Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220529_233053_com.android.chrome_edit_352346793447797.jpg



YNWA
 
Yaan Liverpool ndio huwa nawakubali hapa , Mnaamsha Amsha za kutosha.
Hongereni na poleni

Gunners msimu ujao tutakimbiza pia ngoja Arteta aweke mambo sawa. Hatutoruhusu mchukue point 6 tena.
Msimu hakuna alietegemea utaisha hivi kwetu wengi walisema haoo nafasi ya nne hata huko UCL nako hivyo hivyo lakini vijana wetu wamejitoa sana kutupa burudani ya kutosha.

Arteta mpeni ela alete DM mkongwe na straika mmoja na pale nyuma mnahitaji beki mmoja na kwa vile hawa vijana mnao wa kutosha mbona mtakaa sawa.

YNWA
 
Next season

Virgil 30+
Frimino 30+
Salaha 30
Henderson 30+
Thiago 30+
Mane leaving.

Klabu isipojipanga yatawakuta ya Barcelona.
Hii ishu imekaa kimtego sana yaaani.

Niliratajia sasa dirisha hili wasajili MF maestro mmoja around 22yrs mpaka 26yrs lakini sasa hizi news Mane anasepa zinabadili kabisa upepo wa usajili.

Firmino, Thiago injury prone.

Ngoja tuone Klopp kashasema mashabiki wa book kabisa hoteli fainali 2023 UCL labda ana jambo lake sokoni amepanga.

YNWA
 
Ninyi mnazo nyingi wakati wengine wamelala, atleast Real Madrid wanaproove kwamba walistahili na zile za nyuma
History tells us that Real Madrid walishawahi kubeba kombe la UCL fiveth times from 1955/1956 to 1959/1960 by that time Santiago Barnabeu was the president of Real Madrid.
 
Mabahiri sana acha aondoke tu akapate mpunga mrefu licha ni kuwa Liverpool ni timu yangu waache ubahiri.
Bayern siyo walipa mpunga mrefu.

Alaba aliondoka kwa kutaka aongezewe mshahara na Lewandowski anagombana nao sababu hiyo hiyo.

Nikifikiria sehemu ambayo inaweza mpa mpunga mrefu Mane nje ya Uingereza ni PSG. Na hawa PSG wamemuweka sokoni Neymar kwahiyo kama wanaendana vile.

Hivi.ni kweli Mane analipwa 100K halafu Milner analipwa 180K?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom