Bayern Gnabry dynamic
Leverkusen Schick dynamic
Roma Zaniolo
Roma Pellegrini
Inter Martinez
Betis Fekir

Wakuodoka bure ana ela
Mane duuh will miss the boy.
Firmino
Ox
Milner
Keita
Phillips
Neco
Henderson

YNWA
Duh comments z hivi karibuni kwenye huu uzi mlikuwa mnamuita firmino as best false 9 in the world leo mnamuweka kwenye list ya exodus..... And Gallagher not for sale

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee naona umeimbuka kwa bwebwe zote...

Haya ndugu wewe faino materio hujakutana na huyo Real Madrid msimu huu tena mara mbili?? Na ukaambulia kipigo safiii bila ubishiiii.

Sio Chelsea, sio Manchester City mwenye mdomo mbele ya Real Madrid wote tumepigika roho safiiiiii bila majibu

YNWA
Waambie hao bata maji , wote wanao leta vurugu humu wamechezea kichapo kwa madrid na haijalishi walifungwaje ila walitolewa
 
Duh comments z hivi karibuni kwenye huu uzi mlikuwa mnamuita firmino as best false 9 in the world leo mnamuweka kwenye list ya exodus..... And Gallagher not for sale

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanzo usiokua na mwisho ndugu. Huyu dogo sisemi odoke sababu hana jipya hapana ishu hapa ni model ya FSG kwenye usjili wa uza ndio nunua huku wakitupia jicho kwenye payroll sasa kama Klopp atahitaji kuingia sokoni hakuna namna lazima hapa aamue kuuza ili aedane na matakwa ya FSG... Kwa hawa wamiliki ni kikwazo kwa Klopp kua n kikosi cha ushindani kwenye nafasi muhimu. Usione akina Mane wanasepa zao ni kwamba ni michosho kukuza hii brand huku wakilipwa kiduchu, tazama Sancho anakula £350k kwa wiki huku Mane akilipwa £100k kwa wiki na umri ndio huo umekwenda vile duuh.. Maisha noma sanaa..
Wewe tazama kwa Manchester City bila kuuza wamesajili ma fowadi wawili Erling na Alvarez hii inatuma ujumbe kwa wengine tujipange.

Na Chelsea mnaelekea kua chini ya 'FSG' wapya maana na huyo bosi mpya ni Yankees hivyo mjiadae kuuza ndio mnunue 😀😀😀😀😀

YNWA
 
Waambie hao bata maji , wote wanao leta vurugu humu wamechezea kichapo kwa madrid na haijalishi walifungwaje ila walitolewa
😀😀😀😀😀😀😀😀 Wanajipoza tu kiaina na ndio raha ya mpira kucheka kwa zamu na kununa kwa zamu..
Hakuna kidume kutoka EPL mbele ya Real Madrid msimu huu yaaani wote tumekwama chaliiiiiiii.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom