dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,344
dk 350 za fainali hatujafunga goli hata moja,Relax man fainali lazima atokee mshindi mmoja tu na jana kale ka upepo ka kukosa magoli kalitutembelea tena...
Diaz hakua na siku powa..
Salah hakua na siku powa..
Thiago hakua na siku powa..
Robbo hakua na siku powa..
Trent hakua na siku powa..
Tushukuru hii Real Madrid sio ile ya 2018 otherwise tungeongea mengine.
Klopp atakua na likizo ngumu sana June hii maana lazima aje na jawabu la straika na kiungo...
YNWA
something was wrong kwenye approach zetu aiseee,
. Inachangaza.Sema jamaa kajishitukia kaamua kuachia ngazi licha ya kuwa alikuwa na plan kibao na timu akiwa na ETH lakini ndo hivyo,kajiongeza mweyewe.
