Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imegeuka imekuwa Imagine being Ass🤣🤣🤣🤣🤣
Wazee wa quadruple ya mchongo.

Mpaka mda huu wamelala.

Sijui wana raha gani hawa liverkuku.

Wazee wa imagine being ass

Vini kasokomezea ndani bila kujali maumivu watakayoyapata.

Ebu niitie mashabiki wake tuje tupate vingereza na uchambuzi wa hapa na pale.
 
Mwezi nyuma Liva ilikua inaongelea kunyanyua quadruple.

Akimaanisha baada ya carabao inafuata fA, ligi halafu UEFA.

Chelsea akagewa kazi ya kumzuia liva kwenye FA, chelsea kazi ikamshinda na Tuchel akasema mwakani chelsea isishiriki fA maana kila wakifika fainali hua wanapigwa.

Siku ya mwisho ya ligi suspense was huge. City anaongozwa mbili na Villa, Liva wako moja moja na Wolves they just need a goal hapa. Mpaka wanakuja kupata goli tayari City anaongoza tatu.

And then jana ikafika. The rest is history.

Makombe mawili ambayo Arsenal na City wamekua wakiyabeba mara kwa mara sasa ni makombe makubwa.

Inasemwa kwamba bahati humfavour aliyejiandaa.

Mane, Virgil na Diaz wamezalisha machungwa, Origi ni majeruhi am sure angekuepo jana angeingia sub. A lucky charm.

Arsenal wenzangu kwa jinsi tunasua sua kusajili hata tungeenda CL tungeenda kutia aibu, Liva, Chelsea na City zina vikosi complete na vimezoeana lakini wote wameshonwa na timu moja.
 
They are champion of UCL 14th times.

Nothing more.
 
Sema chelsea isingekua zile sanction za boss kubwa wangewatoa madrid kwa maana ile mechi ya Stamford bridge chelsea walijichanganya na hawakuwa na ari ya ushindani. Ila mechi ya pili walicheza mno na walifunga sema ikawa sio ridhiki. Na chelsea mwaka uliopita ndio aliwatoa hawa madrid hivyo naona chelsea asingepatwa na mambo ya sanction wangemtoa Madrid
 
Aise tusingepumua kwa kweli

Imagine being Ass🤣🤣🤣🤣
Kile kijamaa chao kina maneno mno haaahh eti "mimi ndio mchezaji bora duniani kwa sasa" Messi na unyama wake haja wahi ongea ugoro km huo. Mara nawataka Madrid nilipe kisasi aisee walijiamini mno wakidhani wanaenda kucheza na Tottenham ya puchettino
 
Kabisaa
 
Don't underrate yourself dude penalty hazina mwenyewe remember you played two finals and on those two finals Liverpool failed to score a single goal against Chelsea katika open play.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…