mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Kumbe huna AKILIEPL 1 Izo 18 ni second division ambapo ligi ilikuwa ya mchangani.
Kumbe huna AKILIEPL 1 Izo 18 ni second division ambapo ligi ilikuwa ya mchangani.
Yuko fit
Options ni nyingi
Sasa si mtulie, khaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halland wa nini wakati tuna Origi na Takumi Minamino super subs
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] unateseka sana na, mie, afu. Na city pia lol.Kwenye hayo magroup waliomo wengi ni wachambuzi wa mpira, sasa sijui wewe bendera fata upepo utazungumza nini hata kikosi chako hukijui.
Salah apewe mapema tumalize hii ishu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] umekubali eeeh?